SOMO: MAOMBI YA MTU ATESEKAYE NA MAPEPO
SOMO;MAOMBI YA KUOMBA KWA MTU ANAYETESWA NA MAPEPO
ππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏ
Habari Mtoto Wa Mungu Naitwa Pastor Richard Ninataka Ujifunze Kumfungua mtu mwenye mapepo. Unapomfungua mwenye Pepo Zingatia haya.
1.Mazingira yawe wazi palipo na nanafasi maana mengine huwa na funjo.
2.Ondoa Woga na Hofu Jiamini na Utoe Sauti Kwa Kukanza yenye Amri.
3.Tumia mistari Mfano. 2Wakoritho.10;3-6 Simamia
4.Tazama ishara na Vitendo lile Pepo linavyokufanyia Unamkomboa mtu mwenye Mapepo.
Mfano. WADALILI ZA MAPEPO UNAMFUNGUA MTU.
1.Kama linarebua na kutembea kwa kunata ujue jini mahaba
2.Akiwa anatembea Anajivuta na kujinyoganyoga mwili Unaambiwa ndani mwili yumo Jini Nyoka.
3.Unapoona Haongei wala kuzungumza Yumo Jini Kiburi endelea kuchochea Moto wa Yesu Moto wa Yesu.
4.Unapoona Mtu unamuombea Anavua nguo Jini Kichaa endelea kuomba tu.
5.Unapoomba Ananyosha vidole Anaomba msaada wa wezake waingie ndani mwili huo Apate msaada wewe omba haribu msaada.
Nk
Kuwa mfatiliaji na makini kuzifichua ishara za kipepo na uruhusu Roho Mtakatifu Aombe ndani yako.
Narudia Tena Unapomfungua mtu mwenye Mapepo Usimuombee ukiwa na Hofu au Woga
SOMAππΎππΎ Mathayo 9:33
[33]Na pepo alipotolewa, yule bubu alinena, makutano wakastajabu, wakasema, Haijaonekana hivi katika Israel
MATHAYO;12;43_25 Marko:1;23-40
MAOMBI YA KUOMBA.
1.Kila Pepo liloshika Damu ya Mariam ndani yake kwenye mifupa yake ndani mwili wake ninaharibu naondoa Kwa Jina la Yesu Ninaondoa Ninachoma Moto wa Yesu Moto Wa Yesu Moto Moto Moto Katika Jina la Yesu.Amen ×3
2.Kipepo Awe Pepo wa umasikini Pepo la uzinzi Pepo la Jini Mahaba napiga kwa Jina la Yesu Achomoke Achomoke achia achia achia ndani yake achai kwenye moyo wake Achia kwenye miguu yake kwa Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
3.Najikomboa Mwenye Mimi Richard Kutoka Kwenye mikono ya Kipepo iliyoshika ndoa yangu Watoto wangu mke wangu Huduma yangu iwe imeshika fahamu zao Maamuzi ya Kuomba ndani Yao Nasimama Kinyume Naibatilisha Naibatilisha magonjwa magonjwa U.T.I Sungu Madeni Sungu yanayosimamiwa na nguvu za Kipepo Leo hii Natandika Fimbo ....Natandika Fimbo....Nacharaza Fimbo fimbo fimbo fimbo fimbo katika Jina la Yesu.Amen
4.Nakataa Pepo la Kukata Tamaa Umepingwa achia ujasiri wangu Nakataa Pepo la kushika Pesa isiyo nipa maendeleo Nakataa Pepo la Umasikini Nakataa Kuketi chini ya Utumwa wa magonjwa ya Kipepo Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×6
5.Maisha ya kuomba omba siyataki maisha kuishi kwa kudharaulika Sitaki Maisha ya kuonewa onewa na matatizo mbalimbali au Kunitumikisha Nakataa Mimi maisha yangu Yawe Nuru yawe na Nguvu katika ulimwengu wa Roho Katika Jina la Yesu.Amen.
6.Endeleza Moto moto moto mpaka uone maneno kwenye kinywa chako yameisha au Amefunguka huyo mtu.
Unapomuombea mguse Roho Mtakatifu Anavyokuongoza kadiri unavyochochea ndivyo unavyomfungua Vifungo vyake Usisikilize Pepo wewe tandika usilipe nafasi.
SHUKURU MUNGU KISHA MUONGOZE TOBA
Mambo haya yafanye kwake kumsaindia.
1.Muongoze Toba
2.Mfundishe Masomo Kaa naye siku 3 mfundishe namna ya kujisimamia.
3.Mfatilie Kwa Ukaribu Sana na Kumuweka Awe karibu na Mungu ili Asirundie matatizo ya kuteswa na mapepo.
MAOMBI HAYA HAYANA SADAKA USITUME SADAKA AU KUTOA SABABU SIJAPEWA MUONGOZO WA KUYATOLEA SADAKA.
Share kwenye magroup yako ya familia na ya kazini uwasaindie
Kama Unaswali au Unashuhudiwa unieleze Kitu Kupitia Somo hili umekumbuka
Nifate Inbox Tuma saut +255759861768
Naitwa Pastor Richard
Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania
Maoni
Chapisha Maoni