SOMO:JINSI YA KUTOA FUNGU LA KUMI
SOMO;JINSI YA KUTOA FUNGU LA KUMI KATIKA MADHABAHU YA HOLY SPIRIT
πππππ✍✍✍✍✍
SIKU ZOTE UJUE MADHABAHU UNAYOISHIRIKISHA MAOMBI AU KUOMBA MAOMBI YAKO LAZIMA UWE NA MADHABAHU YAANI BABA WA KIROHO FUNGU LA KUMI LITOE KWENYE HIYO MADHABAHU YAKO UNAYOISHIRIKISHA MAOMBI UKIENDA KUIAMURU MADHABAHU ILETE MAJIBU YAKO HALAFU HUITOLEI FUNGU LA KUMI HAITAJIBU KWAKO.
Mfano Umeomba madhabahu hii ikujibu halafu Pastor Richard huwa hakuoni kwenye list ya watoto walio wanaotoa fungu la kumi au Taarifa zako za uaminifu wako wa utoaji wa za hana BASI Hata madhabahu hii inakuwa haikutambui kama mtoto wa Pastor Richard. Pia Jifunze Kukaa na Kutulia na Madhabahu moja unayoona itakuvusha na kukulea kiroho kutoka hatua moja kwenda igine usiwe mtu usiye na msimamo kama wewe ni mtoto wa Pastor Richard ueleweke na uwe mwaminifu wa fungu la kumi kama siyo simama kwa huyo baba yako wa kiroho uwe mwaminifu wa fungu la kumi hakikisha unapotoa baba yako atamke neno aliombee fungu lako ππKaribu Soma mpaka mwisho
πππππππππ
Vitabu SomaπMalaki;3;8-14 Matendo;5;1-11 na 10:1-6 Mathayo:23:23 Luka:18:12 Warumi:10:17
πππππππππππ
πππππππππππππππ
TUTAKAYOJIFUNZA KATIKA SOMO HILI:
=================
1.MAANA YA FUNGU LA KUMI
2;NANI ATOE FUNGU LA KUMI
3.NALITOAJE FUNGU LA KUMI.
4.SEHEMU SAHIHI ZA KUTOA ZAKA YAKO.
5.MADHARA YA KUTOTOA ZAKA AU KUWA MWIZI
6;NGUVU YA UTOAJI WA ZAKA KWA UAMINIFU .
UTANGULIZI
KONELIO ALITOA KWA UAMINIFU;
Biblia inasema alikuwepo mtu mmoja aliyekuwa na cheo serikalini mkubwa wa Jeshini Alitoa fungu la kumi kwa uaminifu hadi familia yake aliifundisha namna ya kumtolea Mungu Zaka Na Mungu alikuwa akimsikia Maombi yake na Kumjibu kwa uaminifu wake Rejea Matendo:10:1-6
Jifunze kuifundisha familia yako iwe na uaminifu wa zaka isiwe na wizi.
π΄π΄π΄π΄π΄πππππ
TABITA NAYE ALIKUWA FUNDI CHELEHANI ALITOA ZAKA KWA UAMINIFU
Pia Biblia Inaeleza alikuwepo mtu mmoja Anaitwa Tabita Yeye alikuwa fundi chelehani uchumi wake wa chini Kabisa lakini hakuacha kutoa Fungu la Kumi Kwa uaminifu hata alipokufa Mungu aliweza Kukumbuka Uaminifu wake wa Fungu la Kumi akamfufua akapona Akafufuliwa. REJEA MATENDO;9;34-38
πππππππππππ
KWA WANANDOA WAPO WALIOKUWA HAWAZAI MAISHA YA MAGUMU
✍πMfano ndoa ya Sarah na Ibrahimu Tunaona Ibrahim alikuwa mwaminifu wa kutoa Sana kuliko kusubiri apokee kitu kwa Mungu hata kama alichelewa kumjibu hakuacha kutoa fungu la kumi na sadaka kwa Bwana.
Rejea mwanzo;14:20 Hata wewe Jifunze kwa watu hawa Uaminifu wako kutoa kwa Bwana Unanguvu kuliko kukaa unasubiri Kwa Mungu Upokee halafu wewe utoaji kwako mpaka utendewe kitu au uwe kwenye pito unatoa ili Mungu akuondolee Pito Unakosea toa kama ishara ya wewe Kumjua Mungu. Mtoaji anadhibitisha kiwango cha Juu cha Sana Katika Imani Yako Na Mungu Humpezesha Kwa Kuwa Kwa Imani Abeli alitoa akehesabiwa haki lakini Kaini kwa imani yake ya mashaka na kutokujua anayemtolea alitoa akahesabiwa hana haki kama mwezake Abeli. Waebrania:11:4
Naitwa Bishop Richard
Muasisi wa makanisa ya Holy Spirit church Tanzania (H.S.M.T)
WhatsApp inbox 0759861768
Nakukaribisha Somo hili
Unaposoma rudia rudia uelewe kisha uanze kutoa fungu la kumi katika Madhabahu hii.
πΎπΎπΎπΎπΎπΎπΎπΎπΎπΎπΎ
1:MAANA YA FUNGU LA KUMI
Fungu la kumi nini..?
Ni Asilimia kumi ya kipato chako unachokipata unatakiwa umtolee Mungu Kama Angizo lake Alivyoamuru unaweza kutoa hata zaidi ya Asilimia kumi.
Kazi yoyote au shughuli yoyote ukiifanya ili iwe na ulizi itolee fungu la kumi kwa uaminifu kila mwezi.
2.FUNGU LA KUMI NANI ANATAKIWA ATOE?
ππππππππππππ
Kila mkristo aliyefikia Kiwango cha Kumjua Mungu wake Anatakiwa Atoe Fungu la Kumi(Zaka) .Mtu Yeyote Anayemjua Mungu wake Hujitoa kwa Mungu wake. Kumbe Utoaji ni Kipimo tosha cha Levo yako kwa Mungu Namna unavyoweza Kumjua nakumwelewa.
Unapotoa Uelewe Unamtolea Mungu siyo mchungaji au mwanadamu au unapoteza uelewe unaweka akiba.
Soma Kitabu hiki
ππππ
Ayubu 22:21-22
[21]Mjue sana Mungu, ili uwe na amani;
Ndivyo mema yatakavyokujia.
[22]Uyapokee, tafadhali, mafunzo yatokayo kinywani mwake,
Na maneno yake yaweke moyoni mwako.
KUMBE BASI HUWEZI UKATOA FUNGU LA KUMI KAMA UNAYEMTOLEA HUMJUI AU HUNA IMANI NA MUNGU
3;NITALITOAJE SASA FUNGU LA KUMI?
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³
Unalitoa hivi kwa mtiririko huu mzuri Katika Madhabahu hii ya Moto Wa Yesu.
1:KWA MFANYA KAZI SERIKALINI/BINAFSI
πππππππππππ
Kama Unafanya Kazi Mshahara wako 1000000 Lakini hii hela inakatwa mifuko mbalimbali kama Nssf,Bima,Bank unakuja kupokea 700,000 Hutapingia hesabu ya 700000 Bali utachukua hesabu ya 1000000
Ambayo Fungu la Kumi ni 100000 Laki moja.
Utatoa Kila mwezi
Kama Unapokea 800000 Mshahara wako lakini unadaiwa bank ,unakatwa kwenye mifuko yako Unakuja kushika mkononi 400000 utapigia hesabu ya 800000 Laki nane ambayo ni Sh.80000 Utaitoa
2;KWA MFANYABIASHARA YOYOTE YULE;
ππππππππππ
Kama wewe unaduka au unatembeza kibiashara chochote kile Γ¬li kiendelee kukua kitolee Fungu la Kumi Tena kwa Uaminifu.
Utauza mauzo yako kila unachouza unaandika
mpaka Tar 30 mwisho wa mwezi Chukua Jumla ya mauzo yote Jumlisha
mfano kuanzia Tar.1-30 Jumla Ya Mauzo 500000 Laki Tano.
Utatoa 50000 kwa ajili ya Fungu la kumi unaiombea hilo fungu kuhusu biashara yako.
Fanya hivyo kila mwezi tu.
Kama ulizungusha ukauza na ukanunua tena bidhaa na mwezi umefika fungu la kumi huna utauza mauzo utakayouza utatafuta fungu la kumi. Kwa hiyo unatakiwa zungusha biashara yako mwezi mzima lakini kumbuka kuandika mauzo.
Unapotuma Fungu la Kumi ombea Biashara yako ili mauzo ya ongezeke.
3:KWA MKULIMA YEYOTE YULE.
✍✍✍✍✍✍✍✍
Mkulima yeye fungu lake la kumi analitoa pale anapovuna mazao Yake Shambani.
Mfano Umepata Junia Kumi Mpe Mungu gunia moja peleka kanisani.
Umevuna Gunia Debe na Nusu peleka kwa Mungu
Ukifanya hivyo utaona mazao yanavyofunguka utakuwa mtu wa kuvuna Sana
Kumbu torati;28;1-5
5:KWA WASIO NA KAZI WOTE
Kama Upo huna Kazi Basi Utajitoa Mwili wako Kuhubiri injili ,Kuvuna Watu, Kushuhudia Kwenda Kufanya Usafi kila wiki kanisani jitoe hivyo tu.
4:MAHALI NGANI NILIPELEKE FUNGU LA KUMI
πJE,KWA YATIMA,JE KWA WAJANE,JE HOSPITAL.
πππππππππππ
Jibu
Malaki:3:10 inasema Leteni Zaka nyumbani Kwangu.....Hii Poit inatosha Kusema tunatoa fungu la kumi nyumbani kwa Bwana Katika Madhabahu aliyokupa Mungu na Unayoiomba ilete Baraka iliyoshikiria Baraka zako...Fungu la kumi huwa tunalitoa Madhabahu yako Ambayo Mungu Amekupa.
Kama wewe ni mtoto wa Pastor Richard Madhabahu yako ni Moto wa Yesu Utatuma huku. Madhabahu ukiitolea Fungu la Kumi hata ukiomba nayo italeta majibu nakukujibu mahitaji yako hata kama itachelewa lakini lazima itende Unachotakiwa wewe ni Kuwa mwaminifu kila mwezi kutoa zaka
ππππππ
1wafalme.18;30-35
Kwa maana hiyo basi fungu la kumi halitolewi ovyo ovyo au popote imladi umetoa fungu la kumi. Toa Fungu la Kumi kwa Uaminifu kila mwezi hata kama Mungu atachelewa kujibu wewe toa mfano Ibrahim si alichelewa kujibiwa lakini si Aliendelea kutoa Fungu la kumi Ukisoma Mwanzo;14;20 Hata wewe ukianza kutoa usikubali kuitwa mwizi sungu wa fungu la kumi Ukisoma; Malaki;3;8
KATAA KUMWIMBIA MUNGU FUNGU LA KUMI ( ZAKA) πMalaki:3:8
NINI KITATOKEA USIPOTOA FUNGU LA KUMI.
MADHARA HAYA
Agano jipya matendo:5
1:Ukisoma Anania na Safira walivyoleta udanganyifu katika utoaji wa Zaka. Walijikuta wanamdaganya Mungu Siyo Mwanadamu.
MATENDO:5:1-6 mambo yako kuanza kufa na hata wewe kuonekana Muongo kwa Mungu kama Safira.
2:Atafungulia Magonjwa madeni na vitu vigine vitakavyokufanya utoe Pesa.
SOMAππ Kumb Torati:28:26-28
3:Utakuwa mtu mwenye mikosi na laana mbalimbali Soma ππKumb.Torati;28;15
4:Adui zako watakupiga kiroho na watakufanya ufunge biashara yako na hata kuhama kabisa eneo au Uwaogope.
ππππ
Kumbukumbu la Torati 28:25
[25]BWANA atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
5;Mungu atakutuhumu wewe mwizi na ataendelea kudai kwako.
SOMA ππMalaki:3:8
Je,Unapenda uitwe mwizi au Upigwe na adui zako ukimbie mbele yao sasa kwanini usitoe kwa uaminifu zaka.Matatizo megine au vita zigine zinakuja kwako kwa sababu hutoi zaka.
5.NGUVU YA UTOAJI WA ZAKA KWA MWAMINIFU WA FUNGU LA KUMI.
1:AFYA
πππππππ
Mtu anayekuwa mwaminifu atakuwa Na Afya kiroho na Kimwili huwezi kuta mtu anayetoa Fungu la Kumi kiroho akawa hana Imani au ufahamu wa kumjua Mungu wake
Afya yako itatetewa na Mungu magonjwa yanayoinuka kula pesa au madeni yatafyekwa kule utabarikiwa wewe.
Rejea andiko.
πππππ
Kumbukumbu la Torati 28:2,
[2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako.
2:FAMILIA
πππππ
Familia lazima upate mke au mume na uzae watoto Hatakubali ubaki singo au ubaki kutokuwa na Uzao endapo utakuwa mwaminifu kutoa Fungu la Kumi kila mwezi.
Rejea andiko usome.
πππππ
Kumbukumbu la Torati 28:9,11
[9]BWANA atakuweka uwe taifa takatifu kwake, kama alivyokuapia; utakaposhika maagizo ya BWANA, Mungu wako, na kutembea katika njia zake.
[11]BWANA atakufanya uwe na wingi wa uheri, katika uzao wa tumbo lako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako, katika nchi BWANA aliyowaapia baba zako kwamba atakupa.
3:UCHUMI
ππππππ
Mtu anayetoa Fungu la Kumi Kwa Uaminifu kila mwezi uchumi utasimamiwa na Bwana na Milago kwake itafunguka sana tu. Utakuwa Juu hakuna nguvu itakayokushusha endapo utakuwa kila mwezi unatoa zaka.
ππππππ
Mithali 16:3
[3]Mkabidhi BWANA kazi zako,
Na mawazo yako yatathibitika.
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³
Kumbukumbu la Torati 28:12-13
[12]Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
[13]BWANA atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya;
JINSI YA KUOMBEA FUNGU LA KUMI KABLA
HUJATUMA
✍✍Mambo ya Kuzingatia
1;Nyanyua kupitia mkono wako wa Kulia ishikilie Sadaka yako piga magoti unapoomba.
2:Ukianza simama uwe mwaminifu kila mwezi
6: MAOMBI YAKUOMBA:
OMBA HIVI KABLA HUJATUMA.
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³
Kupitia Fungu la Kumi la mwezi huu wa 5 ninalitoa katika madhabahu hii ya moto wa Yesu ninaomba likaongee na likanene kwa habari ya mimi 1: Nijenge nyumba yangu buraati 2;Madai Yangu niliyokatwa kimakosa nikalipwe tena haraka pasiwepo nakusubiri 3:Rich mchumba wangu Amesema anaenda kutoa mahari nyumbani akatoe na tufunge ndoa haraka naomba uipokee kwenye madhabahu yako ya mbiguni na ipate kibali na majibu nikayaone katika Jina la Yesu.Amen ×3 Rudia mara tatu.
KISHA ITUME KATIKA MADHABAHU HII YA MOTO WA YESU
Namba za kutuma fungu lako.
M-PESA +255759861768
TIGO PESA +255710889892
Halo Pesa +255628355985
Weka CRDB BANK akauntπ¦ 0152361572400
WESTERN UNION na MONEYGRAM na WORLDREMIT
JINA NI MOJA LITATOKEA: RICHARD JULIUS KUSHOKA
NAKADHIA
Usitoe kama kwa kumkopesha Mungu kwamba asipo fanya au kujibu ukate tamaa uache kutoa toa kama angizo lake Mungu na Pia wewe ni mwanae unayemjua usitoe akili yako kama unampa mchungaji hapana toa ukiwa na ufahamu nani unamtolea.
Naitwa Bishop Richard
Maoni
Chapisha Maoni