MAOMBI YA UKOMBOZI WA URAFIKI (WACHUMBA)
MAOMBI YA UKOMBOZI WA URAFIKI ( MAHUSIANO YASIYOELEWEKA)
,,,,,,,,▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania
Wapo watu Mahusiano yao hayaeleweki hakuna mawasiliano wala sms wala simu Yapo kama hayapo Adui Ameichukua nafasi zao za kuwasiliana kaweka kila mmoja amuone mwezake kawaida tu.
Tunaingia maombi Tafadhali Soma uelewe mambo ya kuzingatia unapokomboa
,,,,,,,,,,,,▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
#ZINGATIO
Walengwa ni wale Tu urafiki (Mahusiano) wao haueleweki
Waombe kila siku kwa muda wao mpaka waone matokeo wayaone
Hakuna Kitu adui anachokichukia kama nyinyi wawili mkiwa na lengo la kufunga ndoa yaitaji uombe hasa.
Mstari unaobemba Maombi
👇👇👇👇
Mithali 6:1
[1]Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa rafiki yako,
Ikiwa wewe na mgeni mmepana mikono,
°••••••••°°°°°••••••°°°°°°°•••••°°°°°°•°°•°••°°•°••°••°••°°
MAMBO MATATU YAKUSHUGHULIKIA KWENYE URAFIKI UNAPOKOMBOA.
1:MAWASILIANO YALIYOIBIWA NA ADUI.
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Mithali 27:17
[17]Chuma hunoa chuma;
Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake.
2:AHADI ZILIZOIBIWA NA ADUI
👇👇👇👇👇👇
Mithali 27:10,
[10]Usimwache rafiki yako mwenyewe,
3:AGANO LA Urafiki Wenu.
👇👇👇👇
Mithali 2:17
[17]Amwachaye rafiki wa ujana wake,
Na kulisahau agano la Mungu
NAMNA UTAKAVYOOMBA
°°°°°°°°°•••••••••••••°°°°°°°°••••••••°°°°°°°°•••
A:MAWASILIANO YALIYOIBIWA NA ADUI.
Mithali 27:17
[17]Chuma hunoa chuma;
Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake.
______________________________________
1:Nakomboa mawasiliano yangu na rafiki yangu yaliyokuwa Yamekata yakarenjee Katika Jina la Yesu.Amen
2:Sina cha Kuhofia urafiki wangu na Richard umeuganishwa na Bwana Kwa hiyo mawasiliano yangu na Richard yameuganishwa Bwana hakuna nguvu itakayovunja Katika Jina la Yesu.Amen
3:Mpendwa wangu rafiki yangu Ambaye Bwana umekusundia aje kuwa ubavu wangu mrudishe aje sasa mikononi mwangu Katika Jina la Yesu.Amen
4:Baba Yangu Wa mbiguni usimamie urafiki wangu na Richard Maana Nimempenda Sana Sitaki mwigine zaidi yake Nashukuru Sana Baba umepokea ombi langu katika jina la Yesu.Amen
5:Mawasiliano yote yaliyofifia nayarundisha yakawake sasa kila mmoja akawe na hamu ya kuwasiliana na mwezake Katika Jina la Yesu.Amen
•••••••°°°°°°°°°•••••••°°°°°°°°••••••••°°°°°°°
B:AHADI ZILIZOIBIWA NA ADUI OMBA HIVI
👇👇👇👇👇
Mithali 27:10,
[10]Usimwache rafiki yako mwenyewe,
1:Ahadi zote tulizowekeana mimi na rafiki yangu Richard Hazitavunjwa na hakuna miongoni mwetu atakayevunja katika jina la Yesu.Amen
2:Sitaacha kumpenda mpwenda wangu nakumuombea maana Yeye ni umbu la Moyo wangu namimi ni umbu la moyo wake Faraja ya moyo wangu namimi ni faraja ya moyo wake katika Jina la Yesu.Amen
3;Hiyo roho iliyotaka imkatishe tamaa iwe ni hasira zangu na mawazo yangu juu yake mabaya au maneno mabaya Eeh Bwana naomba umba kinywa changu kitowe maneno matamu na Kuongea ushindi na Kushauri vizuri kwa rafiki yangu katika jina la Yesu.Amen.
4:Chozi langu halitatoka tena kama huyu ulikusundia awe mume/mke wangu Bwana atafata taratibu zote kama ni tapeli mwezi huu usiishe aondoke mbele yangu aje mwenye malengo pamoja na mimi Katika Jina la Yesu.Amen
5:Mimi nakushukuru Bwana kwa rafiki yangu kutimiza ahadi zake zote na leo Amekamilisha mahari na taratibu zote katika jina la Yesu.Amen
•••••°°°°°°°°°•••••••••°°°°°°°°°°•••••••
3:AGANO LA URAFIKI WENU.
👇👇👇👇
Mithali 2:17:
[17]Amwachaye rafiki wa ujana wake,
Na kulisahau agano la Mungu
Agano ni yale makubaliano Yenu Wakati mnaanza urafiki wenu mlikubaliana mnaanzisha urafiki wa kuchat tu au kuzini tu au Kuanzisha maisha ya familia
Agano huja pale mnapokubaliana hamtazini mpaka mfikie lengo lenu la ndoa.
1:Nalidhibitisha Angano langu la urafiki wangu na Richard na Yeye udhibitishe ndani yake asiwe mtu wa kuvunja Patano letu mpaka ndoa katika jina la Yesu.Amen
2:Eeh Bwana Yesu Simamia Patano langu na rafiki yangu Richard Agalia mwezangu anataka tuvunje agano wakati tulisema Tuanze na Kwenda Kutoa mahari kisha Tuende Tukaandikishe ndoa Yeye Anasema hawezi gharama nyigi lakini mimi nachojua wewe umetuaganisha kama wewe Bwana Umetuuganisha hivo hivyo fungua milango kwake ushike moyo wake asivunje Patano letu alitimize mwaka huu nataka nikushuhudie Katika Jina la Yesu.Amen
3:Baba Yangu Mapenzi Yako Yatimie kwenye urafiki wangu huu urafiki sungu siutaki kabisa na maisha ya kuzini kwenye urafiki sitaki kabisa nakataa dhambi ya kuzini naichukia kuanzia sasa sitakaa na rafiki apendaye kuzini kuliko taratibu Katika Jina la Yesu.Amen
4:Rebecca ulimpa Isaka mwaminifu Eva ulimpa adamu mwaminifu Leah ulimpa Yakobo mwaminifu na Richard Naye utampa aliyewake mwaminifu Katika Jina la Yesu.Amen
5:Bwana Yesu uishiye milele uliyeruhusu huu urafiki karuhusu na ndoa itimie Bwana Katika Jina la Yesu.Amen
MAOMBI HAYA HAYANA SADAKA
TAFADHALI USITOE SADAKA
#Hakikisha unaweka jina la rafiki yako kwenye sehemu nilipo weka Jina langu
Kama unaswali inbox WhatsApp +255759861768
Maoni
Chapisha Maoni