SOMO;MWIZI SUNGU WA FUNGU LA KUMI
SOMO: MWIZI SUNGU WA FUNGU LA KUMI NA LAANA YAKE
UTANGULIZI
Hakuna laana mbaya au wizi mbaya kama kusubutu kuwa mwizi wa fungu la kumi au kuwa mtu wa kusema umetoa fungu laku sijaona maana au kudharau Biblia inakemea Vikali Sana kwa mtu kumwimbia Mungu na mbaya Zaidi ufundishwe na mchungaji halafu jinsi ya kutoa fungu la kumi halafu ukaacha kufata utaratibu kama Baba yako wa kiroho.
#REJEA KATIKA MISITARI HII SOMA KISHA ACHA WIZI
_______________________________________
Malaki 3:8-15
[8]Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.
Will a man rob God? Yet ye have robbed me. But ye say, Wherein have we robbed thee? In tithes and offerings.
[9]Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
Ye are cursed with a curse: for ye have robbed me, even this whole nation.
[10]Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Bring ye all the tithes into the storehouse, that there may be meat in mine house, and prove me now herewith, saith the LORD of hosts, if I will not open you the windows of heaven, and pour you out a blessing, that there shall not be room enough to receive it.
[11]Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.
And I will rebuke the devourer for your sakes, and he shall not destroy the fruits of your ground; neither shall your vine cast her fruit before the time in the field, saith the LORD of hosts.
[12]Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
And all nations shall call you blessed: for ye shall be a delightsome land, saith the LORD of hosts.
[13]Maneno yenu yamekuwa magumu juu yangu, asema BWANA. Lakini ninyi mwasema, Tumesema maneno juu yako kwa namna gani?
Your words have been stout against me, saith the LORD. Yet ye say, What have we spoken so much against thee?
[14]Mmesema, Kumtumikia Mungu hakuna faida; na, Tumepata faida gani kwa kuyashika maagizo yake, na kwa kwenda kwa huzuni mbele za BWANA wa majeshi?
Ye have said, It is vain to serve God: and what profit is it that we have kept his ordinance, and that we have walked mournfully before the LORD of hosts?
[15]Na sasa twasema ya kwamba wenye kiburi ndio walio heri; naam, watendao uovu ndio wajengwao; naam, wamjaribuo Mungu ndio waponywao.
And now we call the proud happy; yea, they that work wickedness are set up; yea, they that tempt God are even delivered.
HII MISITARI INAKUPA UELEWE WEWE ULIYEMWIZI SUNGU WA FUNGU LA KUMI
LAANA TATU ZA WIZI SUNGU LA FUNGU LA KUMI
1;Uchumi wako Mungu ataruhusu walaji wawe wengi mara mikosi,kuibiwa, au kudhulumiwa nk.
Yaani unakuwa unatafuta pesa hakuna unachoweza kufanyia.
2:Afya yako itakuwa ya magonjwa kila siku utalalamika hili kesho hili familia nzima wachawi watakuroga na utarongeka mapepo yatakuvaa unakuwa wa kuaguka aguka mara kwa mara
3;Familia yako inashidikana unakuwa na watoto wasio na akili darasani watafeli mitihani Mungu hatasimama kufundisha wanao ndoa haitakuwa na Amani hata kuolewa itakuwa shida sana
Laana huwa zipo nyigi Sana kupitia wizi sungu la Fungu la kumi.
FAIDA ZA FUNGU LA KUMI KULITOA KWA UAMINIFU UKAACHA KURUKARUKA.
1:UCHUMI= husimamishwa na Mungu ukiwa na sifa ya uaminifu katika utoaji wa fungu la kumi lakini ukiwa siyo mwaminifu uchumi wako utaruhusu magonjwa madeni na mikosi isiyoisha.
Mithali 16:3
[3]Mkabidhi BWANA kazi zako,
Na mawazo yako yatathibitika.
Zaburi;37;5
2:AFYA=Hulindwa na Bwana Yeye atakufanya uwe mzima wa afya kutokana na uaminifu wako wa fungu la kumi toa kila mwezi
Soma vitabu hivi.
Yeremia 30:17
[17]Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, ambao hapana mtu .
Yeremia;33;6
3:FAMILIA: Huwa inatengenezwa na Mungu nayeye ndiye mwenye kuifanya iwe na Amani Furaha na Upendo ibarikiwe watoto na kufunga ndoa ni Mungu unapokuwa mwaminifu wa Fungu la kumi.
Isaya 54:13
[13]Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.
Mwanzo 14:20
[20]Ahimidiwe Mungu Aliye juu sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote.
Ibrahim alibarikiwa sana kutokana na uaminifu wa fungu la kumi nawewe je anza Leo kutoa zaka.
UTARATIBU wA MADHABAHU YA MOTO WA YESU
Shika fungu lako la kumi au acha kwenye simu kama ipo humo. OMBEA MAHITAJI MATATU TU
OMBA HIVI
FUNGU LANGU LA KUMI LA MWEZI HUU...NINAOMBA LIKAONGEE KWA HABARI YA UCHUMBA WANGU MWAKA HUU TARATIBU ZIKAKAMILIKE 2.LIKANIPE KIWANJA NIWE NA KWANGU 3.NIKAPANDISHWE DARAJA NA KULIPWA PESA ZANGU ZOTE NALITOA KATIKA MADHABAHU YA MOTO WA YESU.
KISHA UNATUMA NAMBA HIZI
CRDB BANK 🏦 0152361572400
M-PESA +255759861768
TIGO PESA +255710889892
Western union Worldremit. RICHARD JULIUS KUSHOKA NCHI Tanzania Neno la Siri west union ARUSHA
Maoni
Chapisha Maoni