SOMO: NDOTO ZA KUOTEA WEGINE
Somo;NDOTO NA TAFSIRI ZA KUOTEA WENGINE
NDOTO NI UJUMBE AU TAARIFA UNAYOJULISHWA WEWE UOTAYE.
Huu Ujumbe Unaweza Ukahusu Wengine Au Sisi Wenyewe Na ujumbe inaweza ikawa jambo lipo kwa wakati huo au linakuja au lilishatokea.
Ayubu:33:14-15
Karibuni Ninaitwa Pastor Richard Wa Morogoro Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Tuma ndoto inayokusumbua Inbox +255710889892
1:Ukimuotea mtu amekufa
👉🏿👉🏿Unajulishwa Huyo mtu hatakufa Roho ya mauti inamfatilia
Omba kemea hiyo ndoto.
Ninakataa roho za mauti kwa.. katika Jina la Yesu.AMEN
2:Ukimuotea Mtu umemfumania
👉🏿👉🏿 Unajulishwa Huyo mtu Atakamatwa na Uzinifu
Omba kemea hiyo ndoto
3:Ukimuotea Mtu Anipita Barabarani anatembea wewe Umesimama
👉🏿Unajulishwa Huyo mtu atafanikiwa Kukuzidi wewe
Omba ombea itimie
4;Ukimuotea Mtu anaumwa Sana
👉🏿👉🏿Unajulishwa ataenda kuumwa yule mtu Sana lakini Mungu atamponya
Omba kemea hiyo ndoto
5:Ukimuotea Mtu anaolewa au Anaoa
👉🏿👉🏿Unajulishwa Huyo mtu amefungwa kuolewa simama umuombee au afike kwa Wachungaji waombe Kuvunja MTANDAO uliofanyika kwenye jina na wafute alama usoni ya kutokuolewa.
6:Ukimuotea Mtu ulikuwa unaongea nae Ni rafiki yako mpo wawili maeneo ya nyumbani ulipokulia
👉🏿👉🏿Unajulishwa Rafiki yako Ujumbe anaokupa UFANYIE kazi tatizo lako lilianzia nyumbani.
Mfano anakupa Taarifa Fulani kuwa wewe Upo hivi mbona utaolewa Au utafaulu Mtihani inatengemea mazungumzo Yenu kwenye ndoto na huyo rafiki yako
Omba kemea hiyo ndoto
7:Ukimuotea Baba yako Yupo shambani
👉🏿👉🏿Unajulishwa Baba yako atafanikiwa KUPITIA kilimo
Muombee itimie ndoto hiyo.
8:Ukimuotea mama yako Amenijifungua
👉🏿👉🏿 Unajulishwa Mambo Yake yatafunguliwa kupitia maombi.
Muombee itimie ndoto hiyo.
9;Ukimuotea Mtoto wako anakimbizwa
👉🏿👉🏿Unajulishwa mwanao hataendelea vizuri Darasani Au Katika Mafanikio au Huduma Yake
Muombee useme kwamba Kila roho inayotumwa Kwa Mwanangu imuachie Katika jina la Yesu 🙏 Amen
10;Ukimuotea mgonjwa Amepona
👉🏿👉🏿Unajulishwa atakufa
Muombee ukatae roho ya mauti
11:Ukimuotea mgonjwa Amekufa
👉🏿👉🏿Hatakufa Mungu atamponya.
12:Ukimuotea marehemu anaongea nawewe👉🏿👉🏿 Unajulishwa Huyo mtu Ni mnzima hajafa yupo msukule anatumikishwa
uombe hivi;-
Najitenga na roho za Kuzimu kwa jina la Yesu 🙏 Amen
13:Ukimuotea mgonjwa amezidiwa
👉🏿 Unajulishwa Anakufa Ombeni uganeni watu watatu muombeeni kukataa kifo.
14;Kuotea mtu anamimba na hana mimba kimwili👉Unajulishwa Amefungwa Kizazi chake kiombee.
15;Kuoteshwa mtu Amevishwa Pete ya Uchumba 👉Unajulishwa Anaenda Kuolewa huyo mtu kama bado.
16: Ukimuotea amefunga ndoa mtu ambaye yupo kwenye ndoa👉Unajulishwa Huyo mtu kuna roho ya uharibifu inafatilia ndoa yao ingia Maombi.
17:Ukiotea mjamzito Amejifungua👈Unajulishwa Anaenda kujifungua Salama.
18:Ukiotea mtu anapigana na unamjua wewe upo unatazama👉Unajulishwa Huyu mtu nguvu za kichawi zinamfunga haeezi kujitetea
Ingia Maombi umuombee.
19:Ukimuotea mtu Ameachwa Usafiri au bus study 👈Unajulishwa anateseka sababu anawito ndani yake hajishughushi.
Mpe namba apige.
20:Ukimuotea mtu anaombea watu👉Unajulishwa anahuduma ya uchungaji lakini imejificha haitambui ndani yake.
Mwambie aje chuoni
Tupia inbox ndoto yako Whatsap +255710889892
Maoni
Chapisha Maoni