SOMO; BABA WA KIROHO
SOMO; MFAHAMU BABA WA KIROHO
UTANGULIZI
Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Nakukaribisha ufatane nami hapa.
Baba wa Kiroho Siyo Anayekuongoza Sala Ya Toba Au Kukuombea Ukapona huyo ndiyo baba wa kiroho hapana.
Baba wa kiroho ni Yule Uliyeikumbali injili yake au mafundisho yake ukaamua uaze kufatilia na kusoma mafundisho au injili yake na yale masomo yakakujenga kiimani nakukomboa Fikira na Ufahamu wako ukaamua utembee na Mungu huyo ndiye huitwa mzazi wa kiroho sababu anakulisha kiroho nakukuza kiroho.
___________________________
πTufunue Vitabuπ
Luka;10;30_37 1wakoritho;4;15 ,2wafalme.22;2-20
1Nyakati;24;2-31, Mithali;15;2-20,Mathayo;10:20-37
.."Baba Wa Kiroho Ni nani?
Baba wa Kiroho ni Yule anayekuzaa Kiinjili ya Kristo Yesu Kiroho na Kimwili Anakufundisha na kukuongoza namna yakuishi maisha ya kimwili na kiroho nawewe Unafatilia Nakubarikiwa na Injili Yake. Anaweza kuwa ulipo au akawa nje ya ulipo lakini humfatilia na unafunguliwa fahamu kupitia yeye.
MABABA WA KIROHO HUWA WAGAPI?
Baba wa Kiroho huwa mmoja tu atakapohubiri au kukufundisha masomo yake yanakupa ufahamu na njia yakujiondoa kwenye mateso mbalimbali
Ni Jukumu la Kila Mkristo kuhakikisha unakuwa na Baba wa Kiroho mmoja anayekulea na Kukuongoza kiroho.
Wegine hubaki kama Baba Wadongo na Wakubwa.
MADHARA YA KUWA NA MABABA WENGI WA KIROHO
1:Utakuwa Mtu Usiyepokea Baraka zako
2:Utakuwa mtu wa kuhagaika kukosa heri za Baba wa Kiroho.
3.Utamchanganya Mungu Sababu hatajua Wewe Unalelewa na nani
4.Utafunga malango yako ya kuinuliwa.
5.Ni rahisi kutekwa mababa Wasiofaa Kwako.
FAIDA YA KUWA NA BABA WA KIROHO MMOJA.
1:Utakuwa mtu wa kupokea Baraka mbalimbali.
2;Utakuwa mtu uliyejaa heri nyigi
3:Hutamchanganya Mungu anapotaka Kitenda kwako.
4:Utafungulia malango mbalimbali ya kuinuliwa.
5;Ni ngumu kupotea au kutekwa na Mababa wasiofaa.
ALAMA 4 ZINAZOKUJULISHA BABA WA KIROHO
1:Atahubiri au Kufundisha Masomo utayaelewa haraka na utabarikiwa sana.
2;Atakuwa na Huruma na Wewe nakukusikiliza shida yako.
3.Ataumia nakukufatilia kipindi unaporudi nyuma au kumuacha Mungu
4.Atatenga Muda wa Kukuombea na Kusungua ngoti kwa ajili yako.
ALAMA 4 ALIZONAZO BABA ANAWEZA KUMPA MWANAE
1;Baba Amebeba Baraka mbalimbali za mwanae wa kiroho.
2;Baba Amebemba Uheri wa maisha marefu ya mwanae wa kiroho.
3;Baba Amebemba Dhamana Ya roho ya mwanae kuhakikisha anailea kiroho na kuitunza.
4;Baba wa kiroho na Zaidi ya Baba wa Kimwili.
MAMBO AMBAYO HUPASWI UYAFANYE KWA BABA WA KIROHO
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
1:Mazoea na Midhaha kwa Baba Yako.
2;Kumwita mtumishi,au jina lake Baadala ya Kuita Baba hii hukuondolea Asilimia ya heshima kwa Mungu ukiita mtumishi baba yako.
3;Kutokutoa Fungu la Kumi kwake harafu unatoa kwa mchungaji ambaye ajakuzaa kiroho.
4:Kutokumtuza na Kumpenda Baba Yako
Hakikisha Baba wa Kiroho unamkubuka
HITIMISHO
Hizi ni sifa za kumjua Baba wa kiroho na ni vyema sana kusimama nakutembea katika nguvu ya kuwa na Baba wa Kiroho
Kwa Ushauri na msaada wa kiroho
Nifate WhatsApp Bishop Richard +255759861768
Share kwa magroup mengine
Maoni
Chapisha Maoni