SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA FIKIRA
MAOMBI YA UKOMBOZI WA FIKIRA ZAKO.
UTANGULIZI;
Fikira ndiyo msingi wa maamuzi yote unayoyafanya katika maisha Tunaweza kusema hivyo ulivyo ni kipimo cha uhai wa fikira zako ndiyo zimefika mwisho.
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa
WhatsApp niinbox +255759861768
Kabla hatujaanza kukomboa Fikira lazima Tujue Fikira ni nini..?
FIKIRA 👉👈ni mkusanyiko wa mawazo yako unayoyawaza huunda neno fikira na kupitia fikira ndipo palipo na utendaji yaani maamuzi.
Mawazo: hayawezi amua jambo kama Fikira hajasaini kupitisha ulichowaza.
Wapo watu humu wala hawateswi na wachawi au majini au nguvu ya ngiza Yeyote isipokuwa ugumu wa maisha na mfululizo wa matukio kwao yamewafanya wateseke kwa kurundika mawazo mengi ambayo yametengeneza fikira Potofu kila kitu Yaani kila jambo anafikiria vibaya tu.
Kama Umepata neema kusoma hili somo linakuhusu.
Wapo watu Wengine Adui au Kinachowazuia Wasifunguliwe Ni Fikira zao zinatumikishwa na watu mfano.
1.Unampenda mtu kiasi kwamba hata ukikaa unamfikiria yeye chochote akikuamuru huwezi piga jua ipo roho inakutumikisha hapo
2:Unafikiria kila mwezi usitoe fungu la kumi au sadaka au usiende kanisani ujue ipo roho inakutumikisha kwenye fikira
3.Unafikiria wachungaji kila mmoja unayemuona siyo mchungaji wako unawaza ni mchungaji feki au Kuwatukana moyoni wachungaji ujue hiyo roho.
4.Unafikiria mabaya tu unawaza mabaya.
Ujue hiyo ni roho imekamata fikira
2WAKORITHO 10;5 Mstari wa kusimama nao
MAENEO TUNAYOENDA KUYAKOMBOA.
A:UKOMBOZI WA FIKIRA ZA IBADA
Hapa tunapaswa tuzikomboe fikira zetu zijue kutii Mungu siku za ibada ziache kufikiria kazi au ubize.
OMBA HIVI
1:Nakomboa Fikira zangu zikawa na ibada navunja fikira za kuwaza kazi au kufanya kazi siku za ibada katika jina la Yesu. AMEN
2.Endelea kuomba kukomboa fikira zako kwenye maswala za ibada.
B:UKOMBOZI WA FIKIRA KATIKA TABIA ZAKO
Wapo watu tabia zao zimeshikwa na fikira zao akili hazina nafasi kabisa hata ufahamu hana nafasi.
1:Fikira zilizoshika Tabia zangu najikomboa katika Jina la Yesu.Amen
2.Natengeneza ndani ya fikira zangu tabia zenye hofu ya Mungu katika Jina la Yesu.Amen
C.KOMBOA FIKIRA ZAKO KWENYE SADAKA NA UTOAJi
Wapo watu majibu yao yamezuiliwa na Fikira zao hasa kwenye Utoaji au Sadaka yaani kila linapofikia Swala la Mtumishi Aseme wakati wa kutoa Fikira zake Potofu huanza kumshambulia na kumfanya asitoe miaka yote unaweza kumkuta yeye yupo hivyo hivyo habarikiwi na anaona kawaida kwakuwa alishakamatwa.
OMBA HIVI.
1:Nakomboa Fikira zangu zikamtolee Bwana Tena kila fikira za kuzuia kutoa nazifuta Katika Jina la Yesu.Amen
2:Fikira zangu zikawe na Elimu ya utoaji kuliko kupokea katika jina la Yesu.Amen
3.Endelea kuombea fikira zako
MADHARA YA WEWE KUTOKOMBOA FIKIRA ZAKO
1:Utatumikishwa na maisha yasiyo yako Mungu aliyokupagia
2.Mambo mengi utayaona yanafululiza kukupata kuomba unaomba lakini huvuki kumbe fikira zimekushikilia.
3.Utaanza kusema umelongwa na utawaona wachungaji hawana nguvu ya Mungu.
4.Hutaenda Viwango kwa Kuwa unafikiria chini siyo juu.
MUDA WA KUOMBA HAYA MAOMBI
1;Muda wako wowote tulivu omba komboa
2:Hutafunga Wala Siyo mpaka nyumbani unaweza ombea popote palipo tulia
3:Zingatia muda Usiupishanishe.
4.Haya ni maombi ya Vita
KWA MSAANDA KIDOGO namna ya uombaji
Tamka maneno yasikike na ueleweke
Utaomba siku 5
Siku ya Tano utaiombea Sadaka yako kwa kutaja unachotaka utendewe kisha
Utaituma katika madhabahu ya Moto Wa Yesu
M-PESA 0759861768
Tigo Pesa 0710889892
CRDB BANK WEKA 🏦 Akaunt no.
0152361572400
Jina; Richard Julius Kushoka
Kisha nijulishe umetuma
Maoni
Chapisha Maoni