SOMO:MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU YA KICHAWI

SOMO: MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZA KICHAWI 

Kuna Watu Wanateseka Na Madhabahu za Kichawi Kutoka Kwa Wazazi Wao Leo hii Zinawatesa Watoto Wao Kusoma hawaelewi Darasani Watoto Wengine Wamekuwa viziwi wengine Vipofu na Wapo wengine Hawaolewi au Kuowa Wamekuwa ni Watu Wanaotumikishwa na roho ya kuzini hatari Pasipo Kujua nyuma hicho kitendo wanachofanya Kuna Madhabahu Ya Kuzini.
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa 

TUNASIMAMIA; Isaya 43 yote Waefeso:6:10-20 

Katika Maombi Yetu Haya mstari mkuu wa kutamka unapoomba ni 2Wakoritho.10;3-6


":MAMBO HAYA YAZINGATIE KABLA YA KUANZA KUOMBA":
<===============================>
1.Hakikisha Umeokoka na Kusimama usikurupuke Kuvunja madhabahu za kichawi zilizo ndani ya Familia ukiwa hujasimama.


2 Utakuwa Na Sadaka Yako Kuanzia 50000 na utaitoa siku ya kumaliza maombi kupitia hii madhabahu utanipigia simu ukishatoa.

3.Tambua Madhabahu ya Kichawi ndani ya Familia husababisha. Watoto wachukie shule au wawe wanadodoka au Kuwa mapepo yasiyoisha au Umaskini uliopitiliza au kuwa viziwi na kuwa viwete au kipofu.kutokuzaa nk

4.Walengwa Waombe Wazazi wenye watoto wa hivyo au Watoto wenyewe wanaoteswa na hizo Madhabahu. 

5.Kama Huna Sadaka au Hujaokoka Tafadhali Usiyaombe Haya Maombi 

6.Maombi hays Utaomba Siku 2 Tu Ukiwa Umefunga

{MAOMBI NAMNA YA KUYAOMBA NI HIVI.}
✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✅✅

1.TUTAVUNJA UHUSIANO ULIOPO KATI YA HUYO MTU NA HIZO ROHO .
2 Mambo ya Nyakati 29:5
[5]akawaambia, Nisikieni, enyi Walawi; jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zenu, mkautoe uchafu katika patakatifu. 


Uhusiano Wa Nguvu Ya Kichawi huunganishwa na haya.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🍇🍇🍇🍇🍇
1.Kitovu cha mtoto huyo anayeteseka na uchawi

2.Jina la huyo mtu kama Amelirithi kutoka kwa wazazi.

3.Nguo za ndani za huyo mtu.


MAMBO HAYA HUSABABISHA Hii Roho ya Kichawi Ipate nguvu ndani ya mtu.

1.Kila uchawi uliouganishwa Kupitia nguo zangu za ndani ninauvunja Katika Jina la Yesu Ameen

2.Kila Uchawi uliouganishwa kwenye kitovu changu kiharibu mwili wangu kiingize mateso nakiamuru  Kinitoke Katika Jina la Yesu.Amen 

3.Nasabaratisha kila uhusiano uliopo kati yangu na roho inayonitumikisha kwa Jina la Yesu.Amen 

4.Nasimama Kinyume na Kila roho inayoniamuru na kuniendesha Niwe wa Kuaguka Aguka chini Roho inayoniamurisha niwe mtu wa mawazo mabaya initoke Kabisa Katika Jina la Yesu.Amen 

5.Endelea kuvunja mahusiano ya kichawi kwa mlengwa anayeteswa na Wachawi. 



2.TUTASHUGHULIKA HIMAYA YA KICHAWI AU VIONGOZI WA UCHAWI WALIOSHIRIKI KUKUUNGANI NA ROHO ZA KICHAWI.


Hapa uombaji wake nenda Kavita vita

Omba hivi.

Ninaharibu na Kusabaratusha umoja wao ushirikiano wao waliokuwa wakinitesa na kuumiza maisha nautuma moto wa Yesu Katikati yao kwenye vilinge vyao Kwenye himaya zao Narusha Motoooo Nawaripua Kwa Jina Yesu Nawapinga Nawapinga Nawapinga Ondoeni Uchawi wenu Ondoeni Nasema Naangiza mikaeli na Panga shuka fyeka fyeka fyekaaa Tandika tandika......endeleaa Waka fire 🔥  Tembea Huku ukizunguka eneo la nyumba yako au ndani humo kila chumba.



3.TUMIA MANENO YANAYOKUINJIA YATAMKE OMBA OMBA

Nasema Kwamba mimi najiondoa sitaki kuteswa na Wachawi Sitaki Niwe chini Ya Himaya Yenu Nimewakataa Kwa Jina la Yesu Yeyote Atakayeenda Kinyume nami nitamuangamiza muachie watoto wangu ndoa yangu kazi yangu Wazazi wangu nasema hamtatesa Yeyote yule aliye ndani ya Familia yangu nainua nguvu ya Roho Mtakatifu Ije kwa hasira ishambulie Umiliki wenu Na Sadaka zenu kafara zenu katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×4


Endelea kuomba kadiri roho anavyokuongoza utamke.


SIKU YA MWISHO SHIKA SADAKA  YAKO.

Ombea Nusu Saa hiyo isizidi Nusu Saa

OMBEA KADIRI UTAKAVYOPEWA MANENO YA ROHO MTAKATIFU Huwa kunamaneno yanakuja tu ukianza kuiombea hii Sadaka. 


KISHA ITOE KWA

M-PESA 0759861768

TIGO PESA 0710889892

HALO PESA 0682355985

CRDB BANK ACCOUNT. 0152361572400

JINA:RICHARD JULIUS KUSHOKA 


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.