SOMO:IJUMAA KUU

SOMO:IJUMAA KUU
Yohana;19:31-42

Ijumaa Kuu :-Ni Maandalizi ya kuelekea kukamilisha Wokovu kwa wanadamu.

IJUMAA KUU IMEGAWANYIKA SEHEMU KUU TATU.

1:MATESO YA BWANA YESU.
Hii inatukumbusha mateso  ya Bwana Yesu.
Yohana;19;27-37


2:KIFO CHA BWANA YESU.
Hii Inatukumbusha Kifo na Kuzikwa kwa Bwana Yesu.
Yohana;19;38-42


3:UPENDO WA BWANA YESU.
Hii Inatukumbusha upendo mkubwa kwa Bwana Yesu Kwetu.
Yohana;3;16


Ijumaa kuu ni siku muhimu kwetu wakristo kutafakari na kuona Yale Aliyoyatenda Bwana Yesu.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.