SOMO;MAOMBI YA KUWEKA NADHIRI 2025
SOMO: MAOMBI YA KUWEKA NADHIRI.
Kuna Wakati Ukiona Maombi Yanachelewa Kujibiwa Weka NADHIRI au ALAMA.
NADHIRI Itaendana na ukubwa wa tatizo lako lilivyokusumbua ndiyo hivyo utakavyoweka nadhiri kubwa.
Mfano: NADHIRI YA HANNA ukisoma ;1Samweli 1.
Alikaa Muda mrefu bila kupata mtoto aka8ngia maombi ya NADHIRI.
NADHIRI hutimizwa katika madhabahu uliyoihusisha au Mchungaji uliyemhusisha.
USIPOTIMIZA NADHIRI HUWA INAKUTESA MWENYEWE ULIYEIWEKA
OMBA HIVI
1️⃣:Bwana Yesu Naweka Nadhiri Katika Madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Unipe Mume au Mke Nikafunga naye ndoa Namimi Nitatoa Milioni moja kwenye madhabahu hii(Taja uwezo wako)
ZABURI;61:8
8 Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako
na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku.
Katika Jina la Yesu.Amen
RUDIA ×4
2️⃣:Ninaomba Bwana Nitimize Nadhiri Zangu Usinipe moyo mgumu nifanye niwe mwepesi wa kutengua nadhiri yangu katika Jina la Yesu.Amen
MUHUBIRI:5:4
4 Wakati unapomwekea Mungu nadhiri, usikawie kuitimiza. Yeye hafurahii wapumbavu; timiza nadhiri yako.
Rudia ×3
3️⃣Bwana Nifanye Nizikumbuke Nadhiri Zangu Zote nilizowahi kukuwekea Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×5
4️⃣;BWANA Ninaomba Nipate kazi nikipata kazi nitakuwa mwaminifu wa Fungu la Kumi kwenye hii Madhabahu ya Moto wa Yesu Na Sitakuja Kuacha hata kukuimbia Fungu la Kumi nikija kufanya hilo Uniadhibu KATIKA JINA LA YESU.AMEN
Rudia ×4
5️⃣MWANZO:28:20-22
:20 Kisha Yakobo akaweka nadhiri, akisema, “Kama Mungu akiwa pamoja nami na kunilinda katika safari niendayo, akinipa chakula nile na nguo nivae
21 na nirudi salama nyumbani kwa baba yangu, hapo ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu,
22 nalo jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu na katika yote utakayonipa nitakutolea wewe sehemu ya kumi.
Nami naweka nadhiri Mbele zako Bwana nijibu ombi langu la kupata nafasi za kazi interview hii nikipita mshahara wangu wa kwanza nautoa kwenye madhabahu hii ya Moto Wa Yesu.AMEEN
KAMA UNATIMIZA NADHIRI OMBA HIVI;
6️⃣:Baba Ninashukuru nadhiri yangu umeitimiza nami ninatengua maneno yangu sawasawa na AYUBU;22:27 Nitamwomba yeye, naye atanisikia,
nami nitazitimiza nadhiri zangu.
Naitoa Nadhiri Katika Madhabahu Ya Moto wa Yesu Ninaomba ipokee ikazidi kufungulia Baraka na uaminifu mbele zako za kuwa mwaminifu wa Fungu la Kumi
Katika Jina la Yesu.Amen.
RUDIA;×6
7️⃣:Ninaomba Niitimize Nadhiri niliyokuwekea Mungu Kwenye hii Madhabahu Nakitoa kiwaja kama Nilivyotamka katika maneno yangu ukinifanyia hiki mwanangu akamaliza chuoa akapata kazi nitakuja kukutolea kiwanja hakika kweli Mwanangu Amepata Kazi naitimiza Nadhiri Yangu Sawasawa na
ZABURI;50;14
14 Toa sadaka za shukrani kwa Mungu,
timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana,
RUDIA ×4
Hii Nimekupa Muongozo namna yakuomba ukiwa unatengua Nadhiri
Ukitengua Nadhiri Mwendelezo Uwe mwaminifu wa fungu la kumi kwenye hii Madhabahu usiache kutoa zaka kwenye madhabahu hii.
BAADA YA HAPO TOA NADHIRI KWA HIZI NAMBA UKITUMA UNANIPIGIA NAKUOMBEA
AIRTEL MONEY 0780508066
TIGO PESA (MIX by Yas)0710889892
M-PESA 0759861768
HALLO PESA 0628355985
AIRTEL MONEY 0780508066
CRDB BANK AKAUNT:0152361572400
JINA;RICHARD JULIUS KUSHOKA
Maoni
Chapisha Maoni