SOMO: MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO YA MJI

SOMO: MAOMBI YA KUFUNGUA MALANGO YA MJI/KATA/KIJIJI/MTAA UNAPOISHI. 

Tambua Hili Popote Unapoishi Kama Eneo Hilo hujalishika na kulifungua litakutesa Sana Kiuchumi Kimaisha Kibali na Kutambulika huwa lazima Tuombe Kweli Kweli Wapo WATU hawaolewi kutokana Manner wanayoishi yamewakataa Wapo Ambao Wanaharibu mimba number ni mahali ulipo tu Hebu Tukaingie Pamoja HAYA Maombi unielewe ninavyokuelekeza mimi namna ya kuomba. 
MISTARI WA KUSIMAMIA
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

Ezekieli 48:31
Na malango ya mji yatatajwa kwa majina ya kabila za Israeli, malango matatu upande wa kaskazini; lango la Reubeni, moja; lango la Yuda, moja; na lango la Lawi, moja.

MUNGU HUWA ANAKUSUNDI KUBWA MTU WA MUNGU KUKUPELEKA UKAISHI SEHEMU AU MJI WA UGENINI. 
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
Ezekieli 26:3 
 Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee Tiro, nami nitaleta mataifa mengi kupigana nawe, kama bahari iinuavyo mawimbi yake.

TUTASHUGHULIKIA MAMBO MATATU. 

1;MALANGO YA WENYEJI ULIOWAKUTA  ENEO HILO.. 

Utabomoa vitu hivi 
a) Tabia za Wenyeji  

             OMBA HIVI;
Bwana Yesu nakushukuru kunipa KIJIJI hiki cha mateteni Nimekuta Wenyeji wa KIJIJI hiki wana tabia na Desturi Zao Mimi Mtumishi wako na simama Kubadilisha Tabia Zao Wakakujue wewe waache ushirikina Waache Dhambi Waache Ubishi wa Kiroho Waokoke na kujue wewe kuwa ndiye Bwana Wangu nayadhibitisha haya Maombi Yangu Kupitia Madhabahu Ya Holy Spirit Church Madhabahu Ya Moto Wa Yesu Katika Jina la  Yesu. 
Ameen

RUDIA ×7

b) Imani Zao Zisizompendeza Mungu. 

Popote Unapoishi Wenyeji huwa wana Imani Zao ambazo zinnaweza kuwa nzuri au mbaya. Unaweza kwenda kuishi Wanaamini kulogana au kigodoro nk. 

OMBA HIVI
Kila Malango Ya Imani za Wenyeji Wa Mateteni (Hapa naweka kijiji nilipo Mimi nawewe utaweka chako) niliowakuta kile wanachokiamini Kinyume nawewe Mungu Wangu ninayekutumikia Mimi mjumbe wako katika kijiji hiki nabomoa nabomoa Bomoa Bomoa Kuta Zao Tabia Zao Imani Zao Najenga Imani Ya Holy Spirit Church Ndani Ya Mioyo Yao Ndani Ya Akili Zao Nadhibitisha Haya Katika Jina la Yesu. πŸ™Amen

RUDIA×5


Baada ya hapa Endelea Kuomba Sasa Tamka maneno Sawasawa na  Wenyeji Tabia Zao Shughulikia Kweli Kweli. 



2;MALANGO YA BARABARA ZOTE ZA MJI UNAPOISHI. 

Watoto Wa Mungu Wengi Barabara Zao Za Kuwaletea Watu Sahihi au Kuwaowa au Kuwainua Kimaisha Zimefungwa Unajikuta MTU anaotaga anaokota Peas nyingi lakini Anaishi maisha magumu Sababu unaishi Eneo malango yako ya Baraka Yamefungwa. 

HAPA SHUGHULIKIA HIVI:

a) Barabara Zinazoingiza Wageni. 
Namanisha Barabara Kubwa za Eneo hilo itapendeza ukitaja Kwa Majina kulingana na Majina take. 

OMBA HIVI:
Kila Barabara Zakuingilia mateteni Zinazopitisha magari Zinazopitisha watu wakubwa wakubwa Zinazopitisha Mawaziri Marais Wabunge Watu Wenye Pesa Nazifungua Nazifungua Watakuja Kunitafuta Mimi nawaleta Watu Nawavuta Watu walioandaliwa Nakupitishwa Na Mungu kuwa waje walete Baraka Zangu Ninaamuru Malango Yawe Wazi Wakaingie Mji huu wa Mateteni Wakanitafute Mimi Pastor Richard Katika Jina la Yesu. Ameen

RUDIA×4


b) Barabara Za Kutoka nje ya MJi. 
Hapa utaombea Barabara Za Kutoka nje ya MJi. 

OMBA HIVI;-

Nafungua Barabara Zote za Kutoka Katika Kijiji hiki cha Mateteni Kila Ambacho Hakitakiwi nakiamru Kitoke na Kisirundi ninamiliki hiki Kijiji Kuingia Kwenye na Kutoka Barabara Zote haijalishi vizuizi na Walizi wa MJi huu Wapingwe Wapingwe Wapingwe Wapingwe Katika Jina la Yesu. Ameen

Rudia×6


3:SHUGHULIKIA   KABILA  LA WENYEJI
 MOYO WAO NYAYO ZAO. Nk


Hapa Utaombea HIVI:


Nafungua MOYO wa Wenyeji Kila Kifungo cha Wenyeji Ambao Kimeumiza Mioyo Yao fugua Mioyo Yao Katika Jina la Yesu. Amen
Rudia×4

Nafugua nyayo za Wenyeji hatua ZAO Kila walipofungwa wafunguliwe watoke Kwenye umateka wa hatua ZAO Katika Jina la Yesu. Ameen. 
Rudia×3


Endelea Kuomba Sawasawa na Roho Mtakatifu Tamka Maneno. 



MAOMBI HAYA OMBA SIKU 3  MFULULIZO. 

Siku Ya Kumaliza Ombea Sadaka Yako kuabatanisha MAOMBI Yako. 

UTATUMA KWA.. 

M-PESA 0759861768

Mix by Yas 0710889892

HALO PESA 0628355985

Airtel Money 0780508066

JINA: RICHARD JULiUS KUSHOKA. 


HAYA MAOMBI Yabebe Kwa Uzito OMBA huku unatembea tembea

Unaweza hata kuendelea Kama Roho Mtakatifu atakushuhudia uendelee nayo.. 

KAMA UNASWALI NIULIZE INBOX WHATSAP


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO