SOMO:SADAKA YA KUTEKETEZWA
SOMO: NGUVU YA SADAKA YA KUTEKETEZWA
Tufunue Vitabu; Mwanzo;22;2_13 Kutoka;29;18-42, 1SAMWELI;13:5-15
UTANGULIZI
Hii ni Sadaka inayotolewa na mtu mmoja mmoja haitolewi kwa kikundi au kifamilia Inapotolewa mtu huyu anakuwa na tatizo lilomshikilia miaka mingi Ameombewa Sana Ametoa Fungu la Kumi hiyo hali haijamtoka hupaswa atoe Sadaka ya Kuteketezwa katika madhabahu yake nakupewa muongozo wa kuiombea hiyo Sadaka.
MAANA YA SADAKA YA KUTEKETEZWA= Ni Sadaka inayoenda kuteketeza maangano miungu na magonjwa na uharibifu ambao mwilini au katika maisha yako Ulifanyika.
Mfano:1 Mungu alipoona watu wanazidi kutenda dhambi na kila mtu yupo na mawazo ya dhambi aliamua atoe Sadaka akamtoa mwanae Yohana:3:16 Hali iliyokuja kuleta upatanisho na Mwanadamu.
Mfano:2
Elia alipoona Miungu ya Baahari imetawala kwenye taifa lake na eneo lake alitoa sadaka ya kuteketezwa akauwa miungu yote nataifa likamjua Mungu 1Wafalme:18;20-46
UMHIMU WA SADAKA YA KUTEKETEZWA
Sadaka Ya Kuteketezwa mpaka Leo Kwetu inaumuhimu mkubwa sana kutokana kuna vitu tunaombewa nakuomba wenyewe hatuoni matokeo kwa sababu tunaitaji kuviteketeza miugu au roho za kale zilizotutumikisha Sema tunakuwa hatujui.
MAMBO YANAYOTUJULISHA YANAITAJI SADAKA YA KUTEKETEZWA ILI YAISHE.
1:Ukiona unaombewa tatizo linajirudia haliishi ujue unatakiwa Sadaka ya kuteketezwa.
2:Kama Unahuduma yako harafu haikuwi ipo viwango vya chini miaka nenda rudi unatakiwa utoe Sadaka ya kuteketezwa
3.Ukiwa Unapitia Pito lisiloisha yaani njia zote umejaribu hilo pito lipo palepale Toa Sadaka Ya Kuteketezwa
4.Ukiwa unaitaji nguvu ya kiroho Mungu akutumia utatoa Sadaka Ya Kuteketezwa.
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUTOA HII SADAKA YA KUTEKETEZWA
___________________________________
Kuna vitu unapaswa uwe makini navyo kabla hujaitoa
1:Uwe unavingezo hivyo juu nilivyoorodhesha
2:Uwe umeshuhundiwa moyoni mwako kutoa Sadaka Ya Kuteketezwa
3.Uwe tayari unamaandalizi ya kutoa Sadaka yaani utiyari.
4:Utatoa kwenye madhabahu ya mchungaji aliyekuelekeza Kutoa Sadaka Ya Kuteketezwa kwa kufata maombi na maelekezo ya Sadaka hiyo.
JINSI YA SADAKA YA KUTEKETEZWA INAVYOTAKIWA IWE
____________________________________^^^
Sadaka Ya kuteketezwa huumiza na huwa ni tukio kubwa sana linaloenda kufanyika katika
Ulimwengu wa Roho kuna maangano makali utayateketeza kuna vitu vilivyokushikilia katika ulimwengu wa roho vitakuachia Sio jambo ndogo hili.
1:Sada ya Kuteketezwa Huwa ni kitu kikubwa cha thamani inayokuuma Kama vile
a.Gari
b.Nyumba
c.Shamba
d.Kiwanja
e.Ng,ombe dume aliyenona.
f.Nguruwe dume aliyenona
g.Kondoo dume aliyenona
h.Mbuzi dume aliyenona
I.Mshahara wako wote
Sadaka hii huuma mno na huchoma ndiyo maana nikasema mtu anayeitoa awe tayari kuyateketeza roho zinazomtesa na kumuhagaisha kwa kutoa nyumba au kiwanja au gari kwa ajili ya Bwana.
KABLA HUJAITOA UTAIOMBEA SADAKA HII SIKU 7 KWA MUDA NA SAA ZINAZOFANANA USIPISHANISHE MUDA.
PIA UTAPASWA UNIPINGIA NA KUNIJULISHA KAMA BABA YAKO WA KIROHO
JINSI YA KUOMBA
Mimi mwanao Richard Nimeshika hii Sadaka ya kuteketezwa au ninaleta nyumba yangu iwe Sadaka ya kuteketeza Magonjwa ndani kuteketeza roho za madeni ndani yangu kuteketeza ________(Unataja vitu unavyotakiwa kuviteketeza) Baba Sadaka hii naomba ukajulikane kama wewe Mungu umeamua kuteketeza kila mateso ndani yangu kuharibu kila mitandao na mawasiliano yaliunganishwa katika ulimwengu roho teketeza kwa moto ushukao kutoka mbinguni ukaushe kila miugu na madhabahu zao zibomoke ndani yangu katika jina la Yesu Nataka Sasa wajue nipo nawewe nimeamua kuwateketeza nakuwachoma moto ndani yangu ingia wewe Bwana na majeshi yako yashike nafasi katika jina la Yesu Nataka nitawaliwe na uhuru wako ukombozi wako uzima wako afya yako katika jina la Yesu naitoa Sadaka kwenye madhabahu hii ya Moto wa Yesu naomba Baba ipokee mwenyewe katika kiti chako ikaongee na ikatende kwa habari ya mimi mwanao Richard kuteketeza Mateso ndani yangu vizuizi ndani yangu katika Jina la Yesu.Amen
(UTARUDIA KUOMBA ×11) Kwa siku 7)
Kama kuna mchungaji mwigine atakuambia toa Sadaka ya kuteketezwa atapewa ufunuo wa kukuelekeza Kuiombea na Jinsi ya Kuitoa Fata maelekezo ya Mchungaji huyo.
Siku Ya Nane Utanipingia niiombee hiyo Sadaka na Utaituma Katika Madhabahu hii Ya Moto wa Yesu
CRDB BANK 🏦0152361572400
M-PESA+255759861768
TIGO PESA +255710889892
Western Union/Money gram
Nk
JINA:RICHARD JULIUS KUSHOKA
Hakiki majina kabla ya kudhibitisha
Hakikisha umenipingia kabla Sadaka hii ujaituma
KAMA NI YAKUSAFIRISHA
Wasiliana Namimi itafika kanisani
HITIMISHO
Kuna mambo mengine yanapaswa uyateketeze ili uwe huru kama ujayateketeza yatakusumbua na kujirudiarudia ukiombewa.
Ukitaka kufika huko kwa Pastor kufundishwa
Mfate Pastor Richard WhatsApp +255759861768 Akupe maelekezo uende ukapate Masomo Yatakayokuponya nakukufungua
Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa
Jiuge nasisi kuendelea kupata shuhuda fb
https://facebook.com/groups/387038394754746/
Maoni
Chapisha Maoni