MAOMBI YA KURUNDISHA KILICHO CHAKO

SOMO: MAOMBI YA KURUNDISHA  KILICHO CHAKO

Katika ulimwengu wa roho watu wengi Sana Wanaishi maisha yasiyopangiwa na Mungu Sababu Wapo Watu Wanafanya kazi ambazo siyo zao walizosomea, Wapo Watu Wameolewa au Kuowa watu ambao siyo walioandaliwa na Mungu LEO hii Tunataka Kurundisha Kilichochako.

👊MSTARI TUNASIMAMIA 

        Mwanzo 14:23  
ya kuwa sitatwaa uzi wala gidamu ya kiatu wala cho chote kilicho chako, usije ukasema, Nimemtajirisha Abramu;


#ZINGATIA HAYA YAFATAYO

1:Uwe Jasiri mwenye msimamo wa kuomba.

2:Uwe Unajitambua Haya Maisha unayoishi siyo yako Kuna vitu unatakiwa uwe navyo huna..

3:Ujiwekea Muda utembee na Maombi haya Siku 3 Kwa Muda utakaoweka.

        NAMNA YA KUOMBA;

Ninarundisha maisha yaliyo yangu Narundisha Kazi iliyo yangu
Narundisha Mikono iliyo yangu
Narundisha Pesa zilizo zangu
Narundisha ndoa Yangu
Narundisha Kizazi changu
Narundisha Ujenzi Wangu
Narundisha kila kitu kilicho
 changu Kwa Jina la Yesu la Yesu.AMEEN 

Omba Endelea Kuomba Yapo mengi unayoona ulitakiwa uwe navyo uvimiliki lakini huna rundisha kilicho chako.

@Pastor Richard 
2024


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.