SOMO;MAOMBI YA MJAMZITO ALIYEPITILIZA MUDA WA KUJIFUNGUA
SOMO : MAOMBI YA MJAMZITO ALIYEPITILIZA MUDA WA KUJIFUNGUA.
Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro
Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania
Ni Askofu na Muasisi Wa Makanisa haya
Makao Makuu Morogoro Veta Dakawa
Huwa Kunasababu mbili Ambazo zinaweza mama mjamzito zikakufanya ukapitiliza Muda wa kujifungua.
1;Tatizo la Kiafya:
Hii husababishwa na mtoto kutokugeuka au njia za uzazi kutokufunguka
2:Nguvu Za Kichawi:
Hawa ndiyo Wale hukaa mwezi mwaka hawazai ndiyo Wale wanaota mandato ya ajabu ajabu nakuona Vitu vya Ajabu.
Pia hutokea hali ya uchungu lakini hawajifungui na wegine hukosa nguvu wakati wakisukuma mtoto .
UONAPO HAYA NILIYOYAANDIKA WEWE UMEBEMBA KIZUIZI NA UKIWA MZEMBE KUOMBA UNAWEZA KUUA KICHANGA TUMBONI.
"ZINGATIA HAYA"
1:SHIKA TUMBO LAKO KWA CHINI KWA MIKONO YOTE.
2;UKIJIFUNGUA SALAMA BAADA YA HAYA MAOMBI UTATUMA SADAKA NZURI
1️⃣ soma huu mstari HOSEA;13:13
"Utungu kama wa mwanamke anayejifungua mtoto humjia,
lakini yeye ni mtoto asiyekuwa na hekima;
wakati utakapowadia hatatoka
katika tumbo la mama yake"
Omba hivi.
"Kwangu ninasema Mtoto atatoka na ninamtaka atatoka nje ya Tumbo langu mwanangu nakuita mama yako njoo nje toka nje aliyekuzuia ninamkemea Kwa Jina la Yesu Akuachie Mwanagu katika Jina la Yesu.Amen
RUDIA ×6
2️⃣Luka;1:57 "Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume.
Muda Umefika na Umewadia Wa Mimi Kujifungua kila Aliyeshika mtoto wangu ndani ya Tumbo langu au Anayezuia Asitoke Kwa Wakati Nasema mimi ndiye mama yake na Tumbo langu ndiyo limembeba Nguvu za kichawi mikono ya kipepo na kila mamlaka zinazozuia nakushindana namimi kutilia mkazo naziamuru Ziachie na Ninaziondoa vizuizi vyote iwe ni eneo la kujifungulia au mkuga atakayenizalisha ninaweka ulizi nakumuangiza Malaika akafanye maandalizi na kuniandalia watu watakaompokea Mwanangu Katika Jina la Yesu.Amen
RUDIA × 7 ukiwa umeshika Tumbo lako.
BAADA YA HAPO Vuta Pumzi Sukuma kwa nguvu Fanya Zoezi la Kuvuta Pumzi na Kuitoa mara 3.
BAADA YA KUMALIZA TULIA NJIA ZITAFUNGUKA UTAJIFUNGUA BAADA YA KUJIFUNGUA NDIYO UTATUMA SADAKA YAKO NZURI UTAUNGANISHA NA YA SHUKURANI
ADAA SADAKA YAKO NZURI SANA
OMBEA HIVI SADAKA HIYO.
Baba yangu Nashukuru Nimejifungua Salama ni wewe pekee umenisaindia namimi mwanao nakuja na Sadaka hii ya Shukuruni nikiwa nimepata kiasi hiki kidogo kipokee Bwana Naomba Pokea ukaweke ulizi kwa mwanangu na ukamkuze katika hekima yako naitoa Sadaka hii katika Madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
KISHA TUMA KWA
AIRTEL MONEY 0780508066
TIGO PESA 0710889892
M-PESA 0759861768
Halo Pesa 0628355985
JINA LITATOKEA; RICHARD JULIUS KUSHOKA
Kisha Nipigie Simu yangu Pastor Richard Wa Morogoro +255759861768
Mtumie rafiki ndugu yako na share kwenye magroup
Maoni
Chapisha Maoni