SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA
SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA KATIKA FAMILIA YOYOTE.
π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄
Thamani Ya Mzaliwa Wa Kwanza Kimwili ni kubwa ikitokea huyu mtoto wa kwanza kushindwa kimaisha Anafungulia Wadogo zake Washindwe na Familia nzima Kutokana Yeye ndiye Taa ya Familia Ikitokea Amejiingiza kwenye tabia chafu mfano ukahaba,Wizi,Kuabudu miungu,Kutumia madawa ya waganga wa Kienyeji ni rahisi Adui kupitia mlango wake huo nakuingia ndani ya Wazazi wake wadogo Zake.
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Holy Spirit church Tanzania.
ππππππππππππ
Rejea Hii Mistari Soma: Mwanzo:22:21, Mwanzo:25;31-34, Kutoka:13:12, Wakolosai;1:15-18
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA HAYA MAOMBI.
πππππππππππππ
1.Soma rudia rudia uelewe Somo hili la kumkomboa mzaliwa wa Kwanza.
2.Utaandaa Sadaka Yako 35000 Nakuendelea Ukiwa huna usiyaombe subiri ukiwa nayo ingia umkomboe Mzaliwa wa Kwanza.
3.Wanaopaswa Kuomba Ni Wazazi ,Wazaliwa Wa Kwanza,Mtoto wa Pili Anaweza Simama Kwa niaba ya mzaliwa wa Kwanza
4.Maombi Haya Utaomba Kwa Kufata Muongozo na Maelekezo hutaomba nje ya maelekezo na Utaomba Siku 2 Tu
5.Hakikisha Ukishatuma Sadaka Yako Unampigia Pastor Richard Saa kumi na mbili jion.12;00 -9:00 saa tatu usiku
MAMBO MHIMU YA KUJUA
Kuna wazaliwa Wa Kwanza Kiroho na Wazaliwa Wa Kwanza Wa Kimwili.
A. Mzaliwa Wa Kwanza Wa Kimwili;
Ni mtoto wa Kwanza Katika Tumbo la mama yako yeye hutawala na kurithi vitu vyote na Baraka zote za familia endapo akijitambua.
B. Mzaliwa Wa Kwanza Wa Kiroho ;
Ni mtoto wa kwanza kuokoka na Kuanza Kutembea ndani ya Neema ya Wokovu katika Familia Yoyote Yeye huwa lango la kuwafanya na wengine wamjue Mungu na kuokoka.
C. Kama Tumbo lako Halina mzaliwa Wa Kwanza Wa Kiroho mzazi Unatakiwa uliombee Upate mzaliwa wa Kiroho.
πMfano Wa Kibiblia Mzaliwa Wa Kwanza Kimwili na Kiroho Pitia hivi vitabu nilivyoabatanisha.
A:Wazaliwa wa kwanza kimwili;
- Kaini mzaliwa wa kwanza kwa Abili (Mwanzo 4:1-2)
- Yafethi mzaliwa wa kwanza kwa ndugu zake Shemu na Hamu ( Mwanzo 10:21
- Nahori mzaliwa wa kwanza kwa ndugu zake wawili Abramu / Ibrahimu na Harani
- Ishmaeli mzaliwa wa kwanza kwa Isaka
- Esau mzaliwa wa kwanza kwa Yakobo. N. K
B. Wazaliwa wa kwanza kiroho ;
- Habili mzaliwa wa kwanza kwa Kaini ( Waebrania 11:4)
- Shemu mzaliwa wa kwanza kwa ndugu zake ( Mwanzo 5:32)
- Abramu / Ibrahimu mzaliwa wa kwanza kwa ndugu zake Nahori na Harani ( Mwanzo 11:26)
- Isaka mzaliwa wa kwanza kwa Ishmaeli ( Ndiye aliyekuwa mtoto wa agano Mwanzo 17:21)
- Yakobo mzaliwa wa kwanza kwa Esau ( Mwanzo 25:23)
- Yesu Kristo ndiye ndugu mkubwa na mzaliwa wa kwanza kwa wote, maana katika Yeye utimilifu wote wakaa ( Wakolosai 1:18
HAKI ZA MZALIWA WA KWANZA.
1.Yeye ni Ufunguo wa Kuingiza Baraka ndani ya Familia Yake Akijitambua.
2.Yeye Ni Chanzo Cha Mafanikio za Wadogo zake
3.Yeye ni Mzazi na Mlezi wa Wadogo Zake Anapojitambua.
4 Ni Lango la Adui hulitumia Kushambulia Wazazi na Wazaliwa Wengine Kama huyu hataokoka.
5.Ni Faraja ya Wazazi na Furaha ya Wazazi.
Ikitokea Mzaliwa Wa Kwanza Hatajitambua Atakayekuja kumrithi ni mtoto wa Pili huzichukua haki za mtoto wa Kwanza Na hii ni mbaya kuuza thamani yako.
MAOMBI UTAKAVYOOMBA FATA HAYA MAELEKEZO KWA UMAKINI.
================================
1;KOMBOA THAMANI ZAKE AMBAZO.
a.Kama hajaolewa au Kuowa hiyo ni thamani yake omba hivi.......Eeh Bwana Yesu Nakomboa thamani yangu kama mtoto wa kwanza nakomboa thamani ya kuowa au kuolewa Katika Jina la Yesu.Amen
Endelea Kuombea kipengele hiki kwa kutii muongozo wa Roho Mtakatifu maneno utayaona yanakuja.
b.Maisha ya mzaliwa wa Kwanza Kama hayaeleweki au hayaendi Katika mwelekeo mzuri.
Omba hivi; Kila nguvu zilizoshikilia na Kutumikisha Akili za Mzaliwa wangu wa Kwanza mimi kama mzazi wake namkomboa nakomboa fahamu zake Akili zake Akajitambue Katika Jina la Yesu.Amen
Endelea hapa napo omba kadiri Roho Mtakatifu anakupa maneno Adui huwa Anakamata fahamu za mzaliwa wa kwanza ombea thamani zake mbali mbali.
2.KOMBOA WAKATI NA ROHO YA KUCHELEWESHWA
Wazaliwa wengi Wa Kwanza Adui Anawapinga Kwenye muda unakuta Wanakuja kuamka wadogo zao tayari wameshawapita kama kuolewa wadogo zao wanaolewa wao wapo nyumba hii huwa ni Mbaya kwako mzaliwa wa Kwanza
Omba Kukataa hizi roho za kukutumikisha katika muda
3.OMBEA HAKI AMBAZO ULIZIUZA KWA MTOTO WA PILI.
Mfano; mtoto wa pili kasoma kakuzidi elimu wewe Anasazi nzuri wewe upo tu.
Mtoto wa Pili Ameolewa au Ameowa wewe upo singo
Mtoto wa Pili Maisha yake Yapo Na Mwelekeo maisha yako hayaeleweki.
Maombi haya Omba hivi.
Narudisha Haki zangu narundi Kwa Jina la Yesu
.rudisha Baraka zako rudisha ndoa yako .
MTOTO WA KWANZA HUWA HUTAKIWI UZINDIWE NA MTOTO WA PILI WEWE NDIYE MAMA NDIYE BABA KIPINDI WAZAZI WANAPOFARIKI
.Maombi haya Unaweza Ukaendelea Kuyaomba hata kama ukimaliza.
Share kwa Wengine.
Maoni
Chapisha Maoni