SOMO;MAOMBI YA VITA DHIDI YA FALME ZA NGIZA
SOMO: MAOMBI YA VITA DHIDI YA FALME ZA NGIZA
Maombi ya Vita ni nini?
Maombi ya Vita ni mwanamaombi Kwenda Kupambana na ulimwengu wa roho majeshi na falme za ngiza kudai haki zake.
MAOMBI HAYA HUZINGATIA YAFATAYO
1;Kutembeatembea unapoomba
2;Kutamka maneno kwa amri na mamlaka
3;Kushughulika na Anga na falme za ngiza
4;Kusimama na mstari mfano; 2wakoritho;10:3-6 Warumi;8;35 nk
SIRAHA UNAZOPASWA UZITUMIE KATIKA MAOMBI YA VITA.
1;Jina la Yesu
2;Moto wa Yesu
3:Malaika wa Vita na malaika wa Moto
4:Roho Mtakatifu
5:Neno la Mungu
6;Mapanga,Mishale,Nyudo,mawe, Yalete katika ulimwengu wa roho.
MAMBO AMBAYO HUPASWI UYAFANYE HALAFU UINGIE KATIKA MAOMBI YA VITA
1:Kuzini halafu unaenda kufanya maombi ya Vita
2:Kutokusamehe halafu unaingia kuomba
3:Manug,uniko au umejikatia tamaa unaingia kupigana Vita ya ulimwengu wa roho utashindwa
HITIMISHO
NINI TUFANYE SASA ILI TUWE WANAMAOMBI WAZURI.
Tunapaswa tujipe mazoezi ya kuomba mara kwa mara maana Maombi ni Pumzi ya mtu aliyeokoka kama umeokoka unapaswa upumue kwa maombi.
WITO
Tukaombe Tubomoe kila falme na Anga linalofatilia kanisa kuwarudisha watu nyuma kulifanya lipoe au watu wasisimame na wokovu omba huku unatembeatembea
Maoni
Chapisha Maoni