SOMO;NGUVU ZA ANGA
SOMO:NGUVU YA ANGA.
Mwanzo;1;6-14
Karibu Tujifunze Kwa Ufupi nguvu ya Anga Katika Maisha yako na umhimu wa maombi yako kushughulikia Anga lako kabla ya kuomba chochote
Anga Ni nini?
Anga ni Mpaka unaoweza kutenganisha kitu na kitu kigine Hicho kitendo cha kutenga huitwa Anga.
Nguvu Ya Anga katika ulimwengu wa Roho
Huzuia Maombi unayoomba Yasitoke chini kufika kwa Baba Mbinguni.
Malaika wako anayekuwa Ameshjkilia machozi yako au mahitaji yako huyu malaika hukutana Angani na Vizuizi Kutoka kwenye malaika waasi kuhakikisha wanazuia ombj lako.
Mwanzo 1:8
[8]Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
And God called the firmament Heaven. And the evening and the morning were the second day.
Mungu kuliita Anga mbingu maana yake ni Anga lilopo katikati ya mbingu na nchi.
UMUHIMU WA KUSHUGHULIKIA ANGA LA ENEO ULIPO
KUNA AINA NYIGI MIANGA LAKINI KUU
Ni Anga lako la Maombi.
Maombi Unapoomba Anza Kushughulika Na Anga la Eneo ulipo huwezi kug,ag,ana kushusha Baraka au Kujibiwa Wakati Mazingira ya eneo ulipo yanakumiliki na kukuendesha
Ili kujua kwa haraka eneo ulipo ni Anga ngani linatawala
#Mambo matatu yatakufanya ujue
1;Watu wa Eneo hiyo watakuwa na tabia zinazofanana waliowengi.
2:Utakuwa mtu unayetawaliwa na maisha ya wenyeji ya eneo hilo.
3:Mambo Mengi yatakutokea nakuyachukulia kawaida sana kutokana wengi unawaona wako hivyo. Kama ni mabint wengi wanazalia nyumbani hata wewe ukishika mimba upo nyumbani utajipa moyo mbona fulani Amezalia nyumbani Kama Wanakunywa pombe utasema mbona fulani hunywa pombe na bado amefanikiwa.
Utatawaliwa na mtazamo wa kuwaangalia watu waliokuzunguka Ujue Unateswa na Anga la Mazingira ulipo.
ANGA LINA NGUVU KWAKE ASIYELIJUA VIZURI.
Mambo matatu hulipa nguvu anga
1;Anga lipo juu Sana(Kiufahamu wa kuu wa anga humtawala mtu kwa ufahamu siyo nguvu)
2:Anga lipo Katika Mazingira Yetu(Mazingira Yetu Yametawaliwa na Mkuu Anga na anatushinda kupitia Mazingira wengi kutokujua mbinu ya kupambana)
3:Anga lipo katika Maombi Yetu pia(chochote unachoomba lazima kipite kwenye anga maombi yako kufika kwa Mungu)
#NAKADHIA
Chochote Kile nasema chochote kile kinachokutesa kimepata nguvu kutoka katika Anga la eneo ulipo.
TUNAOMBA HIVI.
Tafadhali Fata maelekezo Ya uombaji unaposhughulikia Anga kuna watu anga lao halitaki wakae kwenye ndoa wengine anga lao halitaki waolewe nao wamekaa kaa tu pasipo kupambana na Anga.
1;Baba Navunja Kila Anga lilozuia ufahamu wangu nisikujue vizuri kiundani uweza wako Mungu wangu Katika Jina la Yesu.Amen×1
2.Anga la maombi yangu lilozuia katika ulimwengu wa roho nisipokee majibu yangu Liachie nautuma upanga wa Roho Uwakao ukakatekate adui aliyeshika maombi yangu katika jina la Yesu. Amen ×5
3.Anga langu Halitakuwa la Utumwa kuanzia Leo Anga langu litakuwa la Baraka Kila niendapo katika jina la Yesu.Amen×3
4;Nafyeka Nafyeka wakuu wa anga walioshika Anga la Huduma Yangu Waachie viti vyao nawafunga kuzimu natawala anga mwenyewe katika Jina la Yesu.Amen
5;Natwala Anga la Eneo hili nilipo la Mbigiri wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro Nchi Ya Tanzania 🇹🇿 Bara la Africa 🌍 Na Kila nchi natawala napenyezesha Jina langu Huduma yangu lifike kila nchi Halitaishia hapa Tanzania Jina la Pastor Richard Lipate kibali kila kona katika jina la Yesu.Amen×7
6;Nalitambulisha Anga la mbigiri Anga la kilosa Anga la Morogoro Anga la Tanzania na Africa nzima na nchi zake zote ninaitwa Pastor Richard au Moto Wa Yesu ndiye mtawala halali na mmiliki wa anga hili kila kitu kilichokuwa kinaamriwa kinishambulie au kinizuie nasema kuanzia sasa nazima kila mishale kila nguvu za ngiza hili na wasaindizi wake katika jina la Yesu.Amen
Omba ndani ya siku tatu usiku
HAYA MAOMBI OMBA FATA MAELEKEZO WEKA ENEO LAKO NA JINA LAKO PALE UNAPOONA Nimeweka Jina.
Namba za WhatsApp Pastor Richard +255759861768 Tuma inbox ushuhuda wako au kama unaswali hujaelewa.
Pia jitaidi ufike kanisani Morogoro Veta Dakawa
Maoni
Chapisha Maoni