SOMO: JINSI YA KUJIKOMBOA KWENYE DAMU

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI  WA DAMU. 

:UTANGULIZI.
______^^^^^___.
Damu ni kiugo kikubwa Sana Ambacho adui hukitumia ili kuweza kukuagusha na kukutesa kumbuka Yesu alikuja kukomboa wewe lakini Tendo la ukombozi lilikamilika kwa kumwaga damu ni nini ishara yake ni kwamba damu iliyomwangika ikasafishe Damu yako nakuikomboa iondokane na magonjwa umasikini mateso. Kwa Sababu ugonjwa ili Ukutese lazima uingie kwenye damu Umasikini ili ukuigie lazima upite kwenye damu Tatizo lolote Sungu au Ambalo unaliishi kwa sababu lipo kwenye Damu huwezi ukaanza kudai uponyaji au ukombozi bila kuikomboa damu yako kwanza.

MAANA YA DAMU.
Damu ni chombo cha kusafirisha mahitaji ya seli kama vile virutubishi na oksijeni pale panapohitajika, halafu inapokea dutu zisizohitajika tena kutoka seli na kuzipeleka kwa viungo zinapoondolewa mwilini.

MWILI WA MWANADAMU UNABEMBWA NA VITU VITATU.

DAMU; ambayo kazi yake kuzalisha seli hai nyeupe zinazoshambulia nakupambana na maradhi 

MAJI:husaindia mfumo wa damu na uyeyushaji wa mifumo ya chakula ifanyike vyema.

ROHO; Yenyewe hutoa Pumzi na Kukufanya upumue

KATI YA HIVI VITATU MOJA WAPO UKIONDOA AU KIKASHAMBULIWA LAZIMA UFE AU UPOTEZE MAISHA HIVI VITU MUHIMU. 

SOMA HAPA USHAHIDI WA ANDIKO.
1 Yohana 5:9
[9]Kisha wako watatu washuhudiao duniani], Roho, na maji, na damu; na watatu hawa hupatana kwa habari moja. Tukiupokea ushuhuda wa wanadamu, ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi; kwa maana ushuhuda wa Mungu ndio huu, kwamba amemshuhudia Mwanawe. 


MAMBO AMBAYO UYAZINGATIE KABLA YA KUANZA KUJIKOMBOA  DAMU YAKO.
✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍

1:Amini ndani yako na umpe nafasi Roho Mtakatifu Kutamka kila maneno atakayokupa wakati ukiomba.

2.Unapoomba Taja mifumo yote ya damu pitisha moto wa Yesu Kwenye Mishima ya Damu.

3.Andaa Sadaka Yako Unayoona inafaa kumtolea Mungu katika ukombozi wa Damu. 

4.Utaomba Siku 7 Usiku muda uliotulia Mfululizo bila kukatisha.

5.Siku Ukimaliza Utaituma hiyo Sadaka yako ya Maombi halafu Utanipigia Simu unanieleza nilikuwa maombi ya ukombozi wa Damu nitakuombea kudhibitisha ulichoomba.

6.Maombi haya yanatakiwa usiriazi na Andaa Sadaka Yako Nzuri Kiasi chochote na fanya maamuzi mwenyewe. 

✍✍NAMNA YA KUOMBA NAKUANZISHIA TU LAKINI UTAENDELEA KUTAMKA MANENO UTAKAYOYAONA YANAKUJA KINYWANI MWAKO.
✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍
Baba Katika Jina la Yesu Kila Pepo au Jini au Virusu na Mazalia ya magonjwa kwenye Damu Yangu kwenye seli zangu naikomboa Damu Yangu itoke kwenye magonjwa laana za umasikini Safishika Safishika Damu yangu Kwaaa  Jina la  Yesu(Kanzia)  Nakomboa Damu yangu kila virus vya H.I.V Sukari na kansa (Utataja haya magonjwa kama unayo tu kama huna usitaje) naamuru viteketee Viugue Kabisa kila mazalia yaliyozaa mateso umasikini vifungo vikauganishwa kwenye damu au mifupa yangu nawasha moto moto moto damu yangu iwe motoo Nachoma kwenye Damu Teketea ungua ungua mimi siyo wa magonjwa mimi siyo maskini mimi siyo.....(Taja taja kataa hali uliyonayo) Katika Jina la Yesu Yesu Yesu Yesu shughulika Baba Shughulika mwanao nikushuhudie katika Jina la Yesu.Amen 

Rudia kuomba ×8

Hata ukidodoka endelea kujikomboa

Tamka maneno unayoona Bado yanakuja kinywani mwako utaomba siku 7


✍✍

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.