SOMO:MAOMBI YA MWAKA 2023 WOTE
MAOMBI KUNDI LA KWANZA
TUTAOMBEA Kila JUMATATU MWAKA WOTE 2023
Mstari wa Mwaka
Zaburi:20:1
•••••°°°°°°°•••••••°°°°°°°••••••
Litashughulika Kuombea Rehema na Toba Kanisa la Moto Wa Yesu na Waumini wote na watoto wote wa Pastor Richard (Bishop Richard) Tutawaombea Rehema Kwa Mungu.
•••••°°°°°°•••••••~~~~~~~~
Tutafungua Kwa Toba Kuwaombea Toba na msamaha watoto wote wa Pastor Richard na group nzima
________________^^^^€€^^^^^^^^^^^^^^^^^^£££
●:Ee Bwana Yesu naja mbele zako mimi mtoto wako mtumishi wako nalibemba Kanisa langu la Moto Wa Yesu na Muumini mmoja mmoja ninaomba umsamehe kila alipokukosea katika Jina la Yesu Kwa niaba Yake Nasimama mbele zako kumuombea rehema mrehemu Bwana Samehe hata kanisa lako lilopokukosea Shuka Bwana ukawafungue watu na ukawatendee Katika Jina la Yesu.
(Rudia ×3) Piga ngoti ombea rehema kwanza kisha Tuendelee.
Mistari ya Kusoma na Kutafakari Uombapo Rehema
Zaburi 51:1
[1]Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
°°°°°°°°°•••••••
Zaburi 100:5
[5]Kwa kuwa BWANA ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
••••••••••••••°°°°°°°°°
Maombolezo 3:22
[22]Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
•••••●●●HAPA TUTAOMBEA MAHITAJI YOTE YA WATOTO WA KIROHO NA WANACHAMA WOTE KATIKA GROUP LETU●●
~~~~~~~°°°°°°°°°°•••••••~~~~~~°°°°°°
●.Baba ninamleta mbele zako kila mtoto wa Pastor Richard Katika mahitaji yake katika changamoto zake Bwana Mungu wa Majeshi Nenda Ukamjibu Katika Jina la Yesu.Amen.
(Rudia ×2)
●Baba Uliyeketi Katika Kiti cha Enzi Wewe ni Mtakatifu na Wanaokufata ni Watakatifu Kila mienendo Ya dhambi au Vitabia Vya Dhambi vinavyofatilia kanisa lako la Moto Wa Yesu Navichoma nachoma kila vimelea vya dhambi chembechembe za dhambi katika ulimwengu wa roho viachie kanisa lako katika Jina la Yesu.Amen
(Rudia ×2)
●.Baba Najileta mbele zako na mimi mwenyewe Richard (Taja Jina lako) naomba Baba ukanitendee mahitaji Yangu Namimi nishuhudie kama wegine Katika Jina la Yesu.Amen
●.Shusha moto ukalambe kila mitengo na mipango inayokaliwa kwa habari ya uharibifu wa kazi yangu uchumi wangu watoto wangu Huduma yangu nachoma moto moto moto wa Yesu uwake ukaharibu kabisa katika Jina la Yesu.Amen
(Rudia ×6)
●.OMBEA Mahitaji Kadiri roho wa Mungu Anavyokuogoza
KISHA UTANYOSHA MIKONO JUU UNAPIGA MAKOFI UNASEMA HIVI.
☆*Ansate Bwana Ansate Yesu Ansate Sana Maana Umetenda Kwangu Maana Umejibu Kwangu Nakushukuru Sana Katika Jina la Yesu.Amen 🙏 *☆
KUNDI LA KWANZA MAOMBI YENU YATAISHIA HAPA MUDA WA KUOMBA NI WEWE UNAPOAMKA ASUBUHI NA JIONI UKIMALIZA KAZI ZAKO
OMBA MANISHA YAPO MAJIBU.
TAFADHALI PITIA MISITARI HII MUNGU ANASEMA KITU
Mika 6:8
[8]Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyo mema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako!
°°°°°°••••••°°°°°°°°°°°••••••••••
Wagalatia 6:16
[16]Na wote watakaoenenda kwa kanuni hiyo, amani na iwe kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.
Kama unakuwa hujaelewa nifate inbox WhatsApp Pastor Richard +255759861768
•••••••°°°°°°°°°•••••••••°°°°°°°°°•••••••••°°°°°°°°°
•••••~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~•••••
MAOMBI YA KUNDI LA PILI WATAOMBA KILA JUMANNE MWAKA WOTE 2023
Mstari wa Mwaka Zaburi:20;1
Neno;2023 Ni Mwaka Wa Majibu.
Maombi haya utaomba Kufungua Anga na Aridhi na ndoa yako iliyokosa mwelekeo Iweze Kuachia Baraka na Majibu Ya Watoto Wote Wa Bishop Richard Popote walipo ndani na nje ya Tanzania.
◇◇☆OMBA HIVI◇☆
●.Baba Katika Jina La Yesu Nalifungua Anga langu Nalifungua Anga la Kanisa la Holy Spirit (Moto Wa Yesu Lifunguke kila mkoa kila nchi Kila Kata Kila Wilaya Kila Kijiji Nafungua Kanisa hili likaenee Kila mkoa likaenee kila nchi Kwa Jina la Yesu.Amen.
(Rudia×3)
●.Anga langu la Huduma Funguka Anga langu la uchumi funguka Anga langu la kazi funguka Anga langu la Maombi Funguka Anga langu la mahusiano ya ndoa funguka Nafungua Anga zangu zifunguke katika ulimwengu wa roho katika Jina la Yesu.Amen.
(Rudia ×4)
●Nafungua Aridhi hii ninayoikanyaga kuanzia sasa ikanipokee na kunitii ikaniletee Baraka za kila aina Ikanene Ushindi Katika Vita vyagu vyote vya kiroho ikawameze adui zangu wote wanayoishirikisha Kwa kuiambia inilaani Natamka aridhi italeta Baraka katika jina la Yesu.Amen
Rudia ×6
●Aridhi umebarikiwa kwa ajili yangu wala hujaamuriwa uniletee madumadu au nzige bali ukazae Miche Mazao matunda ya kila aina nitakapokulima ulete chakula magunia na magunia Katika Jina la Yesu.Ame
(Rudia×2)
●Nakuamuru Anga Mateteni Kata Ya Mbigiri Ukawalete watu Kwa Yesu Waokoke Na Aridhi nakuamuru kila moyo uliombishi Wa Kuokoka ukaokolewe aridhi usiruhusu wakutoroke kamata nyayo zao walete kwa yesu watoe kwenye dhambi watoe kwenye ushirikina wao Katika Jina la Yesu.Amen
(Rudia ×2)
●Tangazia Aridhi na Anga likujue wewe ni nani?
NATANGAZA MIMI NI Pastor Richard mtumishi wa Mungu mbigu zimenikubali na Mungu Amesaini mkataba wa kudumu kufanya kazi yake Sasa aridhi na Anga mjue na mnitambue muachie kila kilicho changu katika jina la Yesu.Amen
Rudia ×1
Maombi haya Yaombe Alfajiri Saa 11:00 mpaka 1:00 Asubuhi
Kila Jumanne wenye kundi hili pia ombea kufungua anga lako.
KISHA OMBEA NDOA YAKO NA MAHUSIANO YALIYOKOSA MWELEKEO
••••••••°°°°°°°°°°•••••••••••••°°°°°°°°°°°°°°••••••
Kuna mambo matatu kwa watakaomba warudiane na Wake zao au Waume wao
1:Hakikisha ni mumeo au mkeo uliyemtolea au umetolewa mahari.
Usiende mbele za Mungu kumwambia akuridishie mume au mke wakati hujatoa mahari.
2.Hakikisha Unatambulika kwao
Usianze kumwambia Mungu akurudishie mke au mume ambaye hajulikani
3.Hakikisha mmefunga naye ndoa
Kwa Kuzingatia haya maombi yako yatakuwa na kibali mbele za Mungu
OMBA HIVI KUMRUDISHA MMEO au MKEO
●.Narudisha mume/mke wangu kila roho iliyomvaa nakumfanya aondoke nyumbani au anifukuze au avunje angano letu la ndoa naamuru afunguliwe katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
●Navunja kila mawazo kila Tabia zinazoingilia ndoa yangu nakuiharibu ndoa yangu katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×2
●Ombea ndoa yako au mumeo au mkeo
Tamka kuvunja kila roho inayotaka kuharibu Amani omba kwa kumanisha
Pia ombea kila ndoa za wanagroup na watoto wote wa Pastor Richard
Tembea na maombi haya kwa imani utaona matokeo
Kama hujaelewa Tuma inbox sms WhatsApp Pastor Richard +255759861768
Ansateni Kwa Kundi la Pili Kumaliza Maombi salama
°°°°••••••••°°°°°°°•••••••••°°°°°°°°°••••••°°°°
MAOMBI YA KIKUNDI CHA TATU
TUTAOMBA KILA JUMATANO MWAKA WOTE.2023
Tutaombea :"Kuutawala ulimwengu wa roho Na kuumiliki" Kuwa na nguvu na mamlaka katika ulimwengu wa roho"
Tusome hii mistari kwanza
●2 Wakorintho 10:3-5●
[3]Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili;
[4](maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;)
[5]tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo.
☆☆□□OMBA HIVI ☆☆□□
●.Namiliki Anga natawala Anga la Eneo hili nilipo Natawala hewa na miliki hewa naitakasa kwa jina la Yesu naisafisha hewa nafuta naifuta kila hewa ya magonjwa kila hewa ya uharibifu inayotumwa kwenye Anga kwa Jina la Yesu.Amen.
Rudia ×3
●.Kila silaha inayotumwa kwenye mawazo yangu kwenye fikira zangu naibomoa katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×1
●.Kila mipango ya vizuizi katika maombi yangu au mashitaka anayoyapeleka shetani nasema hayatafanikiwa na mikakati yake yote juu yangu juu ya kanisa la Holy Spirit haitafanikiwa katika Jina la Yesu.Amen.
Rudia ×2
●Navunja nakubamiza kila uzito na uchomvu au uvivu wa kuomba naharibu Anjeda zote za kichawi Na zakipepo zinazopitia watu wangu wa karibu au mazingira yangu katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
●Nautawala ulimwengu wa roho nabinduapindua kila uongozi ulivyopangiliwa kwenye Anga langu nakaa mimi naanza kuliopareti Anga Kama nitakavyo mimi siyo litakavyo lenyewe katika Jina la Yesu.Ame
Rudia ×3
●Kila roho ya kunitenga na wokovu au uzezeta wa kiroho au upofu wa kiroho ninaufuta katika jina la Yesu.Amen
Rudia×5
●.Ongeza Maombi Yako omba
Rejea Mistari hii unapoomba
_____^^^^_______^^^^^^______
Mungu hutufundisha mapambano katika
ulimwengo wa roho
2 Samweli 22:35
[35]Ananifundisha mikono yangu vita;
Hata mikono yangu yaupinda upinde wa shaba.
••••••°°°°°°°°°••••••••••°°°°°°
Mungu atatokea kushambulia adui zetu tunapomuomba kwa imani.
Isaya 42:13
[13]BWANA atatokea kama shujaa;
Ataamsha wivu kama mtu wa vita;
Atalia, naam, atapiga kelele;
Atawatenda adui zake mambo makuu.
•••••°°°°°°°••••••••
Ni raha sana kujielewa Mungu Amekuchora katika viganja vyake jivunie hilo katika maombi yako omba kwa imani.
Isaya 49:16
[16]Tazama, nimekuchora katika vitanga vya mikono yangu; kuta zako ziko mbele zangu daima.
Hapa Kikundi Tunamaliza kwa Kumshukuru Mungu nyosha mikono juu huku unatembeatembea unapiga makofi.
Kisha omba Nayafunika Maombi Yangu Kwa Damu Ya Yesu Katika Jina la Yesu.Amen
Hakikisha uombe ukiwa umetulia huna shughuli kila inapofika Jumatano Tu.
Kama Hujaelewa Nifate inbox WhatsApp Pastor Richard +255759861768
••••••••°°°°°°°°••••••°°°°°°°°°•••••••••°°°°°°°°°°°
~~~~~~~~~~~~~~~--------_______^^^^^
KUNDI LA NNE (4) LITAOMBEA UCHUMI KAZI ZA WATOTO WOTE WA PASTOR RICHARD AFYA ZAO MUNGU AZILINDE NA KUPONYA
Kila Alhamis Kundi hili litaombea kazi zetu uchumi wetu Afya zetu.
2023 Mwaka Wa Majibu
Mstari wa mwaka Zaburi:20:1
OMBEA KAZI YAKO
●Kuanzia Leo Kila Kazi ninayoifanya nitakutolea Fungu la Kumi nami nitakukabidhi wewe Bwana mipango uidhibitishe Sawasawa na Neno lako Mithali. 16; 3 Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
●Kila roho inayofatilia Biashara Zangu au Kazi Zangu Mipango yangu naiharibu nakuifuta kabisa katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×7
●Kazi zangu na Mipango yangu itasimamiwa na Bwana Yesu Nimeamua Leo Kumkabidhi Yeye Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×2
●Ombea kazi zako mara zote unapoingia ofsini na kutoka omba hivi
Naibariki kazi yangu nakuitakasa katika Jina la Yesu.Amen
Naomba Bwana ilinde kazi Yangu na Uzidi kuniongezea wateja na kuniongezea kipato unipe hofu ya kuwa mwaminifu kwako Katika Jina la Yesu.Amen
•••••••°°°°°°°°OMBEA UCHUMI °°°°••••••
●Baba Bariki uchumi mara 7×70 Unipe mahitaji yangu ya kila unimizie haja zangu kama unavyowatimizia huko Juu Naomba ufanye hivyo nakwangu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
●Uchumi wangu hautamilikiwa na magonjwa au Mikosi mikosi kuanzia Leo wewe uchumi wangu utulie mikononi mwangu katika Jina la Yesu.Amen
●Kila Mtoto wa Madhabahu hii Anayelia Kwa habari ya Uchumi wake ukausimamie na ukamjibu ombi lake Sawasawa na Anavyokuomba katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×5
●OMBEA UCHUMI WaKo mara kwa mara Unapoamka.
•••••°°°°°°°°•••••OMBEA AFYA YAKO•••••°°°°°
●Mungu Baba nakuomba Uniondale magonjwa yangu yote mwilini kwenye damu yangu kwenye hewa yangu kwenye mifupa yangu katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×7
●Naomba Unisamehe Bwana Kila nilipokosa kwako ukaruhusu pesa zangu ziishie kujitibia Baadala Ya Kufanya kazi yako pesa zangu adui anazitumia na kuniendesha Sasa sitaki hii hali katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×6
●Ombea Afya Yako mara kwa mara fanya hivyo kuimarisha afya yako.
Tafadhali hii misitari Soma Tafakari.
_______^^^^^____________^^^^^^____^^^
""Mungu ndiye aliyekupa kazi yako""
Zaburi 33:15
[15]yeye aiumbaye mioyo yao wote
Huzifikiri kazi zao zote.
""Nafsi yako inakuwa na afya unapomulinda Bwana""
Zaburi 25:13-15
[13]Nafsi yake itakaa hali ya kufanikiwa;
Wazao wake watairithi nchi.
[14]Siri ya BWANA iko kwao wamchao,
Naye atawajulisha agano lake.
[15]Macho yangu humwelekea BWANA daima,
Naye atanitoa miguu yangu katika wavu.
""Kufanikiwa Katika Kuitii sauti ya Mungu""
Yeremia 22:21
[21]Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu.
""Afya yako Bwana Atailinda""
Isaya 58:8
[8]Ndipo nuru yako itakapopambazuka kama asubuhi, na afya yako itatokea mara; na haki yako itakutangulia; utukufu wa BWANA utakufuata nyuma ukulinde.
KAMA Unakuwa hujaelewa au unatatizo unataka kuogea nami piga saa 12:00Jioni
WhatsApp Pastor Richard +255759861768
▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
______^^^^^______^^^^^^______^^^^^_______
KUNDI LA TANO (5)LITAOMBEA MAHITAJI YA WATU NDANI YA GROUP NA KANISA LA MOTO WA YESU MAONO NA UONGOZI WA KANISA PAMOJA NA PASTOR RICHARD
YATAABATANA NA SADAKA HAYA.
Kundi hili litaomba kila Ijumaa na Kila Atakeyeomba Atafunga masaa 12 Pia atakuwa na Sadaka Yake Ya Maombi ya Kufunga na Kuomba.
MAOMBI YA KUFUNGA NDIYO NINI?
___________________________________
Nikuutisha mwili wako ukae bila kula au kunywa siku Zima ukae miguuni mwa Bwana.
■□□□□■Mistari Ya Biblia■ □□□□■
Mathayo 4:2
Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.
Zab 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.
FAIDA ZA KUFUNGA NA KUOMBA
1:Maombi ya Kufunga Yana nguvu Sana Yakukuvusha Pale umekuwa ukishindwa kuvuka miaka na miaka.
Mstari huu Soma;
Mt 17:21
[Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.
••••°°°°°OMBA HIVI••••°°°°°
●Kupitia kitabu cha Mathayo 17:21 Mungu Umesema Kuna Mambo hayawezi Kufunguka Kwangu mpaka nifunge Leo hii ninaamuru roho ya usingo roho ya utasa roho ya malipizi katika ulimwengu wa roho ninaupiga katika Jina la Yesu kila kilichoshindikana kwangu kupitia maombi haya yatafunguka pokea na Sadaka yangu nakutolea katika madhabahu hii ya moto wa Yesu: Amen
Rudia×8
2;Maombi Ya Kufunga Yatakupa Kibali Kwa Watu na Kwa Mungu Yaani mpaka utashagaa
Utakavyokubarika
Soma huu mstari;
1 SAMWELI 2:26 ”Na Yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa BWANA, na kwa watu pia.”
••••°°°°°OMBA HIVI••••°°°°
●Bwana Naomba Unipe Kibali na Unitambulishe ofisini Kwangu na Kwa Bosi wangu kwa wateja wangu kwa watu wangu nataka wakiniona tu wakuone wewe ndani Yangu Unipe utambulisho Ambao mwanadamu hatauzima au Adui Yoyote Yule katika ulimwengu wa Roho sawasawa na kitabu cha 1samweli 2:26 Naabatanisha na Sadaka Yangu Ya Maombi Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
3:Maombi Ya Kufunga Yatakufumbua Macho yako Ya Rohoni uone uliyokuwa huyaoni uyaone na hata adui zako utawajua mengi utajua vyema.
Soma huu mstari:
Zaburi 119:18 Unifumbue macho yangu niyatazame Maajabu yatokayo katika sheria yako.
••••••°°°°°°OMBA HIVI ••••°°°°°°°
●Bwana Yesu Fumbua macho yangu niweze Kuwa naona katika roho nipe macho ya rohoni kama Zaburi 119:18 Umesema nitakapokuja mbele zako kwa kuomba na kufunga Utanifumbua macho yangu nifumbue sasa katika Jina La Yesu.Amen
Rudia ×4
4:Maombi Ya Kufunga huwa yakuongeza kiwango cha imani na mpaka kupelekea ufanye miujiza mikubwa ya kuponya watu nakufungua watu.
Warumi:10;17
▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
Soma mistari hii
Yohana 20:30
Yesu alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki.
▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
Matendo Ya Mitume 19:11
Wana Wa Skeva Wajaribu Kutoa PepoNa Mungu alifanya miujiza mingi ya ajabu kwa mkono wa Paulo
°°°°•••OMBA HIVI•••°°°
●Baba Yangu Naja mbele zako mimi mwanao Richard Ninaomba Ukanitumie kutenda miujiza mikubwa mikubwa unitendee miujiza Bwana Uniponye magonjwa Yangu Unitengeneze Sawaswa na miujiza uliyotenda zamani naabatanisha na sadaka yangu hii ya Maombi Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×7
5:Maombi Ya Kufunga Utafungulia malango ya Baraka na Milango itafunguka kwa kasi ya Juu Sana.
▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎▪︎
Soma mstari huu
Kumb.Torati 28:3
Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani
••••°°°OMBA HIVI°°°••
●.Baba Nashukuru Maana umenibariki Sasa kila kazi nayoifanya na kila Biashara ninayoifanya iwe mjini au iwe huko kijijini kwetu nilikotoka umeibariki na hayupo atakayezuia Baraka hizi Naabatanisha maombi Yangu Na Sadaka hii ya maombi ipokee katika madhabahu yako naomba nikiamini katika jina la Yesu.Amen
Rudia ×5
6.Maombi Ya Kufunga yatakufanya uwe na ujazo wa Roho Mtakatifu uliofurumia masaa yote.
Mstari huu Soma
Matendo 11:24
Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.
••••°°°OMBA HIVI °°°•••••
●Bwana Yesu Ansate Yesu Ansate Yesu Nashukuru kwa ajili ya kunijaza nguvu zako za Roho Mtakatifu ninaomba Bwana Uogeze kila siku ufurike kabisa niwe wa ujazo wa Roho Mtakatifu Naabatanisha na Sadaka yangu Bwana nakutolea wewe Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×10
7:Maombi Ya Kufunga Huachilia Toba Ya Kweli Yenye nguvu mbele za Bwana.
°°°°•••••~~~~
Mstari huu soma;
2 Nyakati 7:14
ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
°°°°••OMBA TOBA YA KUMANISHA°°°°°•••••
●Eeeh Bwana Yesu Naomba unisamehe mimi mwenye dhambi nimekukosea Sana Katika mawazo yangu fikira zangu nature nakuziugama dhambi zangu nifutie kila hatia unifute kwenye kitabu cha hukumu na mateso ukaniandike kwenye kitabu cha Uzima Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
8:Maombi Ya Kufunga Yakupa mume/mke sahihi na utafurahia ndoa yako.
-----=====
Soma hii mistari
Mithali. 31:10-11
10. Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11. Moyo wa mumewe humwamini,Wala hatakosa kupata mapato.
••••°°°OMBA HIVI •••°°°°
●Bwana wewe ndiye unayemjua mume wangu/Mke wangu Katika akili zangu na mawazo yangu nimeshindwa kumjua naomba unikutanishe naye mwaka huu kabla kuisha niwe nimeolewa katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×3
9;Maombi Ya Kufunga hufanya kila kitu na kukupa matokeo ya haraka Sana.
=========~~~~~~~
Mstari huu Soma.
Marko 9:23
Yesu akamwambia, “Kama ukiweza kuamini, yote yawezekana kwake yeye aaminiye
°°°°°••••OMBA HIVI °°°°••••
●Baba ninaamini hata hili nalopitia wewe Bwana Unaenda Kutenda na Kunijibu Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×4
10:OMBI LA KUMI ENDELEA KUOMBA SASA MAHITAJI MBALIMBALI NENDA HATA NUSU SAA.
Ni muda wowote Mwisho jioni Saa 12:00 Jioni unapofungulia
KISHA SADAKA YAKO UTAITUMA KABLA YA MBILI USIKU SIJAPANDA MADHABAHUNI
M-PESA +255759861768
Tigo Pesa+255710889892
CRDB BANK 🏦 0152361572400
Worldremit/Moneygram/Narra/west union
Jina LITATOKEA RICHARD JULIUS KUSHOKA
___IJUMAA PEKEE TUTAFUNGA NA TUTAKUWA NA SADAKA TAFADHALI OMBA KWA IMANI MANISHA NA Hakikisha Unasimama Kuomba Kwenye Kundi lako
Maombi haya yataabatana na ya kanisa ambapo kila ijumaa tunafunga
Maoni
Chapisha Maoni