MAOMBI YA KUJENGA UCHUMBA

MAOMBI YAKUJENGA MADHABAHU YA UCHUMBA NA NDOA

Naitwa Pastor Richard 
Nipo Morogoro Veta Dakawa 
Nakukaribisha uombe nasi.
Katika ulimwengu wa roho kuna kitu kinaitwa madhabahu inayobemba ubavu wako nakukuletea wewe hii madhabahu adui anapoivunja au Kuibomoa Yeye Ajengaye mahusiano au uchumba unakuwa unajenga palipobomoka hakuna nguvu inayowauganisha mkae mume na mke unakuta tayari shetani au falme zake zimejenga madhabahu ya kutoolewa yaani wachungaji wataomba sana bila matokeo.
Pia zipo ndoa nyigi shetani Amejenga madhabahu zake na Amezifanya zisiwe na Amani au furaha zingine zimevunjika.

USIPOJENGA MADHABAHU YA BWANA NDANI YA NDOA YAKO AU UCHUMBA WAKO TENGEMEA SHETANI ATAITESA.

ISAYA anasema utapajenga palipoharibiwa Na Kubomolewa Adui Ameharibu mahusiano yako umri unaenda huowi au huolewi shinda hakuna nguvu ndani yako yenye kuongea nakukutanisha na wako sahihi. Tusome mstari huu👇👇👇
Isaya 58:12
[12]Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua misingi ya vizazi vingi; nawe utaitwa, Mwenye kutengeneza mahali palipobomoka; na, Mwenye kurejeza njia za kukalia. 
 
    SASA LAZIMA UTENGENEZE UCHUMBA WAKO  NA UFIKIE NDOA
     _____________________________

Zaburi 89:4
[4]Wazao wako nitawafanya imara milele, 
Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele. 


Uzao maana Yake Watoto wako kumbe mzazi ni wakati wa Kusimama kuomba kwa Ajili ya mwanao.

KUJENGA maana yake Kuna vitu katika ulimwengu wa roho vimeharibika lazima uende kwa njia ya Kuomba kufanya vitengenezeke lazima uombe uharibu vinavyozuia usiolewe au kuowa.


HATUA YA KWANZA KUOMBEA WATU AMBAO HAWANA MCHUMBA KABISA.
Omba hivi navyokuongoza kuomba.

1: Baba Najua unamjua mtu uliyemwandaa kwa ajili ya maisha yangu aje kwangu awe mke/mme Popote alipo namfungulia aje nikutane naye na taratibu zote zikakamilike katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia×2

2.Navunja nakubomoa madhabahu za mahusiano zilizojengwa mimi nisiolewe/Nisiowe najenga madhabahu ya ndoa usingo siitaki katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×4

3:Kila nyuzi na Kamba za Familia au ukoo zinazofatilia uhusiano wangu kati ya Neema na Richard Naziharibu Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×3

4.Nabariki Urafiki wangu ukawe uchumba na kisha ndoa kila vizuizi naviharibu katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×3

5.Omba hapa kwa imani fanya kitendo cha kumshika ubavu wako hata kama humuoni Sema naingia madhabahuni na ubavu wangu Ansate Mungu umenipa mume mzuri mke mwema mwenye kukupenda Baba nashukuru Sana Ansate Ansate Ansate Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia×6

Kisha shukuru Mungu nyanyua juu mikono piga makofi useme Mungu Ametenda.



2.HATUA YA 2 WALIOPO KWENYE UCHUMBA SUNGU
Wapo watu mahusiano yao hayana mwelekeo miaka inaenda wapo kwenye urafiki na kuzini bila dira yoyote hii nayo ni roho inakuwa inakutumikisha mtu upo naye miaka miwili nakuendelea kila siku unamchumba unajipanga sasa ulianzishaje mahusiano wakati unajua hujajipanga kuowa.

Nyinyi mtaomba hivi.


1.Bwana Yesu Umekuwa mwaminifu kwangu umenikutanisha na mtu sahihi kwangu isipokuwa anamambo mengi haoni uzito swala la ndoa naomba uingilie kati kuanzia sasa ratiba zake zote nazisitopisha namnyanyua kwa maombi haya akatoe mahari akakubali nimtolee mahari katika Jina la Yesu mwezi huu usiishe afanye hili akatoe mahari nyumbani katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×7


2.Mungu utabaki kuwa mkuu nakukabidhi haya mahusiano yangu uyape nuru na mwelekeo sitaki maisha ya kuzini katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×2


3.Ninabomoa ninapanje kila eneo liloharibu mahusiano yangu najenga uchumba wangu naanza kuuongoza sasa uchumba uelekee posa ukitoka posa uelekee mahari ukitoka mahari uelekee Ndoa Nakuamuru sasa sitaki ubaki kwenye Usingo Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×5


4. Kila madhabahu za familia zinazotufunga tusiolewe au Tusiowe Naziamuru ziachie Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×4

5.Weka Nadhiri Na uombe Iwe mwisho kuendelea na mahusiano sungu.


HATUA YA 3 WAPO WATU WANDOGO ZAO WAMEOLEWA /KUOWA HALAFU WAO WAPO NYUMBANI MPAKA SASA.

Hii huwa ni mbaya Sana thamani yako inakuwa imeibiwa na wapo wengi huchekelea na kufurahia kumbe unajilock itakusumbua mpaka Ujue uingie katika ulimwengu wa roho uombe na upague pague vitu bila ya hivyo utasumbuka kuolewa au kuowa.


OMBA HIVI FATA NAVYOKUELEKEZA.

1.Baba nakomboa thamani yangu ndoa yangu mume wangu nataka nifunge ndoa  mwaka huu sitaki tena nikae nyumbani bila ndoa nakuahidi Mungu sitaacha kukutolea Spika kanisani au viti nitendee Bwana nidhibitishe uaminifu huu kwako katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia× 3

Mungu akitenda fanya jambo hilo ulilosema.

2.Napindua kila Kalamu na Vikao na Anjega zilizofunga kwangu mimi nisiowe / Nisiolewe nafyatua kila mitengo nabomoa boma kila madhabahu za kutokuolewa katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×2

3.Nainjega ndoa yangu thamani yangu kama mke wa mtu kila tabia au sifa zilizoandoa thamani Yangu ya Kuolewa narejesha kwa jina la Yesu narejesha katika Jina la Yesu.Amen ×4


4.Natembea nikiwa ndani ya umiliki wa ndoa natembea nikiwa ndani ya Ushindi wa kuvuka hatua hii Kwa Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×5

5.Ombi la tano omba roho atakavyokufunulia Omba huku unatembeatembea.


HATUA YA 4: NDOA ZISIZO NA AMANI.

Omba hivi Kujenga 

1. Nafungulia Amani ndani ya ndoa Yangu Upendo ukatawale navunja madhabahu ya kugombana kila siku au Kutoelewana ndani ya nyumba naijenga Amani na furaha Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia×3


Omba endelea maombi mengine kuombea ndoa yako Jenga madhabahu ya ndoa.

HATUA YA 5; NDOA ZILIZOVUNJIKA.

Madhabahu ya shetani ikijengwa ndani ya ndoa yako tengemea ndoa itavunjika unatakiwa bomoa hiyo madhabahu 
Omba hivi.


1. Kila Madhabahu  iliyosababisha ndoa yangu ivunjike au maneno yaliyotamkwa kwenye ndoa nairundisha namrundisha  mume wangu mke wangu katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×6



BAADA YA MAOMBI HAYA CHUKUA SADAKA YAKO NZURI SIYO MPAKA PESA UNAWEZA UKATOA SIMU UNAWEZA UKATOA NGUO AU KITAMBAA AU KITENGE UNAWEZA UKATOA HELA 30% Ya ULICHOKIPATA UKATOA SIPIKA CHOCHOTE KILE KITAJENGA MADHABAHU YA NDOA AU UCHUMBA. 

Chochote roho atakachokungusa basi unaweza kituma kwa magari kikapokelewa hapa Morogoro. 

OMBEA HIYO SADAKA HIVI NA IPE THAMANI SIYO MCHENZO KUBOMOA MADHABAHU ZILIZOKUZUIA USIOLEWE AU KUOWA HII NI VITA INAKUTAKA UOMBE. 

Ombea hivi Sadaka. 

Baba hii Sadaka naitoa kwako naomba ipate kibali machoni Pako Ikaongee mbele ya kiti chako na ilete majibu na matokeo Kama nilivyokuomba naomba pokea kwenye madhabahu yako ya mbiguni naitoa katika madhabahu hii ya Moto Wa Yesu Katika Jina la Yesu.Amen. 
Rudia ×5

Nakazia unapoamua kujenga madhabahu ni jambo kubwa unalifanya
👇👇👇👇👇👇🎸🎸🎸
KAMA NIPESA ITUME KWA M-PESA 0759861768 TIGO PESA 0710889892 
CRDB BANK WEKA 0152361572400
Western Union Moneygram na Worldremit 
Jina RICHARD JULIUS KUSHOKA 
Nchi TANZANIA 



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.