SOMO; MAOMBI YA KUKATAA ROHO YA MAFARAKANO NDANI YA NDOA

SOMO; MAOMBI YA KUKATAA ROHO YA MAFARAKANO KWENYE MAHUSIANO YENU.

Katika ulimwengu wa roho zipo roho hutumwa kuwafarakanisha wewe na mweza wako kuhakikisha mnagombana gombana kila mara mkikaa siku mbili na Amani siku ya Tatu mnagombana hii hali siyo ya kuinyamazia Ukiona inakupata Twende Tuingie Maombi Pamoja na utaendelea kuomba ulipo mpaka itoke.

👉MSTARI WA KUSIMAMIA 

         🌴Malaki 2:15 🌴
 Hakuna mtu mmoja aliyetenda hivi, ambaye alikuwa na ufahamu kidogo. Au je! Kuna mtu mmoja atafutaye mzao mwenye kumcha Mungu? Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana.

Sisi tutachukua mstari wa mwisho:
Mtu Awaye Yote Asimtendee mke wa ujana wake mambo ya hiana.

Imesemwa Katika Kitabu cha Malaki;2;15 

"Baba Yangu Uliye keti katika kiti cha Enzi ninakataa kila roho iliyounganishwa kuwa inatungombanisha mimi mwezangu eidha katika maneno au kauli zetu hii hali inayoendelea mimi siitaki na Siipendi  Kabisa Sitaki niwe nagombana na mchumba wangu/mme wangu/Mke wangu Kuanzia Leo Sitaki nimtendee umbaya wowote au nimuumize Katika Jina la Yesu.Amen. 

Rudia mara 4 kuomba

      @Pastor Richard 
2024 Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 
 Makao makuu Morogoro Veta Dakawa 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.