MAOMBI YA KUG,OA ROHO ZA KULA MKAA PEMBA nk

MAOMBI YA KUG,OA ROHO ZA KULA MKAA PEMBA UDONGO UNGA NK.

Kuna watu humu wanatabia ya kula mkaa Unga udongo nk hii huwa ni Pepo la nyoka linajifanya kukupa hisia za kutamani ule udongo tu au mkaa au Pemba nk.

Unatakiwa uombe nami Sasa uvunje hiyo roho kama huipendi lakini kama mwenyewe unaipenda unataka uendelee basi  hata ukiomba haitasaindia chukia hiyo hali kisha tuombe wote.
Neno linasema hivi Pepo la nyoka huwa linajifanya Lierevu humshawishi mwanamke kula vitu vilivyokatazwa na Mungu.
Mwanzo 3:1
[1]Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya BWANA Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani? 


OMBA HIVI  MARA TATU KWA SIKU 2 Tu


1.Nakata kiu ya kula udongo ndani yangu katika Jina la Yesu kila Pepo  aliyekuwa Ananiamuru kula udongo, mkaa ,pemba,Unga ninakataa kuanzia sasa sitatumikishwa katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×4


2.Hela yangu au miguu yangu au mikono yangu haitafata pepo au kulitii pepo la kula udongo au kula mkaa au kula Unga katika Jina la Yesu.Amen 
×4

3. Natakasa kinywa changu tumbo langu kwa damu Ya Yesu Nakaa kuanzia muda huu kula udongo mkaa na Unga Katika Jina la Yesu.Amen 
×2

Endelea kukataa kuishi ndani ya utumwa wa kula mkaa na udongo au Pemba omba hiyo hali iondoke.



BAADA YA KUOMBA JIAPIZE NAFSI YAKO HAUTAKULA UDONGO TENA.


Baada ya hapo ombea Sadaka yako mwambie Mungu Sitaki kutumikia mkaa na udongo   

Tuma Sadaka yako kwa M-PESA +255759861768

TIGO PESA 0710889892

JINA. RICHARD JULIUS KUSHOKA 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.