SOMO:MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE LAANA YA WIZI WA ZAKA(FUNGU LA KUMI)

SOMO: MAOMBI YA KUJIKOMBOA KWENYE LAANA YA WIZI WA ZAKA (FUNGU LA KUMI)


UFAFANUZI MFUPI KABLA YA KUOMBA SOMA
🌴🌴🌴🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀
Shalom Mtoto WA Mungu Kuna Sauti naisikia  Inasema Nifundishe Watu Ambao Wamefungwa na Wanateseka Kutokana na Laana ya Wizi Wa Fungu la Kumi Kwa Baba Zao wa Kiroho au madhabahu zao hawazitolei Fungu la Kumi na Kwakuwa haziwatambui zimenyamaza Hazileti matokeo Hali inayowafanya Hawa watu waanze Kutapa na kuhama hama Wazazi Wao wa Kiroho aliowapa Mungu Awaongoze Ndugu yangu Maisha ya Kiroho na Kanuni Ya Mungu lazima uchangue uwe na Baba Wa Kiroho haijarishi utapita kwenye wakati Mgumu kiasi ngani ile madhabahu ya Baba yako wa Kiroho itakubemba nakukutetea kwa kuwa umekuwa ukiitolea fungu la kumi. 

Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa 

LAANA YA FUNGU LA KUMI  NI NINI?

Ni kitu kinachomzuia Mtu Asibarikiwe Kwa Sababu tu Hatoi zaka katika madhabahu yake alipo Baba wa Kiroho Anatoa Popote yeye anavyoona nafsi yake Analiona Fungu la Kumi ni la maamuzi yake na ni Sadaka kama za wahitaji kupeleka kwa wa Jane kupeleka kwa Yatima Anashindwa Kujua fungu la Kumi ni la Madhabahuni kwa Baba Yako Wa Kiroho. Watu wengi eneo hili wametembea na laana za kutokuolewa kupata kazi kupata watoto nk

MAOMBI YETU TUNASIMAMA NA KITABU HIKI.👇👇👇👇👇
Malaki 3:8-10
[8]Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu. 

[9]Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote. 

[10]Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. 


MAMBO AMBAYO HUKUPA DALILI ZA  KUJUA UPO KWENYE LAANA ZA FUNGU LA KUMI 
""""".........:::::::"""""""""::::::::::,,,,,,,,,,''"""""""""""""""""

1.Utaanza Kudhulumiwa na haki zako utazikosa.

2.Utaanzisha Biashara chochote ukifanya kwa kuwa hukitolei zaka kitakufa.

3.Utakuwa unapata wachumba au ndoa zitakazokuumiza ambazo siyo sahihi.

4.Pesa zako Adui Atazila Kwa watoto wako au wazazi wako watapigwa magonjwa yatakayokufanya hiyo pesa ulimuimbia Mungu uipeleke kwenye matibabu mpaka itaisha.

5.Hutaolewa Kwa ndoa na ikitokea umeolewa na ulikuwa mwizi ndoa itakuwa ya isiyo na Amani au furaha mwanaume hataona uthamani atakutesa.

6.Huduma yako haitakuwa itadumaa haitachanua  

7.Utajenga hutaikalia hiyo nyumba au kuwa na Amani na nyumba yako.

8.Watoto wako watakuinukia kukujibu ovyo na kukupiga Kwa Ufupi Adui Huharibu chochote ufanyacho au kukianzisha.


JAMBO LA MUHIMU WEWE NI KUCHANGUA KATI YA WACHUNGAJI WAKO ULIO NAO BABA WA KIROHO UNAYEONA AKIKUFUNDISHA AU KUKUSHAURI UNAELEWA KWA HARAKA NA MAHUBIRI YAKE YANAKUJENGA KIIIMANI Haijarishi anaweza ukawa hapo unapoishi au akawa yupo nje ya ulipo utakachotakiwa kutembea na madhabahu yake ujue Mungu Amekupa madhabahu hiyo ikuvushe mengi uwe na msimamo na uweke patano uchanguzi utakochangua hutabadilisha badilisha Baba wa Kiroho   Ukifaulu ukawa na Baba wa Kiroho utakuwa umefanya jambo kubwa wengi wameshikilia madhabahu na Dini na Fungu la Kumi hulitoa kwa kufata kanuni za dini na dhehebu na siyo kibublia.
Soma Hesabu;3;49-51 Musa alipeleka Kwa Baba wa kiroho aliyekuwa Amepewa Ambaye ni Haruna.

1Samweli;1:1-10 Hanna Alipokuwa Anapita wakati Mgumu alichangua Baba wa Kiroho Eli Akawa anatoa hapo Fungu la Kumi .

Konelio Alikuwa Afisa Jeshi mkubwa Serikalini Yeye na nyumba yake walichangua Baba Wa Kiroho walipokuwa wakitoa fungu la kumi. Matendo;10

Wapo wengi Walifanikiwa Kwa Kuwa na Baba wa Kiroho.
🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎

.MAMBO   YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA 
🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈

1.Tutaomba Siku 5 Maombi haya.
Na ndani ya siku hizo Tano kwenye huo mwezi Ndiyo Tunaanza Kutoa Fungu la Kumi hatutaacha kila mwezi kwa kufata Utaratibu Baba yako wa Kiroho alivyokuelekeza Kama huna ndani ya siku 5 ufanye uchanguzi uwe na mtu wa kukuongoza utakayemuelewa na kumweleza siri zako au matatizo yako.


2.Baba Wa Kiroho utayemchangua ni vyema umuombe umwambie nataka unilee kiroho na uwe Baba yangu wa Kiroho uniongoze Kiroho 

3.Ukisha fanya uchanguzi Weka Patano haijarishi upitie changamoto ngani hutahama hama tena madhabahu yako uwe na msimamo.

4:Hakikisha Fungu la Kumi Utalitoa hapo sababu Mungu amekupa huyo Baba wa Kiroho uwe na msimamo huo ikitokea kwenye dini yako wanakutaka unaweza ukaweka hekima ukatoa huku na huku au kuwaambia ninaye Baba wa kiroho natoaga huko.


5.Uwe na msimamo kukataa laana hii tena.

6.Ukimaliza utanipigia Simu nikuombee maombi haya hayana Sadaka Usinitumie Sadaka Sababu Sijaelekezwa hivyo uyatolee Sadaka hapana maelekezo unanipigia simu ukimaliza.



UTAOMBA HIVI:

FATA NILIVYOONGOZA KUOMBA.

PIGA MAGOTI OMBA UKIWA UNAYASOMA MAOMBI 

Baba Nasongea Mbele Zako na moyo wagu wote ninaumimina kwako nashuka chini ya miguu yako Baba Ninatubu dhambi ya wizi wa Fungu la Kumi nimekuwa mwizi kwa miaka mingi toka umenipa kazi nikaingia mikopo kwa tamaa zangu na madeni kwa tamaa zangu nimekuwa nikipokea mshahara mdogo bado na huo naingiwa roho ya wizi na Saa nyigine najifariji wewe hujatuangiza Tutoe Fungu la Kumi lakini Kupitia Mafundisho na masomo mtumishi wako Pastor Richard uliyompa atulishe kondoo wako nimengudua mimi ni mtoto mwizi tena Mwizi Sungu Sasa Nimekuja Uniondolee Hii Laana Ya Wizi Bwana Ninaomba unipe na Baba wa kiroho kati ya hawa wachungaji Wanaoniongoza Kiroho Nipe mmoja moyo wangu palipo na Amani naushuhudie ndani yangu na huu uchanguzi nitakaochangua ninakuahidi nitakuwa na msimamo sitabadili badili madhabahu au Baba wa Kiroho huyu utakaye nipa ndipo ninakuambia Baba Yangu Nitakuwa mwaminifu Wa Zaka Laana ya wizi wa Fungu la Kumi naikataa kabisa Bwana Amuru Baraka zangu ziaze kunifata na mimi mwisho wa mwezi huu chochote ninachokifanya nitakitolea Fungu la Kumi kwako ninaomba nawewe Bwana uwe mwaminifu wa Neno uliloniambia Kwa kuwa Sasa ninatoa fungu la kumi kwa Uaminifu na mimi kwangu Tenda Ufanye wepesi na kutatua yote yanayokuwa yananitesa Sitaki Tena niishi nje ya Baraka za Fungu la Kumi Naomba iwe kwangu Richard Julius Kushoka Hivyo naomba Jina langu liondoe kwenye laana liandike kwa watoto wenye msimamo wa Fungu la Kumi Katika Jina la Yesu AMEN

RUDIA ×3



Kisha inuka ulipopiga magoti endelea kuomba kadiri maneno yanavyokuja kinywani mwako omba tamka maneno endelea kuomba mpaka maneno ya Kate.



Kisha Mshukuru Mungu Kwa Kupiga makofi mikono umeweka Juu.


HITIMISHO 

Ninawashukuru Wote Kama unaswali hujaelewa sehemu nifate inbox niulize usiongope


Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania (H.s.c.t)Moto wa Yesu

WhatsApp yangu +255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.