SOMO MAOMBI YA UKOMBOZI WA TUMBO LA UZAZI

SOMO:MAOMBI YA MWANAMKE ANAYETAKA KUZAA WATOTO AMBAYE ANAMATATIZO YA KUTOSHIKA UJAUZITO (Hakuna Tasa Kwa Mungu(

πŸ‘†πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸŒ΄
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro wilaya ya Kilosa Kata Ya Mbigiri Kijiji cha Mateteni Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Moto wa Yesu 
Karibu maombi haya yasome kwa umakini na kwa utulivu kisha omba ukiwa na imani na Mungu Kama Huna Imani Au Unajiona Hutaweza Basi Usiombe maana Maombi haya yanawataka watu wenye Imani wenye kujua uwezo wa Mungu wao wanayemuomba.
Soma:Warumi;10;17

Hakuna Neno linalokuambia hutazaa utakuwa tasa ukiona huzai ujue ipo dhambi au Mungu anataka Ajitukuze kupitia msimamo wako utakavyoendelea Kusimama
Soma; 2WAKORITHO.3-6

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA 

1.Utaomba Maombi Haya Siku 7 Bila Kufunga.

2.Utakuwa na Sadaka Kuanzia 50000 nakuendelea

3.Utaomba Kwa Kufata Muongozo uliopewa

4.Utaitoa Sadaka Siku ya 7 Unanipigia nadhibitisha nakukuombea.



MATATIZO  YANAYOTOKANA NA DHAMBI KUTOKUZAA NI HAYA;

1;Dhambi ya Kutoa Mimba au Kushauri.

2:Dhambi ya Kuweka Uzazi wa mpango wa Kupandikiza vijiti.

3:Dhambi ya Kuzini upo ndani ya ndoa ukawa unatoka nje ya ndoa.

Pia Wapo waliofungwa na nguvu za ngiza wao haihusu dhambi

WATU WANAOTESEKA KUTOKUZAA WAMEFUNGWA;
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1:Watu Wenye uvimbe mirinja kuzimba 

2:Watu wanaorukaruka miezi bleed au hawaoni bleed au Tumbo kuwauma.

3:Watu wanaoharibu mimba au wasiozaa kabisa.

4:Wanaota ndoto za watoto wachanga au wajawazito wakati hawana mimba.


MSTARI WA KUSIMAMIA 

Mwanzo 1:22
[22]Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke.


MWANAMKE NI JUKUMU LAKO KUZAA SIYO KUTOA MIMBA.

MWANAUME NI JUKUMU LAKO KUZALISHA MWANAMKE

Kila mmoja wenu ni vyema asimame nafasi yake unaweza mwanamke ukawa unazaa mwanaume akawa hazalishi Unaweza mwanaume ukawa unazalisha mwanamke akawa hazai.

TUTAINGIA KUOMBA UWE MWANAUME AU MWANAMKE LAKINI SIFA UWE NA UITAJI WA MTOTO UPAKO HUU UNAENDA KUKUFUNGUA.


MAOMBI TUNAVYOTAKIWA KUOMBA 
πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‘†πŸ‘†
1:ANZA TOBA ULIWAHI KUTOA MIMBA TUBU
.
Mathayo 3:8
[8]Basi zaeni matunda yapasayo toba; 


"Baba Yangu Wa Mbiguni mimi nu mtoto wako Richard nimekosa mimi nimekosa Sana katika matendo yangu njia zangu nimetoa mimba nimeshiriki kushauriana kuharibu mimba nimetumia uzazi wa mpango nimefunga kizazi changu nimekuwa nikienda kwa waganga kutafuta mtoto nisamehe nisamehe mimi mtoto nisitefaa nisiyetii sauti yako Nilisoma neno na mahubiri niliyasikia kutoa mimba dhambi nilipuuza nisamehe katika Jina la Yesu.Amen 

Kama hukuwahi kutoa mimba usitamke neno hilo uombapo .


A:ANZA KUOMBEA MIFUMO YA UZAZI YAKO 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‘†
..nakuanzishia kukupa muongozo.

"Baba katika Jina la Yesu ninafumuafumua nakuzimbuazimbua kila mifumo ya uzazi iliyofunga ndani yangu napitisha operation kwa jina la Yesu Fuguka wewe Mifumo ya uzazi mitinja nk Natangaza hautafuga tena katika Jina la Yesu.Amen. 

Rudia Omba mara ×8

Maelekezo yake
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Shika tumbo kwa mwanamke shika viuono kwa mwanaume 


Endelea kuomba mpaka maneno yaishe.


B:UTAOMBEA MBEGU ZA KIKE NA ZA KIUME ZiWE Na NGUVU YA KUZALISHA WATOTO
πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡
   Omba hivi Shughulika na adui anayeshambulia mbegu zenu mke na mume.

"Adui aliyeshika mbegu zangu mbengu zetu nakuzuia zisiweze Kutungisha ujauzito kila tunapofikia muda wa kutafuta mtoto nasema ataachia kwa jina la Yesu nazibariki mbegu zangu nakuzitakasa leo nikiingia katika tendo la ndoa zikalete Uzao katika Jina la Yesu.Amen 
.
Rudia mara ×3

   Maelekezo yake
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ–πŸ–
OMBA WAKATI WA TENDO LA NDOA  HAYA MAOMBI Mnashikana Kabla ya Tendo la ndoa HAMJAANZA NENDENI MBELE ZA MUNGU


3:KATAA UTASA KWA KUKIRI WA NENO LA MUNGU 
πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
Soma huu mstari
Kutoka 23:26
[26]Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza. 

Neno hili nalikiri ndani yangu mimi siyo tasa mimi siyo tasa mimi siyo tasa kwa jina la Yesu na sitazaa watoto wasioeleweka nitazaa watoto kamili wenye kufikisha miezi kamili katika jina la Yesu utasa achia ndani ya tumbo langu NARIBARIKI kwa Jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. AMEN
.
RUDIA MARA 2
.
       MAELEKEZO YAKE
           πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
MAOMBI HAYA AOMBE MWANAMKE PEKE YAKE KWA MUDA WAKE UNAOMFAA


4;OMBEENI TENDO LA NDOA KILA KABLA HAMJAANZA KUFANYA.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1 Samweli 1:19
[19]Wakaondoka asubuhi na mapema, wakasali mbele za BWANA, kisha wakarejea na kufika nyumbani kwao huko Rama; Elkana akamjua mkewe Hana; naye BWANA akamkumbuka. 

Hana na Elikana walikuwa wakiliombea tendo la ndoa mpaka Bwana akamkubuka hana akapata mtoto Samweli. 

Maelekezo yake 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Maombi haya Mwanaume ndiyo unatakiwa uombe kabla ya tendo la ndoa.

Unaomba hivi;

Naribariki tendo la ndoa kila roho inayofatilia tendo hili la ndoa naiharibu katika jina la Yesu nataka uume wangu ukaweze kutungisha mimba na kuzalisha kwa Jina la Yesu .Amen

.rudia mara ×1


BAADA YA MAOMBI HAYA;

SHUKURU.

Ansate Mungu nakushukuru kwa muongozo huu mzuri kila mtu atafuguliwa natukuomba endelea kumlida mtumishi wako Pastor Richard ukamwinue zaidi na zaidi katika Jina la Yesu.Amen. 


MAOMBI HAYA YATAOMBWA KAMA YALIVYOELEKEZWA KILA OMBI. 


5.ENDELEZA KUOMBA KADIRI ROHO MTAKATIFU ANAVYOKUELEKEZA UTASIKIA MANENO YANAKUJA TU OMBA HAYO MAOMBI 


☆OMBEA SADAKA YAKO ☆

Baba Katika Jina La Yesu Nakutolea Sadaka hii ukanifungue Tumbo langu lizae watoto Eeh Bwana Nakuomba ipokee naitoa kwenye kiti chako cha enzi ipokee kupitia madhabahu hii ya Moto wa Yesu ikalete majibu Nami naamini umetenda Ansate Bwana Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×4


KISHA TOA KWA

M-PESA 0759861768

TIGO PESA 0710889892

HALO PESA 0628355985

CRDB BANK 0152361572400

Kama upo nje Worldremit, Western Union, Nara, Moneygram 

JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA 
NCHI TANZANIA MKOA MOROGORO 

LA KUSHIKA MUWE WAAMINIFU WA FUNGU LA KUMI KUTOA KWA BABA YAKO WA KIROHO KAMA HUNA CHANGUA KATI YA WACHUNGAJI ULIONAO UPATE WA KUKUONGOZA


Ni vyema usome urudierudie kisha Uelewe uombe vizuri hakikisha unapiga ukishatoa sadaka yako


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.