SOMO.MAOMBI YA KUOMBEA KAZI ZETU

MAOMBI YA KUOMBEA KAZI YAKO KILA SIKU KABLA HUJATOKA NYUMBANI 

Naitwa Bishop Richard
Nipo Morogoro  Veta Dakawa 👉Africa ✍Tanzania 
WhatsApp niinbox 0759861768


MAMBO AMBAYO UYAZINGATIE

1:Maombi haya uyaombe kila Siku kabla hujaenda kazini changua ombi moja omba.

2.Kila wiki Utaandaa Sadaka Yako nakumshukuru Mungu kukulinda wiki nzima kisha utaituma kupitia madhabahu hii ya moto wa Yesu. 

3.Hakikisha Kila wiki unaomba maombi ya kushukuru kama navyoelekeza mwisho 

MAOMBI YA WALIOAJIRIWA KWA MIKATABA NA WALIOJIAJIRI KWA KAZI YOYOTE YA HALALI
________________________________________

1:Ninaibariki Kazi Ya Mikono Yangu Kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu  Katika Jina la Yesu.Amen 
Omba ×3
Imeandikwa  Zaburi 128:4 Kiri huu mstari umebarikiwa wewe. Mf. Mimj Pastor Richard nimebarikiwa nimebarikiwa.
[4]Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye BWANA. 


2;Baba Yangu Wa Mbiguni Nakuomba Siku Ya Leo Ukaitawale Kazi Yangu Umtume malaika msimamizi wa kazi za huko mbiguni aliyezamu siku ya Leo aje aisimamie na Kazi Yangu Hapa Duniani Iwe yenye Baraka machoni Pako na Siyo machoni pangu Ninaomba Kwa Imani Katika Jina la Yesu.Amen 
Omba ×5
✍✍✍✍✍
Kisha Soma huu mstari.
Isaya 65:23
[23]Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa kwa taabu; kwa sababu wao ni wazao wa hao waliobarikiwa na BWANA, na watoto wao pamoja nao. 

3.Kila mitengo walioitengesha ofisini Kwangu kwenye malango ya ofsi natengua mitengo yao katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia Mara 2 kaza maneno unapoomba.

4:Kila mafaili yangu yaliyozuiliwa katika ulimwengu wa roho mafaili ya kupanda daranja mafaili ya kupanda mshahara  mafaili ya kupata Safari za likizo mafaili ya kwenda masomo nayafungua yatoke kwenye mamlaka zilizoshika katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×6

5.Ofsi yangu nakukabidhi Yesu Mshahara wangu hautaliwa na magonjwa na madeni wala chuma ulete katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia Mara moja×1

MAOMBI HAYA AOMBE MTU AMBAYE KAZI ZAKE SIYO ZA OFSINI YEYE NI DAYWORK.
______________________________^^_^^_____
3:Mungu Baba Umesema Katika Kitabu cha Kutoka Sura ya 23:20 Utamtuma malaika Kutoka huko mbiguni kwenye makao yako aje duniani Anipeleke Pale ulipopaanda nikafanye kazi Tazama Mwanao Leo Sijui hata pakuanzia Sina kazi ya kufanya Sina  Kitu cha Kunifanya Leo nilishe familia Yangu watoto wangu bado wadogo wananitazama mimi naomba ufanye muujiza wako unipe riziki yangu ya kila siku naomba nikiwa Naimani Kupitia Mwanao Yesu Kristo Katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×8

4:Kazi Yangu Inalindwa na Bwana na Kila ajiinuaeye Mbele Yangu Bwana Atamushusha chini kabisa Atakuwa chini chini Kabisa nami nitakuwa bosi wake  katika Jina la Yesu.Amen
Mstari 1samweli 4:2
Rudia ×2

5;Leo Nitakapoingia Kazini Naomba Mungu Ukanipe Kibali kuanzia kwa Viongozi wangu wa juu mpaka wafanyakazi wezangu ninakukaribisha Yesu ukafanye kazi nami katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4

6:Kila ushirikina kila umbaya unaotumwa kwenye nafasi yangu nilipo Kazini kwangu nishushwe chini au nifukuzwe kazi namtuma Refaeli Leo Na uriel malaika wa moto Wakawakamate nakufunga wote wanaotaka kazi yangu nipoteze Rafaeli nenda ukashughulikie hili kwa jina la Yesu Kwa Jina la Yesu Naomba kwa imani katika jina la Yesu.Amen 
Rudia×7

7:Naombea Mshahara Wangu unaokuwa haukai mikononi mwangu siufanyii Kitu cha Maana Toka nianze kuushika mkononi unaishia kwenye madeni Unashia Kwenye Magonjwa Naomba Yesu Wangu Unaupokea wewe kwanza nami unanikabidhi wewe sitaki chuma ulete wala mikono ya uharibifu kuanzia sasa Nakemea hiyo roho kwa Jina la Yesu.Amen

Rudia×6


8:Malango Ya Kazi Yangu Yalindwe na Wewe Anga la Kazini Kwangu Unipe nguvu ya kumiliki na kutawala na uchumi wa kazini kwangu nitauendesha na kushika mkononi nakuutolea Fungu la Kumi kanisani Sitakuimbia hata Mia yako katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia ×7

9:Mimi ni mtoto wa Kifalme mwenye miliki za kifalme kuanzia Leo kila nitakachokifanya kikasitawi nakunitambulisha kama mwana mfalme katika ulimwengu wa Roho unitambue siyo mtumwa mimi kwa jina la Yesu.Amen 
Rudia ×9

10:Nashukuru Mungu umeilinda kazi yangu umeniepusha na mabaya yote umenipigania kwa mengi kazini Kwakweli nakila sababu ya kukushukuru wewe Mungu wangu Pokea sifa na heshima katika kiti chako cha Enzi naomba nikiamini katika jina la Yesu.Amen 
Rudia ×4

Mstari mkuu uliyotubemba maombi yetu
Isaya 65:23
[23]Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa kwa taabu; kwa sababu wao ni wazao wa hao waliobarikiwa na BWANA, na watoto wao pamoja nao. 


MAOMBI YA SHUKURANI KILA WIKI KABLA HUJATUMA SADAKA YAKO.
Soma andiko hili kabla hujatoa sadaka yako ya wiki nzima
Zaburi 50:14
[14]Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru; 

KISHA OMBA HIVI 

Nakushukuru Sana Mungu Wangu umenilinda wiki nzima umeipigania familia yangu afya yangu kazi zangu kiukweli nimeona wema wako Naabatanisha Sadaka hii naitoa katika madhabahu yako ya moto wa Yesu Naomba ipokee kwenye Kiti chako uendelee kubariki kazi zangu katika Jina la Yesu.Amen 
Rudia Mara ×3

KISHA TUMA KWA:
M-PESA +255759861768
TIGO PESA +255710889892
WEKA CRDB BANK AKAUNT 🏦 0152361572400
 JINA LA AKAUNT: RICHARD JULIUS KUSHOKA 

Kwa Mliopo nje ya Tanzania Tumieni 
Worldremit 👉Western union 👉Moneygram 👉Narra 
Jina RICHARD JULIUS KUSHOKA NCHI Tanzania Neno la siri Arusha


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.