SOMO; MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI, MWILI NA ROHO.

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI , MWILI, NA ROHO

Naitwa Pastor Richard 
Nipo Morogoro Veta Dakawa 
Nifate WhatsApp +25759861768 nikuuge kwa group la maombi na mafundisho kama bado

A:MAOMBI YA UKOMBOZI WA NAFSI

Katika maisha Nafsi ni kiugo mhimu sana Kwenye maisha ya kiumbe chochote Kilicho na Damu. Biblia inasema nafsi ni uhai.

Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. 


Tafsiri yake nini ukiona mtu mambo yanakuwa vizuri  Kila Kitu akiamua kukifanya kinifanyika kwa Sababu Nafsi yake ipo hai haijaharibiwa 

Dalili za haraka zinazojitokeza Nafsi Adui anapoiharibu.

1:Unakuwa mtu wa hasira hasira kila mara 

2:Unakuwa mtu wa kuahirisha ahirisha.

3;Ufahamu wako kujiongoza na kujisimamia huwezi mpaka ukubushwe yaani masaurifu.

4.Unaanza Kufanya mambo yanayoonekana kwa jamii na kwa watu ya ajabu mfano. Uchawi. Uzinzi, ulevi nk

5.Unakuwa na hofu sana na woga mashaka mashaka.

6;Unaanza Kukata tamaa kunug,unika naa saa nyigine kumtukana Mungu.

7.Unaanza Kufanya Dhambi mbalimbali unatubu unazirudia tena.

8:Mambo yako kila unalofanya mambo yanakufa kufa Sababu huna uhai kwako .

9:Saa nyigine unaanza kuwaza kufa na kuwaza kuuwa mtu hali hii huwatesa sana watu waliofungwa Nafsi.

10;Nafsi ukifungwa eneo hili ni mbaya mno.


MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOOMBA AU KUMUOMBEA MTU.

1:Utaomba siku 8 Bila Kufuga 

2;Tenga muda wa usiku muda uliotulia 

3:Usipishanishe Muda Kama ni  Saa 6 usiku amka muda huo kwa siku 8

4:Tembea Tembea mikono ifanye ishara ni maombi ya Vita 

5:Unapoomba Utatamka Utaita Jina lako Njoo Richard Njoo toka walipo kushikilia .

6:Utakuwa na Sadaka yako itakayouganishwa na maombi yako kuyafanya yapate nguvu utaiombea unaituma kwa M-PESA 0759861768 Tigo Pesa 0710889892
Kisha unipigie unieleze ulikuwa maombi ya ukombozi wa Nafsi.

7;Kuchukia Kutoa Sadaka Kuchukia Kuomba mwenyewe mpaka uombewe na wegine uvivu wa mambo ya kiroho.

NAKUANZISHIA NAMNA YA  KUOMBA UTAOMBA  HIVI.

1:Baba Katika Jina la Yesu Mfalme wa Amani Bwana wa Majeshi Nipo hapa mbele zako Leo hii Naikomboa Nafsi Yangu Nakomboa Maisha Yangu Kila nguvu za Kichawi zilizochukua Nafsi  Yangu Zilizochukua Afya Yangu Zilizochukuwa mtaji wangu zilizochukuwa viugo vyangu zilizochukua uchumi wangu nk( taja hivyo)Natamka Viachie mimi ni mtu niliye hai hata vitu vyangu vipo hai Katika Jina la Yesu Achiaa Katika Jina la Yesu Achiaa Kila Kilichouganishwa kwenye nafsi yangu niwe nikikianzisha kinakufa Nasema kwamba vitu vyagu havitakufa tena iwe Viugo vyangu Biashara Zangu ......endeeleeeeaaa kusema maneno yanayokuja kwa kinywa chako kadiri Roho anavyokupa. 


2" Richard Ni Nafsi iliyopuliziwa Pumzi hai Yeye na mali zake na Kazi zake Sasa nazisemesha falme na nguvu za kipepo Zinazojipenya kuuwa shughuli zangu  zangu Natamka Kwamba Chochote nilichopewa na Bwana ni Mali ya Bwana ndiyo maana natoaga fugu la kumi Sadaka nk kupitia kazi hii kwa hiyo ipo inalindwa na Mungu  Katika Jina la Yesu.Amen 

Omba hapa kwa hisia halafu hakikisha unatoaga Sadaka unapoomba ombi hili

3;Richard Njoo Utoke kwenye magonjwq kwenye mikosi kwenye kila ulipofungwa uje na Afya yako Uje na Biashara yako uje na Huduma Yako Uje na....taja vitua ambavyo adui amekuibia endelea kuomba 


4:Nafsi Yangu Uwe Moto Akili yangu Iwe Moto kila atakayenigusa akutane na moto yeyote atakayekuja kwa lengo mbaya Auguwe Moto Moto Wa Yesu I'm home nakumteketeza Katika Jina la Yesu.Amen 

Endeeleeeeaaa kuomba usikatishe kama bado unasikia nguvu ya kuomba


B.MAOMBI YA UKOMBOZI WA MWILI. 

Mwili ni mfuniko wa mifupa yako twaweza Sema.
Mwili ni kiugo pekee unaotaka Kwenda kimwili mwili Usipoufundisha mwili wako kuzuia Dhambi Kufanya Au Kuzuia Tamaa za Kimwili zisikuendeshe utatawaliwa na
Magonjwa laana mikosi nk

Mwanzo 6:13
[13]Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila mwenye mwili umekuja mbele zangu; kwa sababu wameijaza dunia dhuluma, basi nitawaharibu pamoja na dunia. 

Mwili ndiyo unaokutenga na Utukufu wa Mungu Sababu hukupeleka kwenye dhambi mzima mzima na unahakikisha umekamatwa huku na Dhambi na unakuacha Unateseka na unatafuta msaada wa kujinasua huko.

UTASOMA: Warumi:8 Yote


Mtu ukiwa unaongozwa na mwili wako na utatembea kwa kuwaza ya mwili hutakaa ufikirie kuna maisha tena baada ya kufa wewe utawaza Dunia na Wewe na wewe na Dunia Kaa Tafakari Ndugu Acha Dhambi umrudie Mungu ili akusaindie na Umpendezeshe Mungu ukiacha Dhambi. 
Neno linasema hivi👇👇👇👇
           Warumi 8:8
[8]Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu. 


ZINGATIA HAYA UNAPOOMBA MAOMBI  HAYA.

1;Okoka Maana yake badilika matendo yako anza kutenda mema.

2:Zikimbie Tamaa usizifate Anza Kujifunza kuachana na Tabia zilizokutenga na Mungu

3:Utaomba muda mmoja na Nafsi uliojipangia

4:Utaanda Sadaka kama Kwenye nafsi
Hapa utaombea Sadaka Mungu nakuletea nafsi yangu na  mwili wangu ufundishe ukujue Mungu Baba naabatanisha Sadaka hii ipokee katika madhabahu yako naomba nikiamini katika jina la Yesu 
Tuma hiyo Sadaka  Kwa M-PESA 0759861768 TIGO PESA 0710889892
Jina Richard Julius Kushoka 

5:Ni maombi ya Vita omba kikamanda kamanda tembea tembea.


OMBA HIVI NAKUANZISHIA.

1:Naukomboa mwili wangu kwenye kila mapooza kila laana kila mikosi Kila vazi la kichawi walionivisha watumikishe mwili wangu kila Aina ya mashambulizi wanayoelekeza Sindano za kichawi miguu kuwaka moto Macho kutokuona masikio kutosikia achia usikivu wangu wewe Pepo wewe Jina Achia masikio yangu Kwa Jina la Yesu Kila ulemevu adui uliouweka kwenye mwili wangu Neno linasema
Warumi 12:5
[5]Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, mimi ni miongoni mwa watoto wa Mungu mwili wa kristo huu mwili ulishakombolewa ulishatakaswa kwa Damu ya Yesu Kwa Damu Ya Yesu Kwa Damu Ya Yesu Naosha mwili wangu kwa Damu Ya Yesu Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×7 omba ukiwa umechukia kwa mamlaka amru adui akuachie uamini inafanyika hivyo.



2:Mwili wangu mjue Bwana hii dunia na marafiki wanaokuambia ukanywe pombe ukazini au uichukie Ndoa Yako au Mawazo yanakuijia urudi nyuma uache wokovu au uache kazi sababu hulipwi mishahara mizuri mimi mwili nakuamuru mjue Mungu na Umtumikie Mungu agalia Sasa hata muda wa kuomba huna hata utafakari Neno la Mungu huna wewe mwili wangu tenga muda binafsi wa ibada na Mungu aliyekuumba ukafunikiwa kwangu ufiche aibu yangu mifupa yangu Ninaamini mwili utatii kwa Jina La Yesu .Amen

Rudia×5 Kuomba

Semesha mwili wako kwa imani Sema nao mwili hakuletwa akutenge Na Mungu


3:Mwili Wangu WA Mtukuza Mungu maana viugo vyagu Na Akili yangu moyo wangu na vyote ndani Ya mwili wangu vya furahia wokovu wa Bwana Hata Sasa mwili wangu umejitengea muda wa kusema Baba Yangu Ansate Jehova Bwana wa Majeshi Mungu mwenye nguvu utukuzwe Bwana Wastahili viungo vyagu vikuinue wewe Bwana milele Katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia ×6

Endelea kuomba kama unaona kinywa kimefunguka kuomba 



C. MAOMBI YA UKOMBOZI WA ROHO. 
👇👇👇👇👇
Roho ni Pumzi hiki ni kiungo mhimu sana kiombee Ombe ukubali uongozwe na Roho sio mwili wako ukikubali Roho wa Mungu atulie na wewe ukaachana na Tabia za uovu ukabadilika utaona Nguvu ya ushindi kwa mtu aliye rohoni.

Mtu ambaye anatawaliwa na mwili hawezi kuujua ufalme wa roho au kuushinda tu.

DALILI ZINAZOKUJULISHA ROHI YAKO HAIPO SALAMA. 

Kumbukumbu la Torati 11:18
[18]Kwa hiyo yawekeni maneno yangu mioyoni mwenu na rohoni mwenu; yafungeni yawe dalili juu ya mikono yenu, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yenu. 


1;Maneno yanakaa moyoni na rohoni hivi ndivyo viugo vinavyosababisha utamke kwenye kinywa chako kumbe kama roho yako au moyo umejaa ya mwili utaongea yenye utukufu wa shetani.

Mfano. Kutukana Lugha chafu maneno machafu yatatoka kwa kinywa chako hiyo ni Dalili umepingwa rohoni

2:Ukiwa mtu wa Rohoni utayatambua ya Rohoni na utajiongoza vyema kiroho.
1 Wakorintho 2:15
[15]Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. 


OMBA HIVI.

1:Mimi ni wa rohoni siyo wa mwilini ninayonguvu ya kuumiliki ulimwengu wa roho katika Jina la Yesu.Amen 

2;Navunja kila Agano ambalo Limesimamia kwenye Damu Yangu Kwenye mifupa yangu kwenye moyo wangu lilowekwa katika ulimwengu wa roho katika Jina la Yesu.Amen 

3:Mungu Baba umba roho yangu upya finyaga upya ili ikujue wewe na itulie na wewe katika Jina la Yesu.Amen 


MALIZA KWA KUSHUKURU 

Nyosha mikono Juu ukipiga makofi na Kusema nashukuru Mungu Ansate kwa kuwa umetenda kwangu Katika Jina la Yesu.Amen 

Zigatio la Kushika
Ni muda wa kuomba usipishane.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.