MAOMBI YA KUOMBEA WANAO WANAPOKUWA WANAENDA SHULE.


SOMO:MAOMBI YA KUWAOMBEA WATOTO WETU WANAOSOMA.
👆👆👆👆✅✅✅✅🌴🌴👇🌴👇👇👇👇👇
Adui huwa yupo macho sana kufatilia watoto wetu hasa tunaowasomesha Nasikia Sauti na Maelekezo niongoze kukufundisha Maombi haya kila mzazi aajibike kuombea watoto uwe mama mdogo mama mkubwa Mjomba Babu bibi na unakaa na watoto wanaosoma Tafadhali Simama nafasi yakuwa unawaombea kila Wanaporudi shuleni au Kufungua shule au Kwenda shule.

MSTARI WA KUKUMBUKWA TUNAPOOMBA. 
👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Kumbukumbu la Torati 12:28
[28]Maneno haya nikuagizayo yote yatunze na kuyasikiza, ili upate kufanikiwa na watoto wako baada yako milele, hapo uyafanyapo yaliyo mema na kuelekea machoni pa BWANA, Mungu wako. 

Mambo matatu uyajue kabla hujaomba.

1.Unakuwa unatimiza angizo la Mungu unapoombea watoto wako.

2.Unawajenga Kiroho na Kimwili hata wakija kuwa na familia zao baadae

3.Unafungulia Mlango wa Wao Kufanikiwa Katika Masomo Yao.


MAOMBI YATANZIGATIA YAFATAYO.

1.Uwe unakaa na Watoto wanaosoma tayari wewe ni mzazi utaomba maombi haya.

2.Lazima uwe unaishi siyo kuwaombea kwenye simu

3 Kila Wanapoenda Shule au Kufungua utaomba maombi haya.

4.Utaabatanisha maombi yako na Sadaka juu yao Katika Elimu zao ukishaituma utanipigia nami niwaombee.


OMBA HIVI FATA MUONGOZO HUU.

Kwanza Anza Kwa Kumwambia Asome au msomee mistari hii rudia mara Tatu.

Isaya 54:13-14
[13]Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi. 

[14]Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia. 

Kisha Fafanua hivi;

Mtoto wangu wewe unarudi shule Mwezi huu na utakapokuwa shule unatakiwa usiache Kusali na Kumshukuru Mungu Kwa Kufanya hivyo utakuwa mtoto mwenye kumtii Mungu mwenye nguvu ya kuomba hutafeli mitiani yako wala kuumwa umwa wala kusahau masomo unayofundishwa na Mwalimu kwakuwa Neno tulilosoma la Isaya limesema Wewe utafundishwa na Bwana na hautashika tena nafasi ya mwisho au kumi bora utakuwa  wa Kwanza halafu Mungu kakuambua mstari wa 14 Mwanangu hutaongopa wala kuonewa shuleni utakuwa na kibali kwa wanafunzi wezako na Waalimu wako. Kisha mwambie

Njoo nikuombee Mwanangu.


MAOMBI YA WANAFUNZI 
Awali mpaka Form 6
👇👇👇👇👇👇👇

OMBA HIVI UKIWA UMEGUSA KICHWA CHAKE AU MIKONO YAKE YOTE MIWILI UKAISHIKA


1.Baba ninamleta mwanangu huyu Richard Bwana hii ni zawadi nzuri uliyonipa Tazama Sasa Anarudi Kuendelea na Masomo Yake Naomba ukamtangulie ukawe mwalimu wake ukamfundishe ukamlinde na kila silaha au roho za kichawi zinazokuwa zinafatilia watoto wanapokuwa shuleni roho ya kusahau sahau naamuru iachie roho ya kutokujisomea iondoke kwake Mfunike kwa ulizi wako Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×5



2.Eeh Bwana Yesu nayaleta masomo na ufaulu wa mwanangu haukuwa vizuri nawewe umesema katka Isaya kwamba utawafundisha wewe Bwana Kumbuka Sadaka Zangu Ambazo nimekuwa nikizitoa kila wanapofungua shule nikizinenea kwa habari ya watoto wangu mbona umenyamaza kwao Sadaka yangu ya muhula uliopita niliitoa katika Madhabahu yako Ya Moto wa Yesu Naomba Ikashughulikie Elimu ya wanangu Katika Jina la Yesu.Amen 

.Rudia ×6



MAOMBI YA WANACHUO OMBENI HIVI
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

UTANGULIZI 
Naitwa Pastor Richard Kutoka Morogoro. 
Wanachuo wengi Adui huwapiga kwenye roho ya kukata tamaa, Kuzini,Kutokuomba, na Tabia mbalimbali zinazowafanya Shetani Aweze kuharibu malengo yao au ndoto zao hali ya mtazamo tunaweza kuichukua kuiweka kwenye kundi hili watoto wetu hapa ndipo wapoamua kulewa Pesa za Bumu Kuanza kuowana nakutoa mimba Pasipokujua wanauwa Maono yao Ndoto zao zinaweza kuzimika Gafla kama hawataomba

Tusome huu mstari sisi wazazi  wenye watoto chuoni Tunajinyima watoto wetu Wasome kumbe wao wamemuacha Mungu.

👇👇👇👇👇👇👇
Yeremia 5:7
[7]Nawezaje kukusamehe? Watoto wako wameniacha mimi, na kuapa kwa hao ambao si miungu; nilipokuwa nimewashibisha chakula, walizini, wakakutana wengi pamoja katika nyumba za makahaba. 

Inafikia hatua Mungu mwenyewe anajiuliza anawezaje kuwasamehe watoto wetu chuoni wamekuwa wakiishi nyumba za makahaba nao wanavaa kama makahaba na Wameuchanguo uovu uwe maisha yao na siyo shule tena.

 TUNACHOTAKIWA KUOMBEA WATOTO WETU KABLA HAWAJAFIKA HUKO.


OMBA HIVI KWA MZAZI NA MTOTO ALIYECHUONI WAO MARA KWA MARA WAOMBE

1.Yeremia.23:29 Neno la Bwana lifanyike nyudo kuharibu kila tabia nitakayokuwa nataka kuifanya hapa chuoni inayonitenga na Mungu Kuna Wakati napita mazingira yanayotaka kunifanya nikubali kuzini na John ili na mimi nisichekwe au kuonekana kama sina mchumba chuoni lakini Bwana nilishaapa sitazini kabisa tena Naruhusu roho ya kuzini inayonifatilia ivunje vunje vipande katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3


2.Bwana Nisamehe Mimi Toka nimefika chuoni siku hizi siwaheshimu wazazi wangu walezi wangu hata mchungaji wangu yaani Baba yangu wa Kiroho wameongea nami mara nyigi Sana nibadilike Tabia yangu lakini mimi Bwana nimekuwa niyesikia wazazi naomba unirudie na unisamehe Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3


3.Bwana Nimekuwa mtu wa kutoa mimba mpaka mara 3 toka nilipofika chuo hii roho siitaki tena Katika Jina la Yesu.Amen 


4.Omba Shughulika na kila hali ambayo unaona imejitokeza toka uanze chuoni..

Utanipigia kama unakuwa hujaelewa wewe mzazi au mtoto simu 0759861768



OMBEA SADAKA YAKO KWA AJILI YAO.

Sadaka Utaomba kuligana unavyotaka ikafanye na kutenda katika elimu yako.
Haina kiwango Sadaka kiasi chochote

Mfano. MIMI Richard Nakutolea Sadaka hii katika madhabahu ya Moto wa Yesu Ukaishike Elimu yangu nikafikie ndoto zangu Katika Jina la Yesu.Amen 

Kisha itoe kwa

M-PESA 0759861768

TIGO PESA 0710889892

HALO PESA 0628355985

Jina Richard Julius Kushoka 

Hakiki Jina kabla hujatoa Sadaka yako

Kisha unipigie.


SHUKURANI 

Nashukuru Roho Mtakatifu kuniwezesha kuyaandaa haya maombi nakunitumia kukupa mwanga unaruhusiwa kutuma na kwa wegine

WITO.

Tujitaindi Wazazi kuombea watoto wetu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.