SOMO: MAOMBI YA KUVUNJA PATANO (AGANO) LA WACHUMBA WA ZAMANI

SOMO; MAOMBI YA KUVUNJA PATANO (AGANO) LA WACHUMBA(MARAFIKI) WAZAMANI.
🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴🌴
Kuna watu walijiugamanisha Katika maagano ya Wanadamu nayo yamedhibitika Kwao Sasa hivi wanateseka Na hao wapenzi wao wa Zamani Hawaolewi au Kuowa Wengine Wameshindwa Kuwasahau Kabisa Akilini mwao wengine misimamo ya kuwaacha hata kama wao wamewaacha wao mioyo haikubaliani kabisa sababu ni lile Patano Ambao waliliweka Wakati nipo ofisini Kwangu nasikia Sauti wafungue watu wangu kutoka kwenye maagano yao ya kibinadamu kwa wachumba wao maana yanawazuia nisitende kwao.
πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰
Ipo hivi Agano huwa ni Patano yaani makubaliano linodhibitishwa na Mungu kuwa hai.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
TUREJEE MAANDIKO
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
2 Wakorintho 3:14 ,17
[14]ila fikira zao zilitiwa uzito. Kwa maana hata leo hivi, wakati lisomwapo Agano la Kale, utaji uo huo wakaa; yaani, haikufunuliwa kwamba huondolewa katika Kristo; 


[17]Basi “Bwana” ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru. 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
MAANDIKO MENGINE 
Wagalatia 3:15
[15]Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwanadamu, hata hivyo likiisha kuthibitika, hakuna mtu alibatilishaye, wala kuliongeza neno. 


Tunaona maagano yanayowekwa na Mwanadamu Kwa Jinsi Ya Kibinadamu hutimia kabisa nakuanza kumtesa Yule mtu aliyeweka Agano Siyo yule aliyepokea Agano.

Mfano. Recho alimwambia mpenzi wake mpenzi mimi sitakuacha naikitokea umeniacha Sitaolewa na mtu mwingine.

Akaja akamwambia tena Ukiniacha wewe bora tu nisiolewe nakupenda mpenzi wangu.

Ahadi hizo Recho alizoziweka Endapo aliyepokea hakubatilisha akanyamaza akapokea maneno hayo Recho atakuwa Amejiigiza kwenye Agano la Wachumba.

Mfano: Lucas alimwambia mpenzi wake nitakuowa mpenzi Sitakuacha.
Akaja akamuacha Hakumuowa Hilo ni Agano litakalozuia vitu kwake.

Mfano.Dora na Lucas Ni Wapenzi lakini wamewekeana makubaliano hawatazini mpaka ndoa lakini wakaja wakazini Tayari lile agano linaanza kuwatesa wote wawili.

Tafsiri Rahisi Mkipatana Jambo au kukubaliana Anayekuja kuvunja Angano au mapatano huyo ndiye atakayeteseka nakuhagaika.

Karibu Naitwa Pastor Richard nipo Morogoro Wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri mkoa wa Morogoro Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 

MAMBO MATATU HUTOKEA MNAPOVUNJA AGANO LA UCHUMBA BILA KUOMBA. 

1.Utaanza kuhagaika ukiteswa na Hilo Agano linakufatilia nakukudai utimize ulichokisemaga kwa huyo mtu.

2.Hufa mnyororo wa wachumba uliowawekea Angano na ulimwengu wa roho linazuia usiolewe au kuowa.

3.Utakuwa Na Agano la ndoa unakuwa unaonekana upo singo kumbe ulishaolewa kupitia Agano hilo.


MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA 

1.Ukumbuke Agano na kwa mtu uliyewahi kuweka Roho Mtakatifu akukumbushe.

2.Kumbuka Maneno uliyowahi kupatana naye 

3.Utaomba Siku 3 Bila Kufunga Muda wako wowote uliotulia utaomba kwa siku tatu mfululizo. 

4.Utakuwa na Sadaka Kiasi ulichona kwa ajili ya maombi haya.

5.Ukishaituma Sadaka yako ya Agano ya uchumba utanipigia Simu nikuombee usirudi kujitesa tena na maagano.

HATUA ZA KUOMBA UTAVYOOMBA.

Anza kushughulika na Maagano mapatano yote uliyowahi kupatana na wachumba wako wa zamani na ujifunze usiweke patano bila kujihakikishia.


OMBA HIVI.

Ninavunja Kila Agano Kila Patano Ambalo nilishawahi Kupatana na Wachumba wa zamani na marafiki zangu kwenye mahusiano ninaamuru yavunjike katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia×5

Ninavunja Kila Agano la Kuaona na Lucy Nilolweka mimi Joseph Livunjike maana mimi na yeye saivi tumeachana sitaki tena vifungo vyote ambavyo nilijifunga kwake katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia×5

Ninakataa kuishi na mchumba ambaye tulishaacha naye iwe niliuganishwa niwe namfikiria nafuta akilini mwangu aondoke kabisa katika jina la Yesu.Amen

Rudia ×5


Ninatangaza nipo huru mimi sina ndoa hewa mimi sina mahusiano hewa mimi nafungulia mume na mke waje sasa waliosahihi Sitaki watakonipotezea muda mimi nataka sasa waje waniowe niwaowe Walipo waje kisha nichangulie aliyesahihi Bwana Yeye ndiye akaoneshe usiriazi wa kufata taratibu zote katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×5


Ninakaa kila Kifungo cha Angano mchumba wangu Rehema alininenea akasema mimi sitaolewa na sitakuja kupata mtu sahihi nasema kwamba hivi mwezi huu nitapata mchumba ambaye atanipenda nakunithamini hatakuwa kama Yeye alivyoutesa moyo wangu huyu atakuwa faraja ya moyo wangu mpenzi wa roho yangu ninaenda kumpokea na kukutanishwa na Bwana Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×5


Kila ulizi ambao aliuweka kupitia waganga wake mapepo yake au chochote mchumba wangu alichokuwa Anajihusisha nacho bila mimi kujua chochote cha kuharibu nyota yangu chochote cha kuharibu kazi yangu chochote cha kuharibu afya yangu leo navunja madawa yake na ulizi wake ninajifungua nakujiweka Kuwa huru Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×5

NongeaπŸ‘‡πŸ‘‡
Wapo watu humu walichukuliwa nyota zao na wachumba wao wengine walipozini nao mambo yao waliona yanaanza kuharibika kwasababu waliibiwa nyota pasipo kujua.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Endelea Kuomba Kwa kufata muongozo huu niliyokupa vunja maagano yanakuzuia usiolewe au usiowe

SHUKURU.

Omba hivi

Bwana Yesu mwingi wa Upendo mimi ninakushukuru kupitia mtumishi wako Pastor Richard kumtumia kuja kunifungua Leo Kupitia maombi haya Ansate Ansate Ansate Ansate Ansate Naamini umeshatenda Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×2


KISHA SHIKA SADAKA YAKO UIOMBEE KABLA HUJATOA.

Bwana Yesu nakuletea hiki kindogo kikapate kibali machoni Pako unijibu maombi yangu nashukuru kupitia Sadaka hii Nimeitoa kutoka moyoni mwangu kupitia Madhabahu hii ya Moto Wa Yesu ipate kujidhihirisha katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia×1

KISHA ITOE KWA 

M-PESA 0759861768

TIGO PESA 0710889892

HALO PESA 0628355985

Jina:RICHARD JULIUS KUSHOKA 


Ukishatuma nipingie unieleze umemaliza maombi ya agano la uchumba na Sadaka umetuma hakikisha nakuombea ukishamaliza maana maagano yapo tofauti tofauti wachumba wanayoyaweka na baadae yanazuia wasiolewe au kuowa.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.