MISTARI ya KUSOMA USIKU WA MANANE Katika MAOMBI

     
MISTARI YA KUSOMA USIKU HUU TUNAPOINGIA MAOMBI YA USIKU WA MANANE TUNAANZA SAA SITA USIKU MPAKA SAA KUMI ALFAJIRI KILA SIKU. 
Group:MAOMBI NA MAFUNDISHO
Admin;Pastor Richard. 
WhatsApp Kujiunga+255710889892

      Yeremia 33:3 
  Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.

         Kutoka 34:13 
   Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao.

        Kutoka 14:14 
Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.


       2 Wakorintho 10:4 
 (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)


       Kumbukumbu la Torati 28:7 
  Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia Saba.

        Isaya 43:19 
 Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.

       Isaya 54:17 
Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana.

      Zaburi 35:3 
Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO