WATU 8 WAEPUKE UKITAKA KUFANIKIWA
SOMO;WATU 8 WAEPUKE KATIKA MAISHA YAKO
Kuna watu katika maisha yako unapaswa waepuke ili ufike mbali katika maisha yako
Usiabatane na Watu hawa kwa sababu watakwamisha hatua zako.
1;WATU WAJUAJI
Isaya;50;4-11 Mwanzo;15;8
Mwanzo 3:21-24
[21]BWANA Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Unto Adam also and to his wife did the LORD God make coats of skins, and clothed them.
[22]BWANA Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;
And the LORD God said, Behold, the man is become as one of us, to know good and evil: and now, lest he put forth his hand, and take also of the tree of life, and eat, and live for ever:
[23]kwa hiyo BWANA Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
Therefore the LORD God sent him forth from the garden of Eden, to till the ground from whence he was taken.
[24]Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.
So he drove out the man; and he placed at the east of the garden of Eden Cherubims, and a flaming sword which turned every way, to keep the way of the tree of life.
#Mtu mjuaji hayupo Tayari kuelekezwa anapokosea kwa hiyo ni ngumu kurekebishika
#Mtu mjuaji hujisifu kila kitu anakijua ukitaka kuogea atadakia hiyo stori asielewe inaishiaje.
#Maisha yao mengi huwa yanashindwa kuendelea kutoka na tabia yao.
2:WATU WENYE KIBURI
Ayubu;40;12 Zaburi;12;3
Ayubu 40:12
[12]Mtazame kila mtu mwenye kiburi ukamshushe,
Ukawakanyage waovu hapo wasimamapo.
Look on every one that is proud, and bring him low; and tread down the wicked in their place.
#Mtu mwenye kiburi hujiona bora yeye kuliko wegine
#Hujiona Anafaa hata Pasipo kiugo cha mtu mwigine
#Huendeshwa na tabia ya majivuno na majigambo mengi.
#Hathamini ya Wegine hujivunia yake tu
#Hapendi Ushirikiano anapenda Umimi mwigi Sana.
Waepuke watu watabia hii watakukwamisha kufanikiwa
3:WATU WENYE VISINGIZIO
Zaburi;101;5 Zaburi;140;11 Zaburi;109;20
Zaburi 101:5-6
[5]Amsingiziaye jirani yake kwa siri,
Huyo nitamharibu.
Mwenye macho ya kiburi na moyo wa majivuno,
Huyo sitavumilia naye.
Whoso privily slandereth his neighbour, him will I cut off: him that hath an high look and a proud heart will not I suffer.
[6]Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi,
Hao wakae nami.
Yeye aendaye katika njia kamilifu,
Ndiye atakayenitumikia.
Mine eyes shall be upon the faithful of the land, that they may dwell with me: he that walketh in a perfect way, he shall serve me.
Watu wenye visingizio huwa hawafai katika maendeleo yako kwa sabàbu kila kitu wao hujitetea kwa visingizio ili kukwepa usiwaelewe vibaya. Hata kama watakusaliti watasingizia mtu fulani aliyesababisha.
4:WATU WENYE KUHOJI KILA KITU
Marko;8;11 Mwanzo;43:7
Mwanzo 43:7
[7]Wakasema, Mtu yule alituhoji sana habari zetu na za jamaa yetu, akisema, Baba yenu angali hai? Mnaye ndugu mwingine? Nasi tukamjibu sawasawa na maswali hayo. Je! Tuliweza kujua ya kwamba atasema, Shukeni pamoja na ndugu yenu?
And they said, The man asked us straitly of our state, and of our kindred, saying, Is your father yet alive? have ye another brother? and we told him according to the tenor of these words: could we certainly know that he would say, Bring your brother down?
Watu wanaohoji kila kitu hutafuta madhaifu yako au Sababu Ya Kuweza Kupiga Jitihada zako unazokuwa unazifanya.
5: WATU WALIO NA TAMAA
Hesabu;11:4 Nehemia;6;16 Zaburi;55;11
Zaburi 55:11
[11]Tamaa mbaya zimo ndani yake;
Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake.
Wickedness is in the midst thereof: deceit and guile depart not from her streets.
Watu wenye Tamaa huwa ni watu wasiofaa Sababu hushindwa kuzitawala Hisia Zao nakupelekea Ndoto zao zimezwe na Tamaa au kupita njia zisizokuwa sahihi
6;WATU WAOGO NA WAZUSHI
Kutoka;20;16 Kutoka;23;1-7 Ayubu;13;4
Kutoka 23:1-2
[1]Usivumishe habari za uongo; usitie mkono wako pamoja na mwovu, kuwa shahidi wa udhalimu.
Watu waogo huwa hawafai hata kidogo hawaaminiki sababu hutoa taarifa zako kupeleka nje
7;WATU WANAOKUPIGA KILA KITU.(Wapizani)
Watu wapizani hawafai
8:WATU WENYE WIVU.
Mithali 6:34
[34]Maana wivu ni ghadhabu ya mtu;
Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi.
For jealousy is the rage of a man: therefore he will not spare in the day of vengeance.
HITIMISHO
Kila mtu hupenda afanikiwe katika maisha yake isipokuwa kuna baadhi ya watu hukwamisha hatua Zako basi ni vyema kuacha na watu wasiofaa
Wito
WhatsApp Pastor Richard +255759861768
Maoni
Chapisha Maoni