JINSI Ya Kutoa fungu la kumi madhabahu ya moto wa Yesu
SOMO;JINSI YA KUTOA SADAKA YAKO FUNGU LA KUMI.[ KATIKA MADHABAHU YA MOTO WA YESU)
Linalenga kwa watoto wa Madhabahu Ya Moto Wa Yesu wanaotuma mafungu yao
TORATI.14;22
Hapa natoa maelekezo tu jinsi ilivyo mhimu kujua faida na hasara za kutoa zaka kwa kurukaruka
FAIDA ZA MTU ANAYETOAGA FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU.
1-LAZIMA AJIBIWE MAOMBI YAKE.
2-LAZIMA KILA OMBI LAKE LIAGUSHE UTAWALA WOTE WA GIZA
3-KILA JAMBO LAKE HUSTAWI
4-BIASHARA KIPATO HUFANYA KITU KIDOGO KIKAMPA FAIDA
5-HAPOTEZI PESA MSHAHARA MALI YAKE FAIDA INALINDWA NA BWANA.
6-HUPONYA NA KUMWINUA MTU
NK
HASARA ZA YULE MTU ASIYETOA FUNGU LA KUMI.
1-ATAFANYA KAZI ASIONE FAIDA
2-BIASHARA PESA MSHAHARA MALI ZAKE ZITATEKETEA ASIJUE PESA IMEISHA VIPI.
3-ASILIMIA ANAZO CHACHE ZA KUJIBIWA MAOMBI.
4-HAPONYWI WALA HAPOKEI ZAIDI YA KUPOTEZA.
KUNA AINA MBILI ZA KUTOA FUNGU LA KUMI.
1-KUHUBIRI INJILI KUWAKOMBOA WALIOPOTEA NA KUWAOMBEA WAGONJWA NA KUWATEMBELEA KUWATIA MOYO
2-KUTOA PESA AMBAYO HUANZIA SH.100 KATIKA 1000
100=1000
500=5000
1000=10000
KWA MWENZI KWA WAFANYA KAZI.
KWA WIKI AU MWEZI KWA WAFANYABIASHARA
KWA MKULIMA KWA MWAKA ANATOA KULINGANA NA MAVUNO
KILA DEBE LA NAFAKA ANATOA SADO 1
KILA JUNIA ANATOA DEBE 1
ANAPELEKA KWA BWANA
KABLA UJATOA HILO FUNGU LA KUMI
MUOMBE MAOMBI MATATU(3)
1-NATAKA KUPITIA HILI FUNGU UKOMBOE FAMILIA YANGU NA UISAMEHE ILIPOKUKOSEA UMULIKE.
2-NATAKA FUNGU HILI LA KUMI UNIPONYE H.I.V KISUKARI MARADHI UJENGE AFYA DANI YANGU MIFUPA YANGU
3-NATAKA FUNGU LA KUMI HII UNIINUE KIPATO CHANGU.
Nalitoa katika madhabahu hii ya moto wa Yesu ipokee na ikatende kwangu katika jina la Yesu
Kisha Namba za Kutuma zaka yako
Katika madhabahu hii ya moto wa Yesu kwa watoto tu wa madhabahu hii
M-PESA+255759861768
Tigo Pesa +255710889892
CRDB BANK 🏦 0152361572400
Worldremit/west union
JINA LITATOKEA● RICHARD JULIUS KUSHOKA Nchi Ya Tanzania 🇹🇿 Mji Morogoro
HII INAWAHUSU WATOTO WOTE WA HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA YAANI HUDUMA YA ROHO MTAKATIFU TANZANIA.
₩NAKADHIA
Toa fungu la kumi kama angizo na lazima kwako (Malaki;3;10 )mambo mengi yanafungwa kwako kutokana na udokozi wa fungu la kumi.
Unalitoa katika madhabahu Mungu ambayo amekupa kama wewe madhabahu yako moto wa Yesu kwa Pastor Richard utatoa hapohapo kama ni kwa mchungaji Roma utatoa hapo hapo kwa uaminifu sana.
MAMBO HAYA HUJIBIWA NA ZAKA
1;Matatizo ya Afya toa zaka kwa uaminifu bila kurukaruka utapona.
2.Matatizo ya uchumi toa zaka tu uchumi utakaa vizuri usirukeruke.
3.Familia namanisha ndoa/maelewano/watoto huzai toa zaka tu utamuona Mungu
Tatizo lilopo watu hawana msimamo wa utoaji wa zaka Leo atatoa sehemu fulani kesho atatoa kwa mchungaji mwigine mara apeleke kwa Yakima wajane wakati zaka hutolewa madhabahuni unamkuta mtu unaanza kujichanganya nakukosa Baraka zako.
Fungu la kumi usilitoe ovyo ovyo kama huelewi bora umuulize baba yako wa kiroho fungu la kumi litoe kwa baba yako wa kiroho.
Wito
Karibu Uaze kutoa mwezi huu ambaye umekuwa ukiteseka chanzo cha uponyaji ni kutoa zaka
Maoni
Chapisha Maoni