SOMO;NAMBA ZA KIBIBLIA
|
Namba |
1:NAMBA ZA UUMBAJI WA MWANADAMU Maana ya Kiroho |
Ufafanuzi mfupi |
Aya ya Rejeo |
|---|---|---|---|
|
1 |
Umoja / Utoshelevu |
Inamwakilisha Mungu mmoja tu na upekee wake. Hakuna mwingine. |
Kumb 6:4, Efe 4:5 |
|
2 |
Ushuhuda / Muunganiko |
Inahitajika mashahidi wawili kuthibitisha jambo. Pia inahusu Ndoa. |
Yn 8:17, Mwa 2:24 |
|
3 |
Uthibitisho / Utatu |
Inakamilisha ushuhuda. Inawakilisha Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. |
Mt 28:19, 1Yn 5:7 |
|
4 |
Ulimwengu / Uumbaji |
Inahusu pande nne za dunia (Kaskazini, Kusini, Mashariki, Magharibi). |
Ufu 7:1, Eze 7:2 |
|
5 |
Neema ya Mungu |
Wema wa Mungu usio na kipimo kwa mwanadamu dhaifu. |
Efe 2:8, Mt 14:17 |
Maoni
Chapisha Maoni