SOMO; MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE ROHO YA KUCHELEWESHWA.
Yoeli : 2 : 25 -
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.
👇👇👇👇👇👇👇
Hesabu : 23 : 23 -
Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!
👇👇👇👇👇👇👇
Yeremia 29:14
[14]Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka.
👇👇👇👇👇👇👇👇
Zekaria 1:3
[3]Basi, uwaambie, BWANA wa majeshi asema hivi, Nirudieni mimi, asema BWANA wa majeshi, nami nitawarudia ninyi, asema BWANA wa majeshi.
MAMBO YA KUFANYIA KAZI KATIKA MAOMBI HAYA.
1:Zingatia maelekezo ya kila ombi unapoomba.
2:Hakikisha Umefugua Kwa Kuomba Toba kwanza nakutangaza moyoni mwako ushindi
3:Utaomba siku Tano 5 Muda Ambao umetulia
Panga muda ambao hutapishanisha.
4;Utakuwa na Sadaka yako Ambayo siku ya utaituma nakunipigia unieleze ulikuwa kwa maombi haya naomba kudhibitisha ulicho Omba.
MAOMBI YA TOBA.
👇👇👇👇👇👇
Eeh Bwana nipo chini ya Miguu yako nimekosa katika mawazo yangu kinywa changu na maneno yangu nimeongea maneno yaliyokuuzi na kuchochea nitende dhambi ninaomba unifute kwenye kitabu cha hukumu uniandike kwenye kitabu cha Uzima Karibu Yesu ndani ya moyo wangu katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×
HATUA TATU ZA KUKOMBOA FATA MTIRIRIKO HUU
A.Wakati komboa B.Waliondaliwa kwa ajili ya mafanikio yako waje C. Omba Kurudiwa na Mungu na kupatana nae.
1:TUTAKOMBOA WAKATI KUTOKA KWENYE roho ya Kucheleweshwa.
Nidhahiri kila jambo linaitaji liende na Muda unapoona Muda unazidi kwenda halafu bado upo pale pale inakutaka uingie kuvunja roho ya kucheleweshwa
TUNASOMA VITABU
👇👇👇👇👇👇👇👇
Zaburi 37:19
[19]Hawataaibika wakati wa ubaya, Na siku za njaa watashiba.
👇👇👇👇👇👇
Zekaria 10:1
[1]Mwombeni BWANA mvua wakati wa masika, naam, BWANA afanyaye umeme, naye atawapa manyunyu ya mvua, kila mtu atapewa nyasi kondeni.
👇👇👇👇👇👇👇👇
Kutoka 13:10
[10]Kwa hiyo utaitunza amri hii Kwa Wakati..
TUOMBE SASA HIVzi.
1;Narudisha muda wangu ulioibiwa katika ulimwengu wa roho miaka yangu iliyopotea bila kushika Baraka zangu nairudisha katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×3
2.Ninakataa Kubaki na Poteza muda na Jambo moja mwaka huu naamuru nikaanze hatua sasa kila roho ya muda iliyoiba ndani yangu ninaifuta ninaiondoa kabisa ndani yangu katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
3.Eeh Bwana Ninaomba Utenge Muda kwa ajili ya kushughulika na mahitaji yangu mimi ni mwanao niliyekuwa nimefungwa nisimjue Bwana wangu ninashukuru umenikomboa na Sasa nipo ndani Yako Unaendelea Kunifundisha kuutawala wakati naomba Katika Jina la Yesu. Amen
Rudia×5
4.Ninaumiliki Muda Wangu uliobemba Baraka na mafanikio Yangu ya Kiroho na Kimwili Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
5:Naukomboa ujana wangu nakomboa ubint wangu naukomboa moyo wangu Fahamu zangu ziende na muda na majira ziwe juu na kuinuliwa katika ufanisi wa utekelezaji wa taarifa kupoke na kutoa kwa muda sahihi sitaki kuchelewa kila Pepo na roho za kichawi ninazikataa Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×6
6:Ombea kila roho anavyokusukuma kwa ajiili ya muda wako nini unaona kinachelewa.
2:TUTAWAOMBEA WALIOANDALIWA KWA AJILI YETU.
Kuna mambo yanachelewa Sababu walioandaliwa kwa ajili yetu wamechelewa kufika wamezuiliwa na hata wao hawajui mpaka sisi tutakapolijua hili tuombe ndiyo tutavuka
Katika mafanikio yetu yanaitaji watu sahihi
Katika huduma zetu wanaitajika watu sahihi
Katika Familia zetu Kazini kwetu tunaitaji watu sahihi
MISITARI YA KUSOMA.
👇👇👇👇👇👇👇👇
Kutoka 23:20-22
[20]Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea.
[21]Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; wala msimtie kasirani; maana, hatawasamehe makosa yenu; kwa kuwa jina langu limo ndani yake.
[22]Lakini ukiisikiza sauti yake kweli, na kuyatenda yote ninenayo mimi; ndipo mimi nitakuwa ni adui wa adui zako, na mtesi wa hao wakutesao.
TUOMBE SASA HIVI.
1.Baba Katika Jina la Yesu Ninawaleta mbele zako wote uliowaanda kwa ajili yangu kwa ajili ya maisha yangu kwa ajili ya kazi yangu kwa ajili ya kunilea kiroho kwa ajili ya kunipa mtaji kwa ajili ya kuniowa/kuowa popote walipo muda umefika uwatume mbele yangu waje Sasa nataka wakafanye Sehemu yao ulipowaanda katika maisha yangu naamini Yupo Musa wangu uliyemwadaa alipo ninaamuru njoo sasa katika Jina La Yesu.Amen
Rudia ×5
2;Eeh Bwana Naomba Uachilie Upinde wako uwachome na kuwaondoa wanao zuia nisikutane na uliowaandaa kwa ajili ya
Maisha Yangu Ninavunja ninaharibu ninabomoa roho inayowazuia katika ulimwengu wa roho natembeza fimbo fimbo fimbo naachilia nguvu yenye upako wa kuwaleta sasa walioandaliwa kwangu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×7
3;Mimi Richardi muda wangu umefika wa kuvuka hapa lakini kizuizi changu Naitaji mke uliyemwadaa mimi ni mume wake Popote alipo nasema hawezi nichelewesha iwe roho iliyomfunga ndani yake nasema imuachie katika Jina la Yesu Mimi siyo wa kukaa singo au kujipa moyo wezangu wanaowa Mimi nimebaki napambana na mahali Sitaki sasa mwaka huu unipite kabisa nataka nikamilishe wokovu wangu nawewe nipe ubavu wangu katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×6
4:Bwana Mungu wa Majeshi Simba wa Yuda njoo kamanda wa vita nakuita ipo nguvu inayochelewesha ndoa yangu Afya yangu Kazi Yangu Mshahara wangu Mshahara wangu (Taja vilivyochelewa) Katika Jina la Yesu Vizingiti na Vizuizi vyote katika ulimwengu wa roho iachie katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
5:Nataganza Katika ulimwengu wa roho sitachelewa tens enyi mapepo wachawi wakuu wa anga wakuu wa falme na mamlaka zote zilizotilia mkazo kushikilia mke wangu /mume wangu asije kila akiongea kuja mnampa uvivu asifate taratibu au kuja kutoa mahari mumeshika uchumi wake sasa mimi nasimama kumshika mkono wake nampeleka akakamilishe taratibu kazi zake zikasitawi katika jina la Yesu.Amen
6:Omba charaza Fimbo kinachochelewa it's kwa jina mfano.
Naisemesha kazi iliposhikwa Ije fimbo fimbo fimbo Katika Jina la Yesu nacharaza fimbo katika ulimwengu wa roho.......endeleza maneno yanayokuja kinywani mwako.
3:MAOMBI YA KUPATANA NA MUNGU KUACHA NJIA MBAYA NA KURUDI KWAKE.
Tunamuitaji Mungu Sana Kumrudia Mungu nakuamua kushuka chini nakunyenyekea mikononi mwake kuna vitu vinachelewa kwetu kwa Sababu Tumeamua kuzitengemea akili zetu hatutaki kutubu dhambi zetu hebu tumgeukie Mungu Sasa
Mistari hii tusome
👇👇👇👇👇👇
2 Mambo ya Nyakati 7:14-15
[14]ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
[15]Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa.
TUOMBE SASA HIVI;
1:Nashuka Chini ya miguu yako Bwana nakiri nimekukosea kweli nimekuuzi Bwana ndiyo maana umeruhusu haya yanipate ili nitambue kosa langu nilipokukosea wewe na kisha nikurundie wewe Mungu wangu mwanao Richard naanguka kifundi fundi miguuni kwako Baba Naomba Nisamehe Baba Nisamehe kuanzia Sasa nitatulia miguuni pako niondolee kila tabu kila adha zinazoendelea kunifatilia Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×5
2:Niseme nini Bwana maana hata sasa hapa nilipo ni huruma zako tu na Upendo wako tu Kwangu lakini huu moyo wangu umekosana nawewe nimekuwa mtu wa kujikatia tamaa nimekuwa mtu wa kunug,unika nakulia mcha na Usiku imefikia kipindi moyo wangu umesema sasa siombi na wala sitoi zaka na kanisan Siendi Yote haya kwa kuwa naona kama Mungu umeniacha kumbe nimetenda dhambi mbele zako kupitia mawazo kunug,unika kukata tamaa Eeeh Bwana Ninaomba Nisamehe Samehe Moyo wangu Samehe fikira zangu Nasema kuanzia Sasa nitakuwa mwaminifu wa fungu la kumi Eeh Mungu nisaindie nikupende nisikuache kipindi cha mapito katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×8
3:Sasa Naami Umeshuka Hapa Kurundisha Baraka Zangu walizoniimbia miaka iliyoliwa kila walichokichukua kutoka kwa nguvu za ngiza ninarundisha katika jina la Yesu Ninarudisha miaka yangu uchumba wangu mume wangu mke wangu kazi yanvu natembea katika ulimwengu wa roho narudisha madaraja yangu ya kapande Juuu Sasa Katika Jina La Yesu.Amen
Rudia×7
4:Ansate Baba Nashukuru Maana Mpaka Sasa Naamini Umetenda Achilia muujiza wako ukaanze kufanya mfululizo mpaka hao wasioamini nguvu zako waamini na wakakurundia Shughulika Bwana nikuone Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
5: Omba endelea kuomba kadiri Roho wa Mungu anavyofunua mambo ambayo unapaswa uombee.
MAOMBI YA KUOMBEA SADAKA YAKO
Shika kwa mkono wa kulia kama ipo kwa simu iache humo humo.
Kupitia hii Sadaka naugamanisha maombi yangu na Sadaka hii nakuletea Bwana naomba ukadhibitishe Maombi yangu niliyokuomba natoa katika madhabahu yako ya Moto Wa Yesu Naomba ipokee Bwana Katika Jina la Yesu.Amen
Kisha Itume kwa Namba hizi.
M-PESA 0759861768
TIGO PESA 0710889892
Weka Crdb akaunt Namba. 0152361572400
JINA RICHARD JULIUS KUSHOKA
Maoni
Chapisha Maoni