RATIBA ZA GROUP WhatsApp

✍🏾✍🏾Ratiba Za Maombi Kwenye Group Letu ✍🏾✍🏾
Admin kiongozi: Bishop Richard 

✍🏾✍🏾JUMATATU
Tutaombea. 
.Toba na Kuugama Dhambi zetu na shukurani.

✍🏾✍🏾JUMANNE ✍🏾✍🏾
Tutaombea.
Kufungua Anga na Aridhi,Ndoa na Uchumba

✍🏾✍🏾JUMATANO ✍🏾✍🏾
Tutaombea. 
KUTAWALA NA KUMILIKI VITU KATIKA ULIMWENGU ROHO. KUKATAA KUMILIKIWA NA MATESO,MAGONJWA nk 

✍🏾✍🏾ALHAMIS ✍🏾✍🏾
Tutaombea. 
AJIRA,UCHUMI, AFYA,KIBALI.

✍🏾✍🏾IJUMAA ✍🏾✍🏾
TUTAFUNGA GROUP NZIMA.

Tutaombea Kila Kitu na Tutaambatanisha Sadaka za Maombi Tutakazozituma na kuabatanisha maombi kabla Pastor Richard hajapanda madhabahuni Saa.2:00 Usiku.

✍🏾✍🏾JUMAMOSI✍🏾✍🏾
Tutaombea 
Karama za Roho Mtakatifu, Wachungaji,Wajawazito,Wazazi ,nchi yetu na utawala wake,Pastor Richard na Huduma hii nk

✍🏾✍🏾JUMAPILI ✍🏾✍🏾
Tutaombea 
IBAADA, WAHUDUMU,WANASIFA na UJUMBE TUTAKAOHUDUMIWA KIROHO. 

✍🏾✍🏾Kila siku Tutakuwa na Mafundisho ya Neno la Mungu  mahusiano na ndoa

✍🏾✍🏾Tutakuwa Tunafungua Audio za maombi zitakazokuwa zinatumwa na Bishop Richard zitakazokufungua vifungo vyako mbalimbali vinavyokutesa.


✍🏾✍🏾RATIBA YA KUHUDUMIWA NA PASTOR(Bishop)RICHARD KWA WANAGROUP 
_________________________________

JUMATATU na JUMANNE 

Huduma itakuwa ya Ushauri, maombezi ya watu mbalimbali  kuanzia saa 2:00 Asubuhi mpaka saa: 2:00 Usiku

JUMATANO MPAKA IJUMAA 

Huduma itakayotolewa.
Huduma ya Macho ya Kiroho( kujua tatizo chazo nini na kinachokutesa na kusaindiwa kiroho zaidi)
Muongozo wa Roho Mtakatifu kadiri Atakavyosema Juu yako  kuligana na Tatizo lako.
 Kuanzia Saa.9;00 Asubuhi mpaka Saa.12:00Jioni Zingatia Muda

NAMBA ZA KUTUMIA KUONGEA NA PASTOR RICHARD 

Tigo+255710889892

VODA +255759861768

Karibu Kanisa la Holy Spirit Tanzania 🇹🇿 Moto wa Yesu(2wakoritho.3;6)
Lipo Morogoro Veta Dakawa 
Makao makuu Kata ya mbigiri wilaya ya kilosa Mkoa wa Morogoro Nchi Tanzania Bara la af  Africa 🌍 


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.