SOMO:MALAIKA METATRON
SOMO:MALAIKA MKUU METATRON
(MALAIKA WA WATOTO )
Mwal.Pastor Richard Wa Morogoro
WhatsApp +255710889892
ZABURI;8;2 Isaya:49:25-26
ISAYA:54:13
13 Watoto wako wote watafundishwa na Bwana,
nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu."
Metatroni Ni Malaika Mkuu Kati Ya Wale Malaika Saba Wanaotajwa Ufunuo:8:2
Malaika Mkuu Metatron Ni Mlinzi na Msimamizi Wa watoto wachanga kuanzia mwaka 0-5 Hii like huwa linasimamiwa na Malaika wa Watoto Ambaye Kiongozi wa Kundi hili Huitwa Metatron.
MAJUKUMU YAKE HUYU MALAIKA PAMOJA NA WEZAKE;
Kwanza ieleweke huyu Metatron ni Malaika Mkuu wa Ulinzi na Usimamizi wa watoto nyuma yake Anaongoza wengine kundi kubwa.
KAZI ZAKE MAJUKUMU YAKE.
1:Kutunza Watoto kuanzia umri wa kuzaliwa mpaka miaka 5.
2:Kuwafundisha watoto wachanga kuongea yaana kutamka.
3:Kuwajulisha Hatari watoto na Kuwalinda na Hatari.
4;Kuwajulisha Wazazi Wao Watoto Kujua mama yake Baba yake huwa ndio watu wa kwanza Malaika atawafundisha kujua wachanga.
5;Kutoa taarifa kwa mzazi mtoto akisikia njaa au uhitaji wa kunyonya mama lazima amjue mwanae.
6:Kumlinda na Watu wa mbaya mtoto akiona mbaya atatoa taarifa ya kulia kwa mama kujua mtoto kuna hatari.
7:Mtoto humuitaji huyu Malaika ili aweze kuongea kupata ulizi na taarifa mbalimbali zinazomfanya mzazi ajue mwanae anaitaji nini.
8:Kwa Ufupi Mtoto mchanga vitendo vyote na Taarifa ambazo huzìtoa huongozwa na huyu Malaika wa watoto.
ZABURI;128:6
6 Nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako.
Amani iwe juu ya Israeli.
NAMNA YA KUOMBA KUPATA MSAADA WA MALAIKA METATRON.
Ukiona mtoto anakawia kuongea muite huyu Malaika
Ukiona anakawia kutembea muite huyu Malaika
Ukiona Analia Usiku Mtoto Muite huyu Malaika
Kesi zote za watoto muite Metatron.
"OMBA HIVI:
Malaika Mkuu Metatron Njoo umfundishe Mwanangu kuongea Mwanangu kutembea njoo umponye mwanangu njoo umlinde kila hatari ya usiku katika Jina la Yesu.Amen
Rudia × 8 Kuomba.
Share share
Niulize WhatsApp kama hujaelewa.
Maoni
Chapisha Maoni