SOMO:HATUWEZI KUTIMIZA WITO
SOMO; KIONGOZI BORA KATIKA KAZI YA MUNGU.
《☆UTANGULIZI ☆》
Naotwa: Bishop Richard
Nipo Morogoro Veta
WhatsApp +255759861768
Karibuni Katika Somo hili Linalenga Uongozi ndani ya Kanisa la Kristo Ili Kulijenga Kanisa Katika Misingi bora ya uongozi Mungu ameweka ujumbe huu ili ujifunze
Fatana nami katika Somo hili mpaka mwisho.........
Kiongozi Bora= Ni Mtu Aliyeitwa na Mungu ili kuwafanya au Kushawishi watu wa Mungu Kulitimiza Kusudi la Mungu Kimungu na Kwa Wakati wa Mungu.
Ubora wa kiongozi katika kazi ya Mungu upo kwenye yafatayo;
a)Mwitaji =Kujua aliyekuita na kwanini akuite wewe kati ya watu wengi.
b)Mtu aliyeitwa= Kujitambua kama wewe ndiye uliyeitwa kati yao walio wengi.
c)Ushawishi wako=Unanguvu ngani ya kushawishi watu na unakubalika kwa watu wako au hawakukubali lazima ukubalike kwa unaowatumikia.
d)Namna Ya Kulitimiza Kusudi uliloitiwa=Ni vyema uweke mikakati ya malengo kulitimiza kusudi lako na Mungu.
V)Muda wa Kusudi=Ni vyema uliruhusu kusudi lako liende na Muda na ujue muda ngani nitaanza kufanya kazi ya Mungu.
HAYA JUU NDIYO UZINGATIE WEWE KAMA KIONGOZI NDANI YA KANISA.
KIONGOZI YOYOTE HUENDANA NA HAYA ILI KUTIMIZA WITO WAKE WA UONGOZI
1:Wito=Yaani Wito wake na Mungu Ameitiwa awe nani na aongoze watu ngani kwa namna ngani ni vyema kiongozi kujua hili
2;Kushawishi Watu=Kujielewa nguvu yake ya ushawishi kwa watu Mungu Amempa nini ndani yake kinachoshawishi watu.
3;Kusudi la Mungu= Kujua wapi Mungu amekusudia ukafanye kazi yake na mlezi wa kiroho aliyekusudia alee ulichonacho.
Yohana;15:16
4:NJIA YA MUNGU=Kujua Mungu Amekuita ufanye naye kazi kwa njia ipi mfano.uimbaji ualimu Kusaidia watu nk
5;Wakati =Muda wa Kuanza Kutumika kufanya kazi na Mungu katika Jina la Yesu.
BiLA YAFATAYO NDANI YETU.
2TIMOTHEO:1:8-11 Waefeso:4:1-7
Maoni
Chapisha Maoni