SOMO: FANYA HAYA KUMJUA MUNGU
1 Wakorintho 15:33
Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema.
Kumbukumbu la Torati 32:2
Mafundisho yangu yatadondoka kama mvua, Maneno yangu yatatona-tona kama umande; Kama manyunyu juu ya majani mabichi; Kama matone ya mvua juu ya mimea.
C: MAOMBI
Ukiona huna ratiba Yako Binafsi ya Maombi Ujue Umekufa rohoni sababu huwezi ukawa na Akili Yako timamu half ukawa kuomba mpaka usukumwe Ulazimishwe tengemea Utateseka Sana.
Yohana 15:7
Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa.
HITIMISHO
Haya Yanakupa Picha Wewe unamjua Mungu Kama Zaka hutoagi au Hakuna unachokifanya kukujulisha unamjua Mungu tengemea Matatizo yatakuwa mlango Wa Kukuonea.
Wokovu Upo kwa MTU mwenyewe Juhudi ya Mtu Siyo Mchungaji Peke yake
Matatizo Yanapata Nguvu kwa Sababu umejaza magazine ya dunia Akilini Mwako
Maoni
Chapisha Maoni