MAOMBI YA KUONDOA HOFU MBALIMBALI

MAOMBI YA KUONDOA HOFU MBALIMBALI NDANI YAKO ZINAZOJITOKEZA KUKUTESA

Mstari wa kutuongoza ni huu.👇👇👇
Ayubu 18:11
[11]Matisho yatamtia hofu pande zote, 
Na kumfukuza karibu na visigino vyake. 
.

Matisho au Wasiwasi Husababisha mtu awe na hofu na Anapotengenenza hofu tayari hutengeneza Ugonjwa Ambao huathiri mifumo ya ufahamu kwake nakupelekea Awe na hofu uliobatana na Woga.
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania 
WhatsApp +255759861768

KABLA HUJAOMBA TAMBUA HAYA.

1.Hofu imekujaje kwako kuna habari umesoma imekutisha au taarifa umepokea.

2.Anza Kwa Kufuta hiyo Taarifa au Video uliyotazama ikakutisha Sababu ndani yake adui ametumia hilo neno akuingie.

3.Omba kwa kufata maelekezo ya kwenye ombi kila uombalo.

4.Ukimaliza andaa Sadaka yako uliyonayo
Mwishoni mwa maombi kuna maelekezo ya uombeaji Sadaka yako ukiituma unanipigia unaniambia ulikuwa maombi fulani

5.Maombi haya utaomba siku tatu kwa muda wako utakaojipangia mwenyewe siku ya mwisho unatuma Sadaka yako na unapiga. 

Zingatia Hofu ni lango la kipepo hushambulia imani yako ujasiri wako na nguvu ya kuomba.


OMBA HIVI NAKUANZISHIA.

1.Neno linasema Ayubu.11:19 Nitalala Salama na Sitaongopa wala hofu kila ngiza liloingia kwenye mawazo yangu likanipelekea mimi usiku nisiwe nalala niwe naongopa chumba changu naamuru kwa jina la Yesu  Nikalale Pepo la Hofu ndani yangu nakuondoa kwa jina la Yesu. AMEN
RUDIA ×4
KISHA SOMA HUO MSTARI.


2.Ayubu.7:14 Bwana Usiruhusu niote ndoto za kunitisha au za kunifanya usiku nisilale kila nikizifikiria niondolee ndoto zote za kunitisha sababu zinanifanya mwanao Richard niwe naongopa kweli Baba sizitaki kabisa ndoto za kunifanya niwe na hofu katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ,×3

3.Zaburi:4:4 Niwe na hofu ya kutenda dhambi au kukosana nawewe Mungu nifanye niiongope dhambi na unitie hofu niongope katika Jina la Yesu.Amen 

RUDIA×5
KISHA SOMA HICHO KITABU.

4.Bwana Ni Nuru Yangu Apamulike kila Palipo na ngiza aniondolee ngiza mbele yangu aniangazie nuru yake nione vyema Katika Jina la Yesu Nadhibitisha kitabu na maneno yake kwangu nimeyaamini kama Zaburi 27:1 ilivyosema katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×1
SHIKA KIFUANI KWA OMBI HILI UNAPOOMBA 


5.Hofu inayoabatana na Mauti au Mawazo mabaya ndani yangu naifuta naifuta naifuta ifutike ifutike kwenye akili zangu moyo wangu fikira Zangu Neno linasema Zaburi.55:5 Hofu ya kuwaza mabaya imekuwa kubwa mpaka inapelekea mimi niteseke Leo hii natamka nakataa katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×4

MAOMBI HAYA KAZA SAUTI Unapoomba

6.Mithali;3:25 Hofu inayokuja kwa ghafla ninaanza kuongopa hiyo roho iliyokuwa ikinitumikisha naiondoa naweka ujasiri ndani yangu kwa Jina la Yesu Kwa Jina la Yesu Kwa Jina la Yesu Naachilia ushindi ndani yangu sitaongopa katika Jina la Yesu niwe Jasiri Jasiri kweli kweli katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×6


7;Neno linasema nakutangazia wewe Hofu uliyevamia moyo wangu Isaya 35:4
[4]Waambieni walio na moyo wa hofu, Jipeni moyo, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi nami sikuongopi na uachie moyo wangu  KATIKA JINA LA YESU.AMEN 

Rudia ×3

8; Bwana wewe usiwe sababu ya hofu kwangu Ninaomba uwe sababu ya kuniweka mbali kabisa na Hofu sababu wewe nimekukimbilia kama Yeremia anavyosema katika Yeremia;17:17 Namimi ndiyo maombi yangu hayo katika Jina la Yesu.Amen. 

Rudia ×6.
Soma hicho kitabu mara 2 rudia rudia huo mstari


9;Nifanye nitende mambo makubwa nikudhibitishe Mungu wangu kwa kila ambaye haamini ishara na matendo yako Kama mitume ulivyowatumia ili mataifa na wenye dhambi wakuongope wakurudie wewe kupitia utakayotenda kwangu Kama Neno kitabu cha Mitume.2:43 Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×3


10:Navunja Kila madhabahu za hofu ndani yangu madhabahu za hofu za kipepo hofu za kishetani hofu za kuongopa nazivua nazikataa kuwa nashituka shituka usiku nakuanza kuweweseka au kuongopa leo hii nakataa kila Vitisho vya adui katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×2


BAADA YA KUMALIZA SHUKURU 

Omba hivi Maombi ya shukurani 

Nyosha mikono juu kisha tembea tembea huku ukipiga makofi ukisema Ansate Mungu Kwa Kutenda Kwangu kuniondolea hofu ansate Bwana Ansate Bwana rudia mara nyigi nyigi. Katika jina la Yesu. Amen

Omba mara 1 unapokuwa umemaliza kuomba haya maombi.


SHIKA SADAKA YAKO IOMBEE HIVI.

Bwana Yesu Nashukuru kunifunulia siri hii ya kujikomboa kutoka kwenye utumwa wa roho za hofu nashukuru kwa kutenda naambatanisha hii Sadaka yangu nakutolea Bwana iondoe hofu kabisa ndani yangu ipandishe Juu imani Yangu Ikazidi nakuharibu kila ngiza la hofu kwangu Sadaka hii ikawe ukumbusho wa maombi yangu haya naitoa katika madhabahu ya Moto Wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×7

KISHA ITUME KWA

M-PESA +255759861768

TIGO PESA +255710889892

HALO PESA +255628355985

Jina Richard Julius Kushoka 

Ukituma nipigie Uniambie umeomba maombi fulani


SHARE KWENYE GROUP USAIDIE WEGINE

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.