SOMO;MAOMBI YA MTU ANAYEFANYA BIASHARA YOYOTE
SOMO;MAOMBI YA KUOMBEA BIASHARA UFANYAYO.
✳✳✳✳✳✳✳✳✳✳✳✴✴✴✴✴
Karibuni Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania
Ni Askofu pia Wa haya makanisa.
Ni Mume Wa Mke Mmoja na Watoto wawili.
WhatsApp NIULIZE INBOX+255710889892
⭕MAOMBI YA BIASHARA YAKO SEHEMU KUU MBILI
1;KUOMBEA MWANZO WA BIASHARA UNAPOANZISHA.
2:MAOMBI YA BIASHARA YAKO AMBAYO ULISHAIANZA.
1️⃣-KUOMBEA MWANZO WA BIASHARA YAKO UNAPOANZISHA
Vitabu;Kumb.Torati.28;1-2 Kutoka;23;20-24
Mambo Yafatayo ya kufata Unapoanzisha Biashara
1:Mshirikishe Mungu Eneo la Kuweka Biashara yako.
INGIA MAOMBI.
Mithali;16;3
Omba hivi:-Baba Ninaomba unielekeze Ni sehemu ipi niweke Biashara yangu nataka nifungue Biashara ya kuuza mtumba (utataja biashara unayotaka uanze kuifanya)Mimi Siwezi Kujua Nipe Maono au ndoto au Sema na Mtu aniletee ujumbe mtume Gabriel malaika mkuu aje anipeleke kwenye Eneo la Biashara Yangu Katika Jina la Yesu.Amen.
RUDIA KUOMBA ×7
Sehemu yeyote utakapoona amani ya moyo imetawala weka hapo.
2:Andaa Sadaka Kwa Ajili Ya Kumkabidhi Bwana Biashara hiyo Asimamie Yeye Siyo Wewe. Andiko linasema Mkabidhi Bwana Kazi Zako.(Zaburi;37;5)
OMBA HIVI:
Shika Sadaka yako Kutoka kwenye mtaji wako unaoenda kununulia vitu kiasi chochote.
Omba hivi:-
Nimeishika hii Sadaka Nimeitoa kwenye hela ya mtaji wa Biashara ninayoenda kuifanya naomba Baba yangu Wa Mbiguni Pokea Sadaka yangu pokea na Biashara yangu ukaanze nayo wewe ninakukabidhi Bwana ukauze wewe ipokee Biashara yangu katika Jina la Yesu Ninaitoa Katika Madhabahu Ya Moto wa Yesu Pokea Bwana Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia × 4 Kuiombea Kisha itume unipigie simu niombee.
3:Kanunue Bidhaa Weka Dukani mauzo yako ya kwanza Ya Biashara hiyo Toa Malimbuko.
MALIMBUKO:-Hufanya jambo liendelee utayaombea malimbuko yako unayatuma.
4:Hakikisha hiyo Biashara Kila Mwezi itolee Fungu la kumi.
Ipo hivi utakuwa unajumlisha mauzo yako Tar.1 mpaka 30 mfano umepata Laki 5 utatoa hamsini elfu kwa ajili ya Bwana.
Mfano; Biashara ya kuku napo kila ukiuza kuku mtolee Fungu la Kumi.
FAIDA ZA KUITOLEA BIASHARA YAKO FUNGU LA KUMI.
1;Biashara Itasitawi Sana.
2;Hutaona chuma ulete.
3:Haitakufa au Kufungwa.
4:Utakopesha watakulipa.
5;Ni ulizi zidi ya watu wa mbaya.
2️⃣-MAOMBI YA KUOMBEA BIASHARA YAKO
Hapa unatakiwa ombea Biashara yako ambayo tayari ilishaanza kufanya kazi utaomba kwa kusimamia mistari ya Biblia.
1:Bwana Umesema Katika kitabu cha(1 Petro 4:10)
10"Kila mmoja anapaswa kutumia kipaji alichojaliwa na Mungu kwa faida ya wengine kama wakili mwema wa zawadi mbalimbali za Mungu.
"Nami natumia kipawa hiki kwa ajili kisaindie wegine katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
2:Bwana Nifundishe Kufanya Biashara na wewe nitii nakuwa mwaminifu wa zaka sawaswa na kitabu cha (Zaburi 119:40)
40"Natamani sana kuzitii kanuni zako; unijalie uhai maana wewe ni mwadilifu.
Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia × 3
3;Naombea Mifungo yangu sawasawa na kitabu cha (Methali 27:23-24)
23"Angalia vizuri hali ya mifugo yako; tunza vizuri wanyama wako.
24"Maana utajiri haudumu milele, wala taji haidumu vizazi vyote.
Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
4:Baba Nimenyamaza na Kukabidhi wewe Biashara yangu Jitukuze sawasawa na Kitabu cha (Zaburi 46:10)
Asema Bwana: “Nyamazeni na kujua kuwa mimi ni Mungu! Mimi natukuka katika mataifa yote; mimi natukuzwa ulimwenguni kote!” Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×5
5;Baba Niondolee majivuno na nifundishe kutenda mema kupitia biashara hizi ulizonibariki katika Jina la Yesu Kama ninavyosoma(1 Timotheo 6:17-19)
17"Waamuru watu walio matajiri katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke tumaini lao katika mali isiyoweza kutegemewa; bali wamtegemee Mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu vyote tuvifurahie.
18"Waamuru watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, na wawe wakarimu na walio tayari kuwashirikisha wengine mali zao.
19"Kwa namna hiyo watajiwekea hazina ambayo itakuwa kwao msingi imara kwa wakati ujao. Hapo wataweza kujipatia uhai ambao ni uhai wa kweli.
Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×5
6:Naomba Nifundishe Upendo kwa wateja wangu ukarimu kwa wateja wangu sawasawa na kitabu cha (Wagalatia 5:22-23)
22"Lakini matokeo ya kuongozwa na Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu,
23"upole na kiasi. Hakuna sheria inayoweza kupinga mambo hayo.
Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×6
7:Biashara Yangu Nimempa Bwana auze yeye aifanye yeye na hakuna atakayeshindana na Biashara Yangu Katika Jina la Yesu.Amen
Warumi 8:31
31"Kutokana na hayo, tuseme nini zaidi? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, nani awezaye kutupinga?
Rudia ×6
8;Umesema Katika kitabu cha Methali 19:21
21"Kichwani mwa mtu mna mipango mingi, lakini anachokusudia Mwenyezi-Mungu ndicho kitakachofanyika.
Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×4
9;Bwana Nipe Uwezo nisimamie vyema Biashara yangu isiyumbe yumbe
Wafilipi 2:13
13"kwani Mungu ndiye afanyaye kazi daima ndani yenu, na kuwapeni uwezo wa kutaka na kutekeleza mambo yanayopatana na mpango wake mwenyewe.
KATIKA JINA LA YESU.AMEN
RUDIA ×7
10;Nipe Moyo wa uadilifu ndani yangu nifundishe kukutengemea wewe Biashara zangu zikiyumba katika Jina la Yesu.Amen
Zaburi 112:6-7
6"Mwadilifu hatashindwa kamwe, huyo atakumbukwa milele.
7"Hana haja ya kuogopa akipata habari mbaya; ana moyo thabiti na humtegemea Mwenyezi-Mungu.
Rudia×4
11"Baba Yangu Nipe Kuyashika Maelekezo na maangizo yako katika biashara yangu kwa Jina la Yesu Kristo Amen
Mathayo 7:24
24"Kwa hiyo, kila mtu anayeyasikia maneno yangu na kuyazingatia, anafanana na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba.
Rudia ×4
Baada Ya Kumaliza.
Nyosha mikono juu upige makofi umshukuru Mungu.
Maombi haya ombea kila siku biashara yako.
NAMBA ZA KUTOA MATOLEO NA SADAKA KWA WAFANYABIASHARA
AIRTEL MONEY 0780508066
M-PESA 0759861768
TIGO PESA 0710889892
HALO PESA 0628355985
JINA; RICHARD JULIUS KUSHOKA
Ombea Biashara yako na kuwa mwaminifu wa Fungu la Kumi.
Ukituma Nipigie niombee Fungu lako la Kumi.
Kama unaswali uliza inbox WhatsApp +255710889892
Maoni
Chapisha Maoni