SOMO: MAOMBI YA KUSHUGHULIKA NA MATOKEO MABAYA
SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA MATOKEO MABAYA.
Karibu Maombi haya.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Huwa ipo hivi unapopanga mipango yako vizuri Tambua ulimwengu wa roho nao unakuwa unapanga upate matokeo mabaya ili ukate tamaa na kurudi nyuma uachane na hicho kitu. Mfano unawaza mwaka huu ufungue Biashara Utaanza kutafuta flem na mtaji utapata vizuri shinda kuianza hiyo biashara unaweza kwenda kufanya Jambo ambalo hukupanga likakupa matokeo mabaya. wapo watu wanashindwa kusonga mbele kutokana na matokeo
Mika 5:2
[2]Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu
Bethlehemu Kalikuwa Ka mji kandogo Sana lakini ndiko kalileta na Kupewa kibali azaliwe huko Yesu na matokeo yake yalikuwa mazuri maana kupitia Yesu Dunia ilipata kuokolewa na mji kupata heshima
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Mwanzo 3:22
[22]BWANA Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;
Mwanzo wa Mwanadamu Alikuwa Akijua Kutenda Lilo nzuri tu shinda ilianza baada ya kuaguka katika dhambi Matokeo ya dhambi ile yalikuwa mabaya akawa anazaa kwa uchungu anafanya kazi ngumu na kula kwa kuhagaika.
Zaburi 15:3
[3]Asiyesingizia kwa ulimi wake.
Wala hakumtenda mwenziwe mabaya,
Wala hakumsengenya jirani yake.
Unaweza Ukapata matokeo mabaya ya kugombana na watu kisa ulikuwa ukiwasema kwa uongo au kuwazushia.
Kila Jambo ufanyalo uone matokeo kabla halijatokea
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOOMBA
1;Kuwa Mtu Wa Imani
2.Tambua Eneo linalokupa matokeo mabaya.
3.Shughulikia Eneo Sawasawa na Eneo hilo linalokupa matokeo mabaya.
4.Tamka kukataa kupokea matokeo mabaya Kwenye Eneo hilo.
5.Kumbali Kupokea Matokeo Mazuri Kwenye Eno hilo.
6.Adaa Sadaka yako kiasi chochote yatolee Sadaka
7.Utaomba Siku 3 Mfululizo Siku ya 4 Utatuma Sadaka nakunipigia
8.Zungushia ulizi yaombee mambo yako yanayoenda Vyema.
OMBA HIVI KAMA HUWA UNAPATA MATOKEO MABAYA.
Baba Katika Jina la Yesu Najiondoa kwenye kila nguvu zilizouganishwa kwangu mimi Richard ninapokea matokeo mabaya ya kile ninachokifanya kuanzia Sasa nitafanya vitu na kupanga mipango yangu itakayonileteaa matokeo mazuri katika Jina la Yesu.Amen
Endelea kuomba Fata maneno yanayokuja kinywani mwako.
Omba rudia mara 3
Kila mara omba kataa matokeo mabaya kwako yasitokee
OMBA KUKUMBALI MATOKEO MAZURI.
Bwana Yesu nakumbali kuwa napokea matokeo mazuri nakataa kuwa napokea matokeo mabaya kuanzia Leo kwa mamlaka yako Bwana Yesu kila roho ya kunipa matokeo mabaya nakataa katika Jina la Yesu.Amen
RUDIA MARA TATU
Kisha endelea kutamka kuligana na maneno yanayokuja kinywani
OMBA KUZUNGUSHIA ULIZI
Baba Yangu Nazungushia Ulizi Katika kila ninachokipanga au kukifanya Naomba Mungu Usimame ukilinde chochote nifanyacho Katika Jina la Yesu.Amen
Haya yanapaswa uombe muda wowote
OMBEA SADAKA YAKO UITUME
M-PESA 0759861768
TIGO PESA 0710889892
HALO PESA 0682355985
Jina Richard Julius Kushoka
Hakikisha unatenga muda wako wa kuomba na eneo utakaloombea
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Maoni
Chapisha Maoni