SOMO: MAKERUMBI
SOMO: MALAIKA ( MAKERUBI)
Karibu Mwana Wa Mungu Tujifunze Leo Makerubi Ujue kazi zao na muonekano wao
Vitabu: Ezekiel 28:14-16 Mwanzo:3:24 Kutoka:25:17-22
Makerubi ni Malaika Wakuu kuliko Malaika Wegine Hawa wameaminiwa na Bwana kuzunguka kiti cha enzi.
MUONEKANO WAO MAKERUBI.
1:Wana mabawa Sita matatu kulia matatu kushoto.
2;Nyuso zao zinag'aa Kuliko Wegine
3;Wakubwa Sana Kuliko wegine.
4:Wanaonekana Kama Tai Simba Moto au Ng'ombe wa dhahabu nk.
5;Huonekana Mwanga mkubwa umefunika chumba au kukuzunguka Saa nyigine wanapokutokea.
WAMEGAWANYIKA SEHEMU KUU MBILI.
1:MAKERUBI WANAOZUNGUKA KITI CHA ENZI NA KUMSIFU BWANA.
Hawa husema kila wakati Hosana Hosana mbarikiwa Unasitahili wewe Bwana Unastahili wewe Bwana.
Wanaozunguka kiti huanza na Safu ya kwanza Makerubi Wanne Wanazunguka utukifu wa Mungu.
Wanafata MAKERUBI Sita Hawa kila siku mmoja wao huenda kuchukua maombi ya watakatifu na Wana Wa Mungu.
Pale unapoomba malaika huyachukua maombi nakuyapeleka kwa Mungu ikifika hapo kuna sehemu kama Chetezo Anaweka huko Maombi halafu hutoka kerubi mmoja katika ya wale Sita kuchukua yale maombi Mungu akikabidhiwa hutiki na mtu huku anapokea majibu.
Makerubi ndiyo malaika Pekee wanaoruhusiwa kumfikia Mungu kuligana cheo chao ni kikubwa sana.
Kila kundi la Malaika hutoa ripoti kwa Kundi la Makerubi na Makerubi kupeleka kwa Bwana.
2:HUTUMWA KUANGAMIZA NA KUHARIBU POPOTE GHAZABU YA BWANA IKIWAKA.
Hawa ndiyo waliagamiza Sodoma na Gomorrah Hawa ndiyo waliwekwa kulinda Bustani ya Edeni
Mwanzo;3;24
3;HUWA WANASIMAMIA NIDHAMU NA UTII WA KILA KUNDI LA MALAIKA KULE MBIGUNI.
Hawa ndiyo walikuwa wa kwanza kujua kerubi mmoja ambaye ni shetani anataka afanye uasi wakaingia kuwaondoa na malaika wegine
Soma. Ezekiel 28;14-16
NAMNA YA KUWATUMIA
Waite makerubi palipo na machafuko Amani imetoweka au ugomvi malumbano yasiyoisha.
Omba hivi.
Makerubi Ninawaita muje mkashughulikie hii roho ya mafarakano ndani ya nyumba yangu roho ya machafuko kwenye Familia yangu roho ya mizizi ya dhambi na Uasi Natuma Makerubi waje wajenge upya kilichoharibiwa kwa jina la Yesu.Amen ×7
Tumia Makerubi Kuwaita upitapo kwenye machafuko.
WhatsApp +255710889892
Pastor Richard Wa Morogoro
Maoni
Chapisha Maoni