NDOTO ZA WATOTO NA KUNYONYESHA
NDOTO ZA WATOTO NA KUNYONYESHA.
Ndoto hizi huwa ni Taarifa Mungu hukupa hizi ndoto hulenga uzao wako hulenga kukujulisha Jeshi lilokufunga.
AYUBU: 33:14-15
NDOTO ni Taarifa Mungu Anakujulisha Jambo lilopo na linalokuja na lilopita.
NDOTO ๐๐ผ๐ผ๐๐ผ
1:๐๐ ๐๐ค๐ฉ๐ ๐ฃ๐๐ค๐ฉ๐ค ๐๐ฃ๐๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฃ๐ฎ๐๐จ๐๐ ๐ฃ๐ ๐๐ช๐ฃ๐ mtoto๐๐๐ฃ๐๐๐ช๐ก๐๐จ๐๐ฌ๐ ๐ช๐ฃ๐๐ฉ๐ช๐ข๐๐ ๐๐จ๐๐ฌ๐ ๐๐ช๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฃ๐ฎ๐๐จ๐๐ ๐ ๐ช๐ฏ๐๐ข๐ช.
2:๐๐ ๐๐ค๐ฉ๐ ๐๐๐ค๐ฉ๐ค ๐ช๐ฃ๐ ๐ข๐ฉ๐ค๐ฉ๐ค ๐ข๐๐๐๐ฃ๐๐ ๐ฃ๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐ mimba๐Unajulishwa umefungwa Tumbo lako na wachawi usizae.
3:Ukiota Upo na WATOTO Kwenye ndoto๐Unajulishwa unatumikishwa kulea watoto kuzimu.
4;Ukiota mjamzito na ukiwa Kwenye ndoto umejifungua๐Unajulishwa umezaa kuzimu na majini mahaba
5:Ukiota ndoto unamtoto halafu wewe una mimba๐Unajulishwa Utajifungua Salama mtoto.
6:Ukiota Una mimba halafu ni Kweli mjamzito Unajifungua kwa kisu๐Maana yake umeandaliwa mauti pale utakapoenda kujifungua tarehe zikifika. Ingia Maombi ya kuvunja hiyo mtengo.
7:Ukiota ndoto Unamtoto Wa kiume Annapolis miaka miwili nakuendlea๐Unajulishwa unahuduma Kubwa ndani Yako.
8:Ukiota Upo mazingira mageni na watoto ๐Unajulishwa Upo kuzimu na unatumikishwa na majini kulea watoto ambao wapo kuzimu.
9:Ukiota Ndoto Umeshika mimba BAADA ya kuomba au kuombewa๐Unajulishwa unaenda kushika mimba.
10;Ukiota Upo na mapacha na umeombewa au kuomba๐Unajulishwa unaenda kuzaa mapacha.
Endelea kushare masomo haha
Tuna ndoto Yako WhatsApp nitakujubu kama ndefu tuma Sauti kwenda WhatsApp+255710889892
Naitwa pastor Richard Wa Morogoro
Kanisa la Holy Spirit Church Tanzania
Maoni
Chapisha Maoni