SOMO; MAOMBI YA KUPIGA HATUA

SOMO; MAOMBI YA KUPIGA HATUA KWENDA MBELE.

Mwanangu Katika Kitu Ambacho ukielewe  Kwenye Maisha yako kila unapopiga  hatua kwenda mbele Ipo roho inakuzuia kufika unapotakiwa ufike bila wewe mwenyewe muhusika kusimama na Maombi huwezi kwenda hatua unayotaka ufikie bila kuomba nakuwa na ujasiri ukaacha roho ya kukata tamaa au kufikiria negative na mafanikio yako.
Ninaitwa Pastor Richard (BISHOP RICHARD)
KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA 
MAKAO MAKUU MOROGORO VETA DAKAWA 


MAOMBI HAYA YANAITAJI ZINGATIA HAYA.

1:Unapoomba Fanya Kitendo cha kupiga hatua. Yaani Tembea Tembea.


2:Tamka Maneno Kila yanayokuja kinywani mwako namna ya kuomba elekeza maneni kupiga hatua kwenye kile unachoona kimesimama sehemu moja.

3:Maombi Haya Utaomba Siku 4 Mfululizo kwa Masaa na Muda unaokuwa Tulivu kwako.

4:Utaandaa Sadaka Yako Siku ya Nne ukimaliza maombi utaituma na Unanipigia Simu.

5:Chochote ukikiona au kuota ukiwa katika haya Maombi Basi Nieleze. Na Ukiishia njiania unarudia upya usirukeruke siku za kuomba.

6:Fata Kila Ombi Nilivyokuandikia Ukimaliza haya ndiyo omba yako maombi utakayoona yanakuja kinywani unapoanza utafata nilicyoelekeza hapa chini.

HAPA CHINI NI MWELEKEO WA NAMNA YA KUOMBA NAKUPA PICHA.
Omba hivi Tafuta mistari ya Biblia Tumia



1️⃣;Bwana Yesu Narundisha Nyuma kila kivuli kilichotangulia Mbele Yangu Kinanizuia hatua zangu kirudi nyuma hatua 10 Kwa Jina la Yesu Sawasawa na( 2Wafalme;20;11) Soma mstari huu๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
11 Ndipo nabii Isaya akamwita Bwana, naye Bwana akakifanya kivuli kurudi nyuma hatua kumi ambazo kilikuwa kimeshuka kwenye ngazi ya Ahazi.
Katika Jina la Yesu.AMEEN 

RUDIA×4



2️⃣Baba Yangu Uliye mwema kwangu naziombea hatua zangu ziwe imara kwako nikufuate wewe nisikegeuke Kabisa Nasimama Na (AYUBU;23;11)
11 Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu;
nimeishika njia yake bila kukengeuka
Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia×5


3️⃣Bwana Pendezwa na hatua zangu unipe kupiga hatua ya kuingia kwenye ndoa nipe hatua mchumba wangu akatoe mahari nipe hatua Bwana na Zisisimame Eneo Moja Kwa Kumbuka Neno lako umesema (ZABURI;37:23)
23 Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu,
yeye huimarisha hatua zake
Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×4



4️⃣Usikubali Bwana Mpakwa Mafuta wako watu wanicheke kisa mambo yangu hayaendi Bwana ninakuitaji Unipe hatua natoka hili eneo la kuwa na kanisa ndogo au huduma ndogo napiga hatua katika Jina la Yesu Kama Neno lako linavyosema( ZABURI;89:51)
51 dhihaka ambazo kwazo adui zako
wamenisimanga, Ee Bwana,
ambazo kwazo wamesimanga
kila hatua ya mpakwa mafuta wako.
Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3


5️⃣:Baba yangu Ninaomba 
(ZABURI;119; 133-135 )
Itimie kwangu namimi nimaombi yangu uniongoze wewe hatua zangu 
Neno lako linasema hivi mstari 133-135
133 Ongoza hatua zangu kulingana na neno lako,
usiache dhambi yoyote initawale.

134 Niokoe na uonevu wa wanadamu,
ili niweze kutii mausia yako.

135 Mwangazie mtumishi wako uso wako
na unifundishe amri zako
Katika Jina la Yesu.Amen 

RUDIA×8


6️⃣Baba Yangu Sasa hivi Sitaki niendelee Kukosea hasa katika Wizi wa Zaka Sitaki Kuwa urafiki na marafiki watenda maovu waliokataa mafundisho na Elimu wakakimbilia miujiza na matendo ya Aibu Nimesoma huu mstari nimegundua njia zangu saa ingine zilichelewa kufika uliponiandalia kutokana na marafiki waliokuwa si sahihi Naomba unibadilishe Katika Jina la Yesu Nalisoma Neno lako MITHALI:4:12-15
12 Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa;
ukimbiapo, hutajikwaa.

13 Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
mshike, maana yeye ni uzima wako.

14 Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu
wala usitembee katika njia ya watu wabaya.

15 Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo;
achana nayo, na uelekee njia yako.
Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia×4
.
Hii Mistari Tafakari Na ubadilishe watu unaowaona wanazuia hatua Zako.



7️⃣Bwana  Yesu Linda Hatua Zangu Sitaki Kuwa Narudi nyuma katika mahusiano ndoa yangu Biashara zangu huduma Mwambie Mungu aline hatua za kile ufanyacho kiwe kinaenda mbele
Simamia Mstari huu;  MITHALI;5:1
1:Linda hatua zako uendapo katika nyumba ya Mungu. Karibia usikilize kuliko kutoa dhabihu ya wapumbavu, ambao hawajui kuwa wanafanya kosa.
Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia×3


8️⃣:NITASIMAMA NA MAOMBI YA YEREMIA BWANA NIKWELI PASIPO WEWE KUONGOZA HATUA MIMI SITAFIKA POPOTE PALE

Yeremia Anasema hivi; YEREMIA;10:23-24

23 Ninajua, Ee Bwana, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe;
hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe
.
24 Unirudi, Ee Bwana, lakini kwa kipimo cha haki:
si katika hasira yako,
usije ukaniangamiza
Ninakusihi Bwana Mimi Mjawa wako Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia×8


9️⃣:Bwana Kusudio lako litangulie Mbele Yangu Kila Adui Anayepanga mabaya yasifanikiwe kwangu Natuma mbele yangu nguvu ya Hatua za Haki Sawasawa na (ZABURI;85:13 )
13 Haki itatangulia mbele yake
na kutengeneza njia kwa ajili ya hatua zake.
Katika Jina la Yesu.Amen 

Katika Jina la Yesu.Amen 

RUDIA ×6



๐Ÿ”ŸNinapiga hatua kwenye uchumba wangu Kwenye ndoa yangu ikawe na amani kwe familia yangu sitaki iwe Baba na mama wanagombana Napiga hatua kazini sitaki kuchukiwa na wafanyakazi wezangu ...endelea kutamka unataka upige hatua kwenye Eneo ngani Uganisha maombi maneno yako yawe na mwelekeo wa kupiga hatua usiombe tofauti.

UTARUDIA ×3


SOMA HII MISTARI NA KILA HATUA FIKIRIA UNAENDA MBELE AU UNARUDI NYUMA ACHANA NA TABIA ZINAZOPELEKEA KURUDI NYUMA.

MITHALI;14-17

15 Mtu mjinga huamini kila kitu,
bali mwenye busara hufikiria hatua zake.
 
16 Mtu mwenye hekima humcha Bwana na kuepuka mabaya,
bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe.
 
17 Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu,
naye mtu wa hila huchukiwa.



BAADA YA SIKU 4 OMBEA SADAKA YAKO.

Baba Yangu Nimeshika hii Sadaka ikaongee kwa Habari ya Hatua Zangu Nakutolea Bwana Katika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu ipokee Bwana Katika Kiti chako kwa Jina la Yesu.Amen 
Rudia×2

TOA KUPIA 

1:AIRTEL MONEY  0780508066

2:TIGO PESA(MIX by Yas) 0710889892

3:HALO PESA 0628355985

4;M-PESA 0759861768

JINA; RICHARD JULIUS KUSHOKA 

Hakiki Jina kabla hujadhibitisha Ukituma nipigie muda huo huo uliotuma niombee hatua zako.

2025 TUNATEMBEA KIBABE KWELI KWELI 
Mathayo;11;12



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.