SOMO; MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE ANGA NA NGUVU ZA NGIZA
SOMO: MAOMBI YA KUJIKOMBOA NA UFALME WA ANGA NA NGUVU ZA GIZA
(HAYA MAOMBI YA HATARI NA YANAITAJI WAOMBE WATU WENYE IMANI)
Nasikia Sauti Ya Mungu Ikiniambia Wafundishe Wanangu Maombi Ya Kujikomboa na Anga lilowashika na Falme mbalimbali Tulia uweponi nikufundishe nawewe uwasilishe kwa wanangu hii ni sauti.
Watoto wengi wa Mungu hupambana Vita Pasipokujua ufalme wanaopambana nao huchukulia maombi kama mchezo na wengine hununa wakiambiwa kuomba Wapo wengi Hawapendi Kuomba halafu wanamipango mikubwa na malengo unajikuta mipango inakufa malengo hayatimii kumbe Kutokujua Ufalme Anaopigana nao.
Karibu Naitwa Pastor Richard.
KABLA YA KUOMBA LAZIMA TUUJUE UFALME TUNAOPIGANA NAO
🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝
JUA ANGA KWANZA KIROHO
( Mwanzo:1:6-20)
ANGA NI NINI..?
Anga ni mpaka unaotenganisha kitu kigine na kitu kigne. Chochote kinachokufanya usipokee au kukutenga na kitu hiyo nguvu huitwa Anga.
Anga linauwezo wa kuzuia na kufungua na Kuruhusu chochote kikupate.
Kwa Mtu aliye Duniani Chochote atakachokiomba au akiitaji kukipata lazima kipite kwenye Anga.
Soma👇👇👇
Mwanzo 1:7
[7]Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
UFALME WA ANGA UJUE.
Ufalme wa Anga ni nini..?
Ni utawala unaoishi kwenye Anga Ukizuia maombi ya watoto wa Mungu nakupambana na Kila hatua yao ya ukuaji wa Kiroho hawa ndiyo husababisha watu waanguke kiroho au kurundi nyuma wakaacha wokovu.
NGIZA KIROHO.
Ngiza Kiroho ni nini..?
Ni ukosefu wa ufahamu .
Hali yoyote inayokufunga ufahamu usijue kitu cha kiroho ni giza.
NURU KIROHO;-
Nuru Kiroho ni nini..? Ni ufahamu .
.Kati ya Mwenye Ufahamu na Asiye na Ufahamu Mungu Aliwatenga.
Akamwita Mwenye ufahamu Anayo Akili.
Akamwita Mwenye giza hana Akili.
Mchana ni Palipo Na Akili
Usiku ni Palipo kosa Akili.
Kiroho lakini Kimwili inakuwa hivyo hivyo usiku ni usiku mchana ni mchana.
Soma
Mwanzo 1:4-5
[4]Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
[5]Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
UFALME WA GIZA UJUE
Ufalme Wa giza ni nini..?
Ni utawala unaosimamia uharibifu na Kutesa watu wengi huu ufalme hudirii na kuharibu maisha ya watu ikiwa kama Ahadi yao kuhakikisha Wanawakamata Wazembe Wazembe Wa Kuomba Na Kuwafanya Wawe mawakala wa kuwafikia wanaomba na walio vizuri kiroho.
Ndiyo maana Vita vye hupambana na falme za giza na majeshi ya mapepo ambayo yapo ndani ya ufame wa giza.
WAKUU WA ANGA WALIVYOGAWANYIKA.
::::::::::::::::::::""""""""""""":::::::::::::::'"""""""""""""',,,,,,,,,,,,,
A.MKUU WA ANGA DUNIANI
Huu ni utawala Wa Anga la Dunia nzima kuufanya utembee katika mfumoo mmoja nakuuweka uwe chini ya ufalme wa giza.
Inasemekana huitwa
KAZI ZAKE
1=Huyu husimamia mapepo wachawi na majini yote hukaa kwenye Anga.
2=Yeye huwaingia watu nakuwapa uwezo wa kutengeneza magonjwa Na Kuwafanya watu wauane.
3.Huzuia Maombi ya Watu Wa Mungu.
4.Huwafanya watu wawe watumwa wa Dhambi
5.Yeye husimamia watu wafanye maovu wafanye Vita nk
B.WAKUU WA ANGA KILA BARA WAPO 7
Wao hutenda kazi kwa kutii Angizo kutoka kwa mkuu wa Anga Dunia.
C.MKUU WA ANGA AFRICA.
Huitwa Akibaru yeye hushughulika kutoa Amri kwenye nchi zote za Africa nakutoa mikakati yao ya kila mwaka kila mwezi katika pale wanapokaa vikao vyao.
Kazi yake nyigine kusimamia falme zote za giza na kuwapa nguvu pale wanapondiwa nguvu za kupambana
D.MKUU WA ANGA LA TANZANIA
Huitwa Twalingu Yeye husababisha Ajari watu kuuwana kufanya maovu mbalimbali.
Hutoa Amri kwa wakuu wa Anga za mikoa Yote Ya Tanzania
Nao wale wa mkoa hutoa amri kwa wakuu wa wilaya za eneo lao.
Na wawilaya hutoa amri kwa wakuu wakata na vijiji
HUU NDIYO MFUMO TUTAKAOSHUGHULIKA NA ANGA.
Tunasimamia mstari huu👇👇👇
(Danieli;10;12-14)
1.Tutashughulika na Anga la Dunia nzima.
Tutaomba kadiri roho Atavyotutumia
2.Tunashughulika na Anga la Mabara 7.
Unataja Bara la 1 Bara 2 Bara 3 Bara 4 Bara 5 Bara la 6 Bara 7 napiga navunja kila nguvu zilizosimamia kazi yangu maamuzi yangu Katika Jina la Yesu.Amen
Tumia Siraha mbalimbali Roho Mtakatifu atakazokupa wakati unaomba
2.WAKUU WA GIZA NA WAFALME WA GIZA
Mistari Tunayosimamia kwenye Eneo hili.
( Waefeso;6;10-15, 1 wakoritho.10;3-5)
Wakuu wa Giza wao ni majeshi yote ya shetani Ambayo huwa yapo manne
1.Jeshi au ufalme wa Wachawi na Waganga.
Hawa hushambulia mtoto wa Mungu kupitia Mazingira ya Kazini Kwakwe au Nyumbani.
Dalili za Mtu anayeteswa na Nguvu za giza.(Wachawi)
1.Kuhisi vitu vinatembea tembea mwilini.
2.Kuumwa magonjwa yasiyoeleweka
3.Kutokupata blidini au kutokwa damu maboge maboge.
4.Kuachishwa kazi gafla au kuchukiwa na Bosi
Nk
2.JESHI LA MAPEPO WABAYA.
Humshambulia mtu kwenye Nafsi na humpa tabia afanye asiyopenda
Dalili zake.
.1.Hofu
2.Hasira
3.Woga
4.Ky
Maoni
Chapisha Maoni