SOMO: MAOMBI MBALIMBALI YA KUVUNJA MAAGANO YA DAMU.
SOMO: MAOMBI MBALIMBALI YA KUVUNJA MAAGANO YALIYOFANYWA KWAKO NA WACHAWI KUHUSISHA DAMU
Naitwa PASTOR Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa
Vitabu rejea
Mwanzo:4:10-15 ISAYA:26:21 Kutoka:7;19-20
EZEKIELI;16:36-38 1Wakoritho:11-25 Waebrania:9:20
Huwa wachawi wanatumia damu yako au ya mnyama Kuweza Kuuwa kila kitu nasema kila kitu Kuuwa Afya yako Kuuwa uchumi wako Kuuwa Kazi Yako Kuuwa Malengo yako.
Damu huwa ni uhai wa kila kiumbe chenye damu kiliunganishwa uhai wake kupitia Damu .
Wachawi hutumia damu ya Wanyama,Ndege,Watu, nakuchinja ambayo huwa kafara ya damu wanayoitumia Kuuwa vitu mbalimbali kwako kama afya unakuwa mtu wa kuumwa umwa Tu Kukosa kazi Kuishiwa Damu mara kwa mara kupenda kuzini kutoa mimba mara kwa mara kuwa na magonjwa yanayohusisha zinaa mfano.H.i.v Kisonono. NK
KATIKA VIFUNGO HIVI WACHAWI HUTUMIA
.NJIA ZIFATAZO.
1:Waganga wanakuambia upeleke kuku au mnyama harafu wanamchinja Kumbe Wanweka Patano na Wewe kupitia damu hiyo.
2:Damu ya Blidi au Mama aliyejifungua anajikuta nguo yake iliyo na Damu inapotea Kumbe Tayari wamekufunga.
3:Hutumia Aridhi ya eneo ulipo kuinenea nawewe Utajikwaa au Utajikata nakutoa Damu ambayo watakufunga.
4:Humwanga Damu njia Panda au Barabara Ambayo umezoea kuipita
5:Hupasua vitu na kumwaga vijiti na miiba Nugunugu.
UCHAWI WA AGANO LA DAMU HUHUSISHA WAFATAO
1:Mtu
2;Aridhi
3.Bahari
4:Anga
5:Damu
TUTAANZA KUOMBA KAMA IFATAVYO.
1:OMBI LA KWANZA TUTASHUGHULIA MAGONJWA. (Walawi:15 Sura yote
i) Mathayo:9:20 inasema Kwamba Mwanamke aliyekuwa anateseka muda mrefu na amehagaika huku na kule hakuweza Kupona lakini alipongusa kwako pindo alipona Namimi Naibemba imani ya huyu mwanamke Nimeteseka Sana na magonjwa Tumaini langu la mwisho limebaki kwako Yesu nakuitaji njoo usafishe Damu yangu uondoe kila magonjwa mikosi na laana kupitia Damu yako Yesu Kristo Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 3
ii) Kila mfumo wangu wa Damu kwenye mwili wangu ninaufungua kwa Damu Ya Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 2
iii)Zaburi:103:3 Inasema utanisamehe nakuniponya magonjwa Yangu Nami nimekuja mbele Zako Mungu Wangu unisamehe na uniponye katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 5
iv) Luka 14:2
[2]Na mbele yake palikuwa na mtu mwenye ugonjwa wa safura. Bwana Nakusihii Simama mbele ya kila ugonjwa Unanifatilia au unaonitesa Bwana naomba ukafute Kabisa Usiwepo Kwangu wala Kwa Wanangu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 3
2: OMBI LA PILI TUTASHUGHULIKA Na ROHO ZA KUZINI.(EZEKIELI; 23:37
Wapo watu waliouganishwa katika dhambi ya kuzini na wao wanatamani kuiacha lakini Wanashindwa.
i)Kila nguvu Iliyouganishwa Kwenye Damu Yangu inipelekeshe niwe mtu wa kuzini na kutokuowa au Kuolewa naiamuru iondoke Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Omba mara 7
ii)Baba Katika Jina la Yesu Navunja navunja kila Damu iliyotolewa na Kunenewa mimi nisifikie hatua ya ndoa Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 2
3:KUKOMBOA ARIDHI YA HAPO UNAPOISHI.
Mwanzo:4:10 Isaya.26:21
Kuna kafara nyigi hufanywa kupitia Aridhi hii tunayoikanyaga hali inayozuia na kuchelewesha maombi yetu na Baraka zetu.
i) Baba Nasongea Mbele zako Kila Agano la damu lilomwagika kwenye aridhi hii naifungua aridhi ikaniletee Baraka Ya ndoa Baraka Ya Uchumi Baraka ya Afya Katika Jina la Yesu laana za Magonjwa laana za uchumi laana ndoa Nazifuta kabisa naikomboa aridhi aridhi aridhi Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 5
4:KULIITA JINA LAKO KUTOKA KWENYE BAHARI MITO NA MILIMA WALIPOKUFUNGIA
Kutoka;7-21
Zipo Kafara zingine hutupwa Baharini yule anayekuwa amefungwa anakuwa mtu wa mitihani mingi ya kimaisha.
i) Kila agano la Damu lilomwagwa damu yake Baharini kwenye mito ikanenewa Jina langu niwe mtu wa mateso na mahagaiko yasiyoisha Nasimama nakuponda shetani achia Baharini Jina langu Achia Pesa zangu mume/mke wangu nakuamuru kwa jina la Yesu Richard njoo njoo Richard njoo Richard kuanzia Leo hutapitia matatizo na mitihani Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 6
ii)Katika Jina la Yesu naziita Baraka zangu za kwenda viwango vipya naziita Pesa zangu zilizoshikwa kupitia maagano ya damu Njoo uchumi wangu njoo afya yangu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 4
Endelea kuomba kadiri roho anavyokufunulia
KISHA ITA DAMU YA YESU IWEKE AGANO NDANI YAKO
Yohana:1:13
Huwa baada ya kuvunja maagano jikonecti na Damu ya Yesu kwenye damu yako
Omba hivi.
"Damu ya Yesu Ikaweke Agano ndani ya Damu Yangu Kuanzia Leo nikawe hai kwenye uchumi wangu nikawe hai kwenye kazi yangu nikawe hai kwenye Huduma Yangu nikainuliwe katika hekima na maarifa Katika Jina la Yesu.Amen ""
Rudia Mara 2
LIPA MAAGANO YOTE YA DAMU KWA Gharama YA DAMU YA YESU.
Waebrania:10;4-18
Hizi roho hudai Sadaka na Gharama hasa kama muhusika alikuwa akienda kwa waganga anapeleka wanyama au ndege wanachinjwa alitolewa kafara pasipo kujua.
Omba hivi.
Nalipa Sadaka zenu mnazonidai Kila Damu niliyoimwanga ya mnyama au ndege ninuia kwa mganga kabla sijapata Neema hii nalipa kwa Damu Ya Yesu Nalipa Kwa Damu Ya Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 5
Damu iliyomwagika msalabani ikamwagike tena ikomboe nafsi yangu maisha yangu Kazi zangu sawasawa na Kitabu cha Yohana.14:34 Waebrania;2;19-20
Rudia Mara 8
Hakikisha unaendelea kuomba utakapoona maneno ya kuomba yanakuja tu kadiri Roho Mtakatifu anavyokuvuvia
KISHA FUNIKA KWA DAMU YA YESU Fahamu zako Fikira zako Watoto wako ndoa yako mmeo/mkeo Kwa Damu ya Yesu ifunike Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia Mara 1
BAADA YA KUMALIZA KUOMBA UTAANDAA SADAKA yako itakayokamilisha maombi yako utaiombea kwa kadiri roho atakavyokuogoza kisha utaitoa kupitia madhabahu hii ya Moto Wa Yesu
Namba kutuma Sadaka Yako ya Maombi haya
M-Pesa +255759861768
TIGO PESA +255710889892
CRDB BANK 🏦 0152361572400
Jina la akaunt Richard Julius Kushoka
Namba zote zitatokea Jina hilo.
Share maombi haya
Maoni
Chapisha Maoni