SOMO:SABABU TANO ZA MWANAMKE KUUMBA.

SOMO: SABABU TANO ZA MWANAMKE KUOLEWA AMBAZO MUNGU ALIKUSUNDIA.

Na mwanamke wa Kwanza Kuumbwa alikuwa Hawa Ni Kwanini Huyu Mwanamke aliumbwa aliumbwa kwa kuwa kulikuwa na Adamu ambaye Aliitaji Msaindizi Na Mungu akaona Ni vyema hawa apelekwe Kwa Adamu akawe msaindizi wake. Awe faraja yake asijiweke katika upweke.
Tunasoma; 

Mwanzo 1:26-27
[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. 
And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 
So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them.

MAMBO MATANO YA MWANAMKE KUUMBWA.

1: UFANYIKE MSAANDA KWA MMEO.
Wewe ndiye unapaswa uvae viatu vya mme wako umuunge mkono katika kile anachofanya umshauri na kumuongoza katika njia sahihi.

2.UMZALIE WATOTO MMEO.
Mungu sababu ya kukuumba wewe mwanamke uje uongeze dunia kwa kuzaa watoto ndani ya ndoa na mwanaume mmoja siyo kuzaa ovyo kila mtoto Baba yake hii ndiyo sababu uliumbwa na Mungu utimize kusundi hilo.

3.UONDOKEE KWA WAZAZI UNAPOENDA KUOLEWA USIO

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.