SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA MADHABAHU ZA UKOO

SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA MADHABAHU YA UKOO

MLEGWA NI KILA MTU ANAYETESWA NA MADHABAHU YA UKOO AMBAYO INAPEWA NGUVU KUPITIA SADAKA ZA WANAUKOO WAFANYAPO MILA ZAO.
Karibu Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 
 Tunasoma Kitabu hiki.
           ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘ˆðŸ‘ˆ
        Mambo ya Walawi 25:47-49
[47]Tena kama mgeni au mtu akaaye nawe akitajirika, na nduguyo amekuwa maskini karibu naye, akajiuza kwa huyo mgeni, au kwa huyo akaaye kwako, au kwa ukoo wa jamaa ya huyo mgeni; 

[48]baada ya kuuzwa aweza kukombolewa; mtu mmoja miongoni mwa ndugu zake ana ruhusa kumkomboa; 

[49]au mjomba wake, au mwana wa mjomba wake, ana ruhusa ya kumkomboa, au mtu awaye yote aliye karibu naye wa jamaa yake, ana ruhusa ya kumkomboa; au kwamba yeye mwenyewe amepata mali, ana ruhusa ya kujikomboa mwenyewe. 

   SOMA Kitabu kigine hiki
         ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡
     2 Mambo ya Nyakati 34:4
[4]Wakazibomoa madhabahu za mabaali machoni pake; na sanamu za jua, zilizoinuliwa juu yake, akazikata-kata; na maashera, na sanamu za kuchonga, nazo za kusubu, akazivunja-vunja, akaziponda kuwa mavumbi, akayamimina juu ya makaburi ya hao waliozichinjia dhabihu. 

Unaposikia Walawi Anakuambia mtu mgeni akatajirika kwenu katika wale watu wanaoweza kuzitii zile roho za madhabahu kuzifanyia jinsi zinavyowaamuru watende katika ukoo wenu lakini walawi anasema atakayemukomboa ni Yule mtu aliye wa karibu maana yake mwana ukoo kwa gharama ya muda na miaka aliyokuwa akitumikishwa Tafsiri yake Kama umeteseka miaka kumi Ukiendeshwa na madhabahu piga hesabu yako sadaka yako iwe kubwa  Sababu unashughulika na Madhabahu ya ukoo ni Eneo Zito.


MAMBO YA KUFANYIA KAZI KWENYE MAOMBI HAYA.

1.Anayeomba au kukomboa Awe mwana ukoo Asitoke nje ya ukoo.

2.Anayeomba Maombi haya awe na Misuli ya Imani na Asome vizuri muongozo Allee.

3.Hairusiwi Kuomba Kwa Wanaojaribu Inatakiwa mtu aliyeamua kuvunja madhabahu za ukoo.

4.Usiombe Kama Huna Sadaka Inayoendana Walawi.25:45-55 Sadaka yako iwe kubwa kutokana na madhabahu yenu ya ukoo ilivyowatumikisha. Anzia 50000 kwenda juu kama unakuwa haujajiadaa jipange kwanza maana hupambani na vitu rahis

5.Lazima mmoja ajiondoe kisha ndio aanze kushughulika kuwakomboa na wegine.

6:Maombi haya utaomba siku tatu ukiwa umefunga muda wa kuomba ni muda wako utakaokuwa umetulia.

7.Kila tabia na mtindo wa maisha mnaoishi katika familia ni Nguvu ya madhabahu Asiposimama mtu kuibomoa hutesa.

MSTARI WA KUSOMA UOMBAPO.
2wakoritho:3:4-6 Luka.1:36 Wagaratia:5:5


MADHABAHU YA UKOO 
Ni uhusiano kati yako na ukoo inayokutambulisha popote uendapo wewe mwana ukoo fulani.

Hizi roho zinaishi kuhalali ndani yako na zenyewe kazi zake ni hizi.

1:Kuhakikisha zinakuendesha uishi maisha kama familia yako au ukoo wako kila ukijitaidi unatudi chini.

2.Zinataka zikuendeshe na kukupagia zenyewe katika mtindo wa mausha.

Mfano mama yako alizalia nyumbani au dada yako nawewe zitahakikisha unazalia nyumbani

Mama au Baba alikufa na ukimwi au kisukari hizi roho zitahakikisha unapata kisukari nawewe.

Kama ndugu zako hawakusoma waliishia fomu 4 hutavuka hiyo levo na ikitokea ujue ulisimama kweli katika maombi.

Hizi roho zinatesa watu wengi Ambao wanakuwa hawajielewi.

Zinapata nguvu hizi Roho kwa Mambo mawili
👇👇👇👇👇👇👆👇👇👇👆
1.Kwanza zimewekwa na mwanaukoo zimekaribishwa zihakikishe Ukoo wenu mnatambuana popote walipo.

2.Sadaka zilitolewa ng,ombe mbuzi ambazo hazina idadi  ukienda na 10000 Zinaendelea hutazitoa.
Madhabahu humtesa mtu kupitia Sadaka na kumshikilia mtu kupitia Sadaka 
Soma. Waamuzi.6:27-35 Gidioni Anavyoshughulikia Madhabahu Za Ukoo hii hadithi Soma yote ujifunze

3.Majina ya Kurithi Yanasababisha Roho za ukoo zikutese. Mfano Jina la Bibi, babu Baba ,shangazi,mjomba nk umepewa Jina hilo utateseka mpaka libadilishwe Jina hilo.

Mwanzo 11:30
[30]Na Sarai alikuwa tasa, hakuwa na mtoto. 
👉👉👉👉Huyu ni Sarai Jina ndiyo lilokuwa linamfanya awe tasa Kwa sababu alirithi  kutoka kwa shangazi yake aliyekuwa tasa.

Lakini Tukisoma Mwanzo.17:25  Sarai anabadilishwa anaitwa Sara 

Mwanzo 17:15-16
[15]Mungu akamwambia Ibrahimu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara. 
.
[16]Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake. 

Roho za Ukoo huzuia usizae au kubarikiwa majina pia ya kurithi husababisha uteseke.

Kwanini zig,ag,anie wakati umeokoka na Yesu unaye

SOMA ukoo wa Yesu. Mathayo:1:1
Yesu alitoka katika ukoo wa watu waliokuwa walishavunja hizi roho wanamjua Mungu hata wewe kama Babu yako alikuwa mtu wa Mungu mchungaji Mzee wa Kanisa Mwijiristi Anakuwa tayari alishazivunja wewe hazitakufata.

Lakini Kama umetoka kwenye familia za kiganga , Kichawi, au watu wenye kuamini waganga na kutabika utalazimika ujikomboe usipojikomboa zitaendelea kukutesa.


NAMNA YA KUOMBA KUSHUGHULIKA NA ROHO  HIZI.

Anza na kuabudu kwanza au kusifu washa radio yako au imba tenzi.


Kisha ingia kwa machozi kutubu kwa ajili ya ukoo wako na familia 

Omba hivi unapotubu.

Eeeh Bwana Yesu nakuja mbele zako mimi mwanao Richard Baba natubu natubu kwa niaba ya mama yangu baba yangu wajomba zangu dada zangu Baba wakubwa na wote wanaukoo najua katika ukoo wangu Bwana Tumekukosea Tumetenda dhambi Tulitumikia Miungu Sana Tumetabika Sana Kwa Waganga nimeenda Sana kwa kupelekwa na wazazi wangu Eeh Yesu nimekukosea Sana tena Sana niheremu mimi mwanao nirudie tena ukaniondoe kwenye mateso haya kwa Jina la Yesu Nimeamini Bwana umetenda.Amen

Rudia ×8 Kuomba Fata kama nilivyoandika unapotubu.



TUTASHUGHULIKA NA MAHUSIANO YA UKOO.
Ipo roho hutuendesha tuwe watu wakutii hata kama wanaukoo wanatuamuru kufanya jambo lisompendeza Mungu .


OMBA HIVI.

Navunja Kila Mahusiano yaliyopo kupitia Jina langu na madhabahu ya ukoo Uhusiano wangu kati ya kazi zangu na madhabahu za ukoo uhusiano wangu kati yangu na uzao wangu Afya yangu naharibu nabomoa nasabaratisha nasabaratisha roho za magonjwa roho za mateso Kwa Jina la Yesu Amen

Rudia×5


TUTASHUGHULIKA NA SADAKA ZOTE ZILIZOWAHI KUTOLEWA.

Damu ya Yesu Iliyomwagika msalabani Ikalipe Sadaka zote za madhabahu ya ukoo wangu naharibu nguvu ya Sadaka Zote na Mamlaka Ya Hizo Sadaka Zilizowahi Kutolewa zikauganishwa Jina langu nazivunja zikatike katike Kwa Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3

Endelea Kuomba Kadiri Roho mtakatifu anavyokuelekeza Tamka maneno unayoona  yanakuja kinywani mwako.


🌳Hakikisha unatembea tembea   Omba huku unafanya ishara ya mapambano .



SADAKA YAKO IOMBEE UKIMALIZA

Utaiombea Siku moja siku ya pili unaituma.

Ombea Hivi

Naileta Hii Sadaka mbele zako ikavunje nakushusha moto iteketeze Sadaka zote za madhabahu ya ukoo wangu najikomboa mimi Richard Julius Kushoka  Ninajitenga na madhabahu za kushoka na madhabahu zote zilizoshikilia Baraka Zangu Katika Jina la Yesu  ipokee Bwana Naomba ipokee ipe kibali machoni pako ipate kuleta matokeo naitoa kupitia Madhabahu ya Moto wa Yesu.Amen 

Rudia × 3


KISHA TOA KWA

M-PESA 0759861768

TIGO PESA 0710889892

HALO PESA 0628355985

CRDB BANK 0152361572400

Jina Richard Julius Kushoka. 

Hakiki Jina kabla hujadhibitisha

Kisha Unipigie nikuombee usitume Sadaka ukaacha kupiga hizi roho zinaweza kukufatilia maana unakuwa umezisaliti yaitaji uombewe.


Share maombi haya kwenye group zako

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.