MAOMBI YA UKOMBOZI WA NDOTO
MAOMBI YA KUJIKOMBOA NA NDOTO MBAYA ZOTE.
UTANG:
Majeshi ya shetani huweza Kumfata mtu usiku na kuuganisha uharibifu au matatizo ndani ya mtu usiku hasa wale watu wasiomba usiku au watu wasiopenda ibada.
Watu wengi wanaota Wanafanya mapenzi,Wanakula vyakula, Wanasoma shule ya msingi wanakimbizwa, Nyoka au Kuota misiba kuongea na watu waliokufa.
Ni 80% Kati Yao Wanateseka eidha na mahusiano eidha uchumi eidha maisha ya kiroho.
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa
Dumila wilaya ya Kilosa
WhatsApp +255759861768
UNAPOTAKA UJIONDOE KWENYE KUOTA NDOTO MABAYA VAA SILAHA TATU ZITAKUKINGA NA NDOTO
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
KATIKA MAOMBI YETU TUNASIMAMA NA
👇👇👇👇👇👇
WAEFESO:6:10-20
Silaha ya Kuvaa Kujilinda na Ndoto mbaya ni Tatu Tu
1;SILAHA YA KWANZA VAA MAOMBI.
Watu wengi ambao ni baridi katika maombi adui lazima awatese Sababu wao kuomba wanasema hawawezi mpaka mchungaji wao awaombee lakini Yeye kuomba yupo bize Sana hana muda tengemea Shetani ataendelea kukuletea mandato Ya Ajabu mara unakanyaga vinyesi mara unapigwa mara upo kijijini kwenu.
MAOMBI ndiyo Pumzi Yako Pekee yenye kulinda wokovu wako na uhusiano wako na Mungu unapokaa bila kuomba unavunja uhusiano wako na Mungu unajenga kwa shetani.
2:SILAHA YA PILI UVAE NENO LA MUNGU YAANi MAFUNDISHO YA NENO.
Watu wengi kufundishwa hawataki wanataka kuombewa tu hiyo ni hatari kwa maisha yako ya kiroho sababu wewe hutakuwa na ufahamu wa mapambano wa maisha ya kiroho Kila kitu kikupata hutajua kuomba kujisimamia mpaka anayekuombea siku ukimtafuta kwenye simu usimpate mwanao kashikwa na Homa hutaweza kukemea hii ni Kosa Kubwa Kwako Adui anaweza kukutesa kisa hujui huna ufahamu tu.
Penda mafundisho penda kufundishwa Neno la Mungu uongeze ufahamu.
3: SILAHA YA TATU; UAMINIFU WA KUJITOA SADAKA
Hii ni moja ya silaha watu wengi huwa hawawezi kumbe ndiyo silaha pekee iliyobemba mafanikio yetu ya kiroho na mwilu.
Jifunze uanze kutoa fungu la kumi kwa uaminifu Jifunze kujitoa kanisani kwa vitu mbalimbali kuipenda kazi ya Baba yako wa mbiguni Usifurahie mchungaji wako alale Njaa unachokula wewe kumbuka familia yake Saa nyigine mnunulie Nguo mchungaji wako apendeze mnunulie hata usafiri kama umebarikiwa magari mawili moja mpe Mungu utaona Nguvu ya Silaha ya Sadaka itakavyofanya kazi.
MAOMBI YA KUOMBA FATA MTIRIRIKO HUU
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Maeneo matatu tutashughulikia katika ulimwengu wa roho
1;LANGO LA NDOTO. MBAYA
Ni eneo linalosababisha ndoto za mtindo huo ziingie kwenye nafsi yako. Lazima upafuge omba hivi.
"Ninafunga malango yote ya ndoto mbaya nafunga kuota nazini nafuga kuota na zini kila lango lilofunguliwa katika ulimwengu wa roho nalifunga katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×4
"Kila malango ya kuwa naota mandato ya Ajabu ninafunga kabisa kunzia Leo Sitaki ndoto mbaya na sitaota ndoto mbaya katika Jina la Yesu.Amen ×4
"Nafugulia lango la ndoto nzuri Kuota ndoto za Kibingu bingo katika Jina la Yesu.Amen
Omba kwa mfumo huo Shughulika na lango.
2;MADHABAHU YA NDOTO MBAYA
Kila ndoto unayoiota inahusiano na maisha yako huwezi kuota ndoto isiyo na mahusiano na wewe sasa omba kushughulikia mahusiano ya ndoto zako na wewe.
"Navunja kila Madhabahu za ndoto za kishetani za kichawi za kipepo za kimizimu naharibu makazi yao ndani yangu kwa Jina la Yesu.Amen
Rudia×5
"Nafuta Jina langu Sadaka Zangu Muda wangu ambao niliutoa kushiriki chochote cha waganga kunywa au kuchanjwa chale katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×3
"Madhabahu za ndoto nbaya Hazitakuja Kunishika tena katika ulimwengu wa roho naandika madhabahu ya ndoto nzuri katika jina la Yesu.Amen
×1
.
Omba kwa mfumo huu eneo la madhabahu Shughulika
3:ANGANO LA NDOTO. Mbaya
Kila ndoto huigia kupitia Patano lilofanyika katika ulimwengu wa roho ambalo linakuwa linalenga kitu kwa muotaji ndoto.
Omba hivi kulivunja.
"Nabomoa na Kuharibu makubaliano yoyote yaliyofanyika kwa njia ya ndoto katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×1
"Kila Angano Linaloongea kwa Habari ya utumwa habari ya mimi niteseke nalikataa nakulikata kabisa kila mzizi uliouganishwa niote ndoto nipo kijijini kila nikiota navunja Navunja Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×3
"Maneno yote ambayo niliyakubali kwenye ndoto nikakubaliano kwa walivyotaka wao nayafuta nayafuta nayafuta kwa Damu Ya Yesu Nayafuta kwa Damu Ya Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×6
MAOMBI HAYA NI ENDELEVU MPAKA ZIKATE HIZO NDOTO
MUDA WA KUOMBA NI WOWOTE UTAKAO JIWEKEA
.
Ombea Sadaka Yako Sasa Ya Maombi haya.
Tuma kwa M-PESA 0759861768 Tigo Pesa 0710889892
Jina Richard Julius Kushoka
Tafadhali wanaoteswa na ndoto tu ndiyo waombe
Maoni
Chapisha Maoni