MAOMBI YA UKOMBOZI KUTOKA KWENYE ROHO YA KUKATALIWA
MAOMBI YA UKOMBOZI KUTOKA KWENYE ROHO YA KUKATALIWA.
Kukataliwa ni kukosa kibali kwa wanadamu kila unalofanya Wanakudharau na kukucheka saa nyigine Kukudhihaki. Ukiwa una roho hii utapata wachumba wanakukataa ukienda kuomba kazi napo wakupokelea documents lakini nafasi za kazi hakuna kama ni kijana mwanamke anakuwa hakupendi kila unayemtongoza hakukubali hii roho kwa ufupi ni mbaya.sana.
Nayekuletea maombi haya Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Twende Tukaombe Wote
MSTARI TUTAKAOSIMAMA NAO.
👇👇👇👇👇👇
1 Timotheo 4:4-5
[4]Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani;
[5]kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.
HATUA ZA KUFATA MUONGOZO WA KUOMBA
1.ANZA NA TOBA
Omba toba kila eneo ulilokosana na Mungu
2.MSHUKURU MUNGU
Mwelezee uzuri wake mwambie umeniumba vizuri nafurahia uzuri ulionipa Bwana.
MTIRIRIKO WA UOMBAJI
A:OMBEA HALI YA KUKATALIWA KWENYE FAMILIA
Hatua ya kwanza Tutaombea hali ya kutengwa na kukataliwa kwenye familia zetu.
TUTAOMBA HIVI;
1:Nikakuinjia wewe Yesu mimi ni mtu niliyekataliwa nimekataliwa na ndugu zangu rafiki zangu Wapendwa Wezangu Familia Yangu hainitaki tena kila ninayemuomba msaada hawezi tena kunisaindia.Bwana Nimesoma 1Petro 2:4 Umesema sisi tuliokataliwa tuje kwako nawewe utaondoa hii roho ya kudharauliwa na Kukataliwa utatuheshimisha mimi Richard Nimekuja kwako Bwana Ondoa roho ya kukataliwa roho ya kudhaulika naitaji unipandishe Juu Bwana Uniketishe na Wakuu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×6
Unaomba ukiwa unatembeatembea
2:Mimi ni Mtu niliyepitia mateso mengi na bado nayapitia yote kwa ajili ya kukataliwa na watu niliowapenda nikawapa moyo wangu nikauweka kwao kuamini hawatakuja kunikataa au kuniumiza Baba nimeamini ulivyosema ( Luka.9:22) Mtu unapokataliwa unajikuta unateseka na kuhagaika Sasa Mimi mwanao Richard hii hali nimeichoka naishitaki kwako Bwana ifanyie kazi Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
Omba ukiwa umepiga magoti mikono Umenyosha juu.
B.OMBEA Roho Ya KUKATALIWA KAZINI KWAKO.
wapo watu wanafanya kazi lakini ofisi nzima hakuna anayempenda wanachukiwa hadi na wakuu wao hii ni roho.
Kazi yoyote unayofanya lakini eneo lako la kazi watu unaofanya nao kazi hawakutaki.
HATUA ZA KUFATA WENYE KUKATALIWA KAZINI.
1:Omba kumiliki ofisi na eneo lote
.👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Tamka hivi; Namiliki eneo la ofisini na eneo ninalofanyia kazi katika Jina la Yesu.Amen
Unapomiliki shika eneo la kazini kwako tamka kulimiliki.
Baada ya kurudi nyumbani endelea kuishughulikia roho ya kukataliwa.
OMBA HIVI.
1;Nakataa kuishi kwa kudharaulika mimi mtoto wa Mungu kazini kwangu ofsini kwangu kwa Bosi Wangu Kwa Wafanyakazi wezangu mimi ni mheshimiwa mtoto wa kifalme mwenye Neema iliyobemba Baraka popote ninapokanyaga Watu wote wakaone ukuu wa Bwana ninaitawala ofsi nzima kuanzia uongozi wa chini mpaka juu Jina langu likapate kibali kwenye chochote kitachohusu masilahi ya kiofisi au posho mkuu alione Jina langu nitakapokaa kwenye eneo la kazi watu wote wakavutiwe namimi na kila nikifanyacho wakakipende Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×5
Omba ukiwa unatembeatembea
2;Baba Katika Jina la Yesu najiondoa kutoka kwenye roho za kukataliwa na kuchukiwa chukiwa na watu najisajili katika kupendwa na kuheshimika na watu kila faili Adui ambalo aliandika wakanisainisha Katika ulimwengu wa roho kwa njia ndoto au mawazo bila mimi kujua Kwa Jina la Yesu najifuta nafuta kila alama ndani ya mwili wangu iwe sura zao nazivua katika Jina Yesu iwe ni mikono yao naivua Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×5
Omba tembea tembea ukiwa unaomba.
3.Kila mikono inayokataa Kushika Pesa Kushika mafanikio Kushika ndoa kushika huduma Naimuru wewe Mkono nakutamkia Chochote ukikishika kilete mafanikio siyo kilete matatizo nakutoa kwenye mapandikizi ya kiroho wewe mikono yangu nakusafisha Kwa Damu ya Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
Omba kwa mamlaka huku unaitamkia mikono ishike pesa siyo pesa zipitilize zikatae kukaa mikononi mwako.
C.OMBA KAMA UNAKATALIWA KWENYE MAHUSIANO
Hii unaanza moja kwa moja kuomba
OMBA HIVI.
1:Bwana Neno lako nimelisoma kitabu cha 1Timotheo.4:4B inasema hakuna cha mtu kukataliwa hapa wala kuachwa hapa naisemesha ile roho ambayo imekuwa ikimwingia rafiki yangu mpenzi wangu halafu anatishia kuniacha na saa nyigine anazima simu leo hii naiamuru imtoke kwa jina la Yesu toka kwenye mahusiano yangu wewe roho wa kuvunja mahusiano wewe roho wa kuachika wewe pepo nakukemea kwa jina la Yesu Achia mahusiano Yangu Achia mume wangu achia mke wangu Natamka hakuna wa kuachwa hapa au kukataliwa katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×7
Ukiwa unaombe fanya mikono kama unabumba ngumi ukitembea kwa mamlaka sauti iwe kwa hasira na ikaze.
2.Uliyemuiba mume wangu au kumuondoa kwenye maisha yangu mke wangu nasema huko ulikomshikilia muachie namtaka aje kwenye maisha yangu nguvu za kichawi falme za ngiza zipingwe zipingwe zipingwe kwa Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
Omba unatembea tembea
3.roho iliyonivaa mimi nisiwe na ndumu kwenye uchumba naisemesha hiyo roho ondoka ndani yangu ondoka ndani yangu Achia mahusiano yangu Achia Achia Kwa Jina la Yesu.Amen
Rudia ×5
4.Natembea Kifua mbele ninaye Mungu ninayebaba Aliyemakini Nami nasema na Baba yangu muda kuowa/Kuolewa umefika namuomba umlete ulimuumba kwa ajili yangu najua yupo wala siyo wa kutafuta mlete kwangu mimi Richard Ninamwitaji sasahivi Baba Yangu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×5
Omba ukitembea tembea
BAADA YA KUMALIZA
Shukuru nyosha mikono Juu upige makofi omba Sema nashukuru Mungu umetenda umenijibu.
KISHA CHUKUA SADAKA YAKO
Iombee hivi.
Wewe Sadaka Nakutoa ukazungumze mbele za Bwana Juu ya roho ya kukataliwa kwamba Sitaki mimi niishi maisha ya kudharauliwa au kukataliwa ukafute kabisa katika ulimwengu wa roho uandike upendo na heshima Naitoa Kwenye madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×7
KISHA ITUME
M-PESA +255759861768
TIGO PESA +255710889892
HALO PESA+255628355985
JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA
Hakikisha Jina kisha ruhusu ukituma unipigie nikuombee kudhibitisha wewe umefunguliwa.
Share kwenye magroup yako
Maoni
Chapisha Maoni