TANGAZO LA HUDUMA YA WACHUNGAJI

KANISA LA HOLY SPIRIT CHURCH TANZANIA 2024 🇹🇿 (H.S .C.T) NA. SA.21139

Chini ya Muasisi na mwanzilishi wa Makanisa haya 
Richard Julius Kushoka(Pastor Richard/Bishop Richard)

Tunakufikia wewe Mtumishi mwenye wito wa kutumika Katika huduma zifatazo.
A.Mwalimu
B.Mchungaji
C.Nabii
D.Mtume
E.Mwijiristi

KWA UFUPI KUHUSU KANISA LETU

Kanisa hili limeanzishwa na mtanzania halina mfadhili wala ushirika na shirika lolote la nje .
Lipo Morogoro Wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni likiwa limetimiza Usajiri wake CPCT na WIZARANI NA;  21139
Linatenda Kazi zake za kuhubiri injiri kisheria na kwa uwazi kupitia njia za mtandaoni ,kawaida,radioni Nk

OFISI KUU ZIPO:
Zipo Mkoa wa Morogoro Wilaya Ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni

MISINGI YA KANISA LETU NI YA KIPETECOSTE  AMBAYO IMEHAKIKIWA NA CPCT  TAIFA IKAPITISHWA KISHERIA.

VIGENZO VYA WATUMISHI TUNAOLEGA KUWAFIKIA KUTUMIKA PAMOJA NAO

Sifa zao

-Umri kuanzi miaka 20 mpaka 45

-Wawe wana wito na nia ya kutumika na Awe ameokoka Wasiwe wenye kupenda mapato ya udhalimu

-Wawe na Uwezo wa Kukusanya watu wa 5 wakuanza nao tunapofikia kwa ajili ya Darasa la kutumika

-Watamhudumia Askofu wa kanisa hili akiwa hapo akiwafundisha kwenda kufungua makanisa kula na Pakulala itakuwa juu yao.

-Darasa litadumu kwa wiki mbili tu Na baada ya hapo mtatumwa kwenda kutumika na  nakufugua makanisa popote mlipoitwa na Mungu.

-Eneo ni popote iwe nyumbani kwa mtu au kwenye mti Eneo ni lolote lile la kufanyia Darasa kufundisha nakukuandaa kutumika


-Hakuna gharama za malipo zaidi ya kumlisha na kumwadalia pakulala Askofu 


KAMA UPO TAYARI MWAKANI ZOEZI HILI NDIYO TUNAANZA KILA MKOA KUFIKA WALIOTAYARI HATA MWAKA HUU TUNAWAFIKIA
Wasiliana na Askofu Richard Julius Kushoka.
WhatsApp +255759861768

Changua Leo Utakayemtumikia Na itika ukafanye kazi Ya Mungu.

MATHAYO;28:19
Basi enedeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu.

KARIBUNI ANZA KUBOOK MAPEMA ILI UKAMTUMIKIE MUNGU NAMI NITAKUFIKIA HAPO 

MTUMIKIE MUNGU SASA MAJIRA NI SASA.

KWA WALIO TAYARI KUTOA VIWANJA AU ENEO LA KUANZIA KANISA POPOTE ULIPO TUTAFIKA NAKUANZISHA KANISA WEWE NIKUNIFATA INBOX WHATSAPP  niambie ninataka nijitoe eneo kwa ajili ya Huduma hii iwafikie watu wa eneo langu nilipo Nitakufikia. Tumechangua Kumtumikia Bwana.

KWA WACHUNGAJI WANAOTAKA KUJIUNGA NA KANISA LETU.

Wanatakiwa Wafike Ofisi Kuu za Makao Makuu Ya Holy Spirit church Tanzania 

Watapewa Taratibu na Mashart Wakiwa Tayari Ndiyo Kanisa litawapa Kibali cha Kuwapokea Kama Wanachama Rasmi wa Holy Spirit church Tanzania. 


2024 Ni Mwaka Wa Kusitawi 
Mwanzo.26;13

Hatutembei Kinyoge 2024 Tunatembea Kifalme 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.